Techniciansโ€™ Service & Repairs’ Organizer Database

This simple tool go help You create a system to provide Your Repairs’ and or service game, with a centralised location of all vitalย  information.

Including such as, repair information, reminders for pending tasks, however tiny parts management, bookings, jobs, quotes, invoices, and accounting will be centralised in one central area – making it easy to manage your zig-zag!ย 

Hapa Ujanja Tu, you may waste some time watch this video๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ may be it could be useful, otherwise DON’T WASTE YOUR TIME, because there so many other tools out there๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ!

DOWNLOAD below๐Ÿ‘‡ the VIDEO

DOWNLOAD
๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

How To Simple Setup Auto Repair Workshop’s System, Customers, Vehicles, Spare Parts, Technicians, Accounts

Hii simple, Auto Repair Workshop’s System (Customers, Vehicles, Spares, Technicians, Repair Database) software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu kazi zinazofanywa au kazi zimewahi kufanywa, ama hizo zakufanywa kwenye gari zao, seen๐Ÿค”?

 

Kila taka taka ikiwemo, madeni, spare parts zilizotumika, mafundi walihusika, ugojwa uliotibiwa, Niiga, everything๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ pamoja na sehemu kuweka picha ya gari na kumbu kumbu zake, inshaAllahโœŒ

Alafu kuhusu gari๐Ÿค”?
Namba ya gari, jina la gari, picha ya gari, hiyo gari imewahi kutengenezwa hapo mara ngapi? ..a.k.a repair history๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ!

 

Mfanya kazi๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง gani alihusika kwa huo utengenezaji, pesa ngapi iliitishwa au je mwenye gari ali lipa ngapi kwa hiyo kazi๐Ÿค”.
Je, picha ilipigwa? wakati kazi inafanywa? Aiiise, kila kitu kwamba ukiingiza tu either jina la mwenye gari au namba ya hiyo gari unapata kila umbea unaotaka๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

Hayo mambo kuhusu invoice, sijui receipt na unaweza kuweka TIN namba yako kwa hiyo receipt๐Ÿ‘Œ!
Hizo blaa blaa za quotaion fasta fasta inatengeneza๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Hebu tazama hii video uone niaje, kiisha uende china kuweza kuipata ama kui download!
Tena hii software haiitaji utaalamu wote ili muradi una computer au tablet kazi kwisha.

 

ONYO: Kila kompyuta inafaa,
BUT inalingana simu, sio simu zote zinaweza!
ย 
HAPA UJAJA tu๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
download
๐Ÿ‘‡

BONYEZA HAPA

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
Mfano wa invoice inaotoka inakaa namna๐Ÿ‘‡lakini ikiwa na details za ofisi yaaako๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜†
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [520.13 KB]

๐Ÿ‘‡
….mfano wa receipt inaotoka
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [615.29 KB]

…more rubbish explanations

Why a mzee would is may be preferable to for…..

ย 
ย 
Babylon Language ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ DEMOSTRATIONS

ย 


Bomboclat, may be whatever is causing You believe MUST do some nonsenseย to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here

๐Ÿ‘‡
IMMO OFF files
โ˜โ˜
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!

HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah๐Ÿ‘‡
Click Here
bonyeza HAPAย 

ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ย ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tuย 


ย 
Translate /Tafsir /Traduire