This simple tool go help You create a system to provide Your Repairs’ and or service game, with a centralised location of all vital information.
Including such as, repair information, reminders for pending tasks, however tiny parts management, bookings, jobs, quotes, invoices, and accounting will be centralised in one central area – making it easy to manage your zig-zag!
Hapa Ujanja Tu, you may waste some time watch this video👇👇 may be it could be useful, otherwise DON’T WASTE YOUR TIME, because there so many other tools out there🤷♀️!
Inaweza kuhusisha baiskeli nyingi, pikipiki, magari madogo, malori makubwa, yaani, cha usafiri cha aina yoyote ile!
Obviously, HAPA UJANJA tu, na ndivyo ilivyo🤪 juu ujanja huu umefanywa rahisi kwa mtu yeyote kuwezakuweka kwenye kifaa chake, na kuweza kutumia mwenyewe, bila msaada wa mtu yeyote, masha’Allah🤞! Alafu ukiwa na mda wa kuharibu, kule chini kuna kii video inachoonesha kila ujinga uliopo na hii ujanja, ili ungie vizuri katika huu mtego wetu sisi kutaka kunywa vinywaji vyako😁🤣😂!
Anyway, tunaamini hii takataka yetu inaweza kumsaidia mtu yeyote anayehusika, kufuatilia, na kuboresha ufanisi wa magari yao mengi, kupunguza gharama mbali mbali, au kwa uboreshaji wowote mwingine!
Kwa mfano, ikiwa magari yako yanahusika katika usafirishaji, huu upuuzi wetu una uchawi wenye kila mtazamo wa data kwa ajili ya kusimamia vipengele vyote vya magari mengi!
Ikiwa ni pamoja na kufuatilia chochote cha gari pamoja na tabia ya madereva, uwezo wao, ambao huu umbea unaweza kuwa muhimu kwa ufahamu wa upangaji wa njia zozote, hatimaye huboresha huduma kwa wateja, insha’Allah🤞 Jameni, pamoja na arifa za kiotomatiki, sii ndo kuwa na mtazamo kamili wa data ya magari yako hukuruhusu kupima ufanisi na kufanya marekebisho mengine yanayoonyeshwa ratiba na kufuatilia matengenezo ya gari!
Ndiyo, hata hizo blaa bla kama urekebishaji wa usajili, na kazi zingine zinazohusiana na kufuata sheria, mara nyingi na
Alafu, hii takataka yetuni huendesha otomatiki michakato ya mwongozo inayohusika katika utunzaji wa kumbukumbu na ratiba.
Yaani, takataka yetu inakusanya kwa urahisi na haraka, maelezo yoyote unayoweza kuwa unataka, ikiwa na gharama ndogo ya uendeshaji na hupunguza uwezekano wa makosa ya mikono!
Naam, think of this ‘ujanja’ as the brain behind your fleet operations, yaaani usimamizi uliopo kwenye magari zako🤷♂️!
Tena, ukiwa na mda wa kuharibu, kule chini kuna kii video inachoonesha kila ujinga uliopo na hii ujanja, ili ungie vizuri katika huu mtego wetu sisi kutaka kunywa vinywaji vyako😁🤣😂!
Lakini, HAPA UJANJA tu, kwasababu na huu ujanja wetu unaeza ku centralize all your data, drivers, vehicles, repairs’ department na vingine, nk, ili uweze ku make better decisions for your game, business, or whatever you could be labeling your game, bismAllah👌!
Hii ndiyo programu rahisi, yenye suluhiso ya ankara, au invoyisi, na uhasibu ili kupata mauzo na ripoti za biashara yako, pamoja na kufanya usimamizi wa hesabu, inakuwezesha kudhibiti wateja, mauzo ya wafanyakazi, nk – yote katika sehemu moja, namna ambao video hapo chini inaonesha!
Rekodi wateja na wachuuzi wako wote katika sehemu moja. Unda makadirio au koteshioni (quotations), innoyisi (invoice), risiti ya maauzo (recipts) za kitaalamu ukitumia nembo yako! Kwa kubofya mara chache unaeza kutazama historia kamili ya wanunuzi, ili kujua wateja wako bora ni akina nani. Yaani ingiza details za biidha zako, au invetory!
Kila wakati utajua ni nini kiko dukani mwako kwa sekunde. Fuatilia orodha yako kama wakati mwingine wowote, furahia harakati za kiotomatiki za hesabu unapounda ankara au kurekodi ununuzi.
Tazama hii video uone niaje, kiisha ushuke chini upakue hii program bila tatizo!
As demonstrated in the video below, this automated program is some premium time tracking and workforce productivity measurement tool that helps you productively monitor or manage employees.
Quickly add employees!
Classify your employees!
Get an overview of your employees!
Organize and manage your business entities!
Takes complete control of staff time off!
Understand the job roles and responsibilities clearly, making it easy to recruit the right talent.
It has Learning Management System integrated to allow you promote a culture of continuous learning at the workplace.
Easy Employee Performance Monitoring
Measurable / Improved Decision Making as this program gives you accurate details about employee performance and other company statistics. This data helps you design effective programs to drive employee engagement and improve overall productivity.
And so much many alot too much, you kindly watch this video, then go below to download!