Hii inaweza kukusaidia kurudisha funguo zilizopotea, au kutengeneza funguo za vipuri!
Ukumbuke tulijaribu kumbushana upumbavu mwingi kuhusu KEY PROGRAMMING ya magari mengi,
ikiwemo namna ya nini kufanya ufunguo ukipotea au ukitaka ya ziada, kifaa gani, kwanini,
so much rubbish, if you want waste your time,
BONYEZA ๐
Pata nambari ya VIN au CHASIS ya gari iliyopoteza funguo, iandike hapa kwenye hii programu ili kupata nenosiri kuu ili ufunguo mpya uweze kuruhusiwa kwenye mfumo!
Tumia mashine yoyote ya OBD ikiwa na uwezo kuingia ndani mwa hizi gari,
LAKINI,
hii ni ikiwa vifaa vya usalama vya gari hili bado ni vile vilikuja na gari kutoka kiwandani, ndiyo, na ata kama ni hivyo, data za ndani zisiwe zilichezewa/kubadilishwa!
Vinginevyo, ikiwa vipengele vya mfumo vilibadilishwa, soma tumia data ya EEPROM katika ECU kama programu itaelezea na kukupa maelekezo!
karibu, HAPA UJANJA tu!
๐
๐๐๐๐๐
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsenseย to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐คทโโ๏ธ!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
๐
IMMO OFF files 
โโ
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah๐
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ย ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu๐คทโโ๏ธ!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tuย



