Nissan Keys (NATS /NVIS)

NATS, kwa urefu ni, Nissan Anti-Theft System,
NVIS, ni, Nissan Vehicle Immobiliser System
…ni kuhusu ule uchawi wa ufunguo ulioko kwenye gari za NISSAN, INFINITI, nk,
…kwamba usipotumia funguo🔑 sahihi, gari haiwezi kuwaka👌!



Click HERE for other vehicles’ nonsense about KEY PROGRAMMING (lost keys, spare keys, ecu coding & etc)

bonyeza HAPA 




If You don’t like reading📚,
just click here to download moja kwa moja!
🤷‍♂️
Anyway, uchawi katika hizi NISSAN,  funguo inaeza kuwa sahihi lakini ukibadilisha tuseme computer ya engine (ECU) au computer ya body (BCM) au anything could have happened kwamba lazima ukutaanishe (initialize ama adapt) vifaa vyote kwenye hii NATS🤔!

 

 
Sasa baada ya, au ukimaliza kukumbuka au kujua namna na nini chakufanya kwa hizi blaa blaa za NATS, tumekuwekea software hapo chini ya kufanya uchawi wa NATS aina zoooote!

LAKINI, kama unajiamini, bonyeza hapa ama nenda chini 👇ya hii page uweze ku download moja kwa moja!

Sasa wakati unafanya initialization ukiwa na mashine yeyote ya diagnosis👨‍🔧, kutafika wakati unahitaji neno siri (password) fulani ili uweze kukamilisha.
Uchawi zaidi ni kwamba hizi unapaswa kuzipata sehemu maalum kutoka kwa watu fulani🙄!
Sasa hapa tunapeana ujanja wa namna kupata hizo passwords (NATS code)!
Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [546.45 KB]

Sasa, hii software itakusaidia kupata hizo password za NISSAN namna hii video inaonesha!

DOWNLOAD
👇

(ata kwa simu📲 bora💻)

 

BONYEZA CLICK HERE 

👆👆👆👆👆👆

Endealea kupata umbea zaidi kuhusu NATS pamoja na ninchakufanya!
 

HAPA UJANJA tu👇

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [15.83 MB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [6.07 MB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [15.83 MB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [265.72 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [417.93 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [36.29 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [125.36 KB]



May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here

👇
IMMO OFF files
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!

HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
Click Here
bonyeza HAPA 

ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 


Translate /Tafsir /Traduire