Tayari ulijua kwamba kwenye immobiliser system ya gari, coding/password, upande mwingine inakuwa kwenye chip/EEPROM fulani ndani ya kifaa chechote husika, inaeza kuwa, immo box, Instrument Cluster, Control box ECU, au nk, …na upande mwingine kwa ufunguo hii code/password inawekwa kwenye transponder🙄!
(Kama hukupitia uchawi wa IMMOBILISER SYTEM kuelewa niaje, namna kutengeneza ufunguo, lost key, spare key,
tafadhali bonyeza HAPA ujue niaje vinginevyo hautona maana ya huu ujanja)
Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi ECU imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ipi ya funguo maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.
Na kwamba usikosee kubadili vifaa ambao coding imefichwa!
So hii software tumeiba sehemu fulani, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔 namna hii video inaonesha kiisha ushuke chini ku download!
Kuna two 2options,
Either download for use on phone, or for laptop, or both!
Ukitaka, BONYEZA HAPA, upate ile App📲 ya kwenye simu nama hii video inaonesha!
CLICK TO DOWNLOAD THE PHONE APPLICATION
This is if you want use on computer💻laptop, otherwise scroll back👆up to use on📲phone!
CLICK👇TO DOWNLOAD FOR LAPTOP /COMPUTER
Click HERE
Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE