IMMO OFF (Disable, Delete Immobilizer Systems)

Kwanza utapewa taarifa ya kuhusu EEPROM gani ya kuweka hiyo data ya immo off!

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA 


Ukishaitambua hiyo EEPROM,
cha kwanza ni bora na salama,
ukisoma na kuhifadhi SAVE (back up) hiyo data iliopo kwenye EEPROM bila kugusa, kubadili chechote!

Ukimaliza ku load file, hamna aja ya kugusa, kubadili, kufuta chechote!

Moja kwa moja Program WRITE andika tu hiyo file kwenye hiyo EEPROM!

LAKINI, kwa ujanja zaidi,
bora ulinganishe compare  hizo file zote mbili,

yenye immo ON, na yenye immo OFF,

ili ujifunze, utambue wapi pamebadili kufanya OFF!

Sasa hapo na wewe ujifunze ufanye mwenyewe,
bila software wala mashine yeyote
!

Tazama hii video👇
uone niaje kama vitakusaidia,
ushuke chini uweze ku download👇!

DOWNLOAD
👇

   CLICK BONYEZA  HAPA  

👆👆👆

You notice that one file could work on several other vehicles! Utilize all the attached information
👇

Reminder on how to LOCATE the data & address
👇

 

 

 


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!

So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!

click here


👇

IMMO OFF files

☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!


HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇

Click Here
bonyeza HAPA 


ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!

click HERE


WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Click HERE


Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 



Translate /Tafsir /Traduire