Hizi software ni zenye uchawi wa kutengeneza funguo mpya wa au kwa,
…gari iliopoteza funguo wake,
…au kuongeza funguo zingine for back up moja ikipotea,
…then na ukitaka kutoa huu usumbufu wa immobiliser ( a.k.a IMMO OFF) ili gari iendeshwe kwa funguo yeyote!
Gari zingine utahitaji tu diagnosis mashine ya kawaida, gari zingine mpaka kungoa au kucheza na data za EEPROM namna tuliokumbusha hapa www.5021.tips/ujanja/keyprogramming
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia!
So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka👌!
Aiise, kuna thousands of tested & working dumps za almost kila ECU.
Kuna detailed picha za ECUs na components zingine, pamoja with pinouts and wiring diagrams, maelekezo ya kila chakufanya!
Hizi files kuna original na modified dumps that can be programmed into respective ECU.
Kwa ufupi, hii PACK ina👇,
Immo OFF za kutoa, kuzima, kupotezea immobiliser signal kwenye gari na kwamba gari inaeza kuashwa kwa funguo lolote!
Virgin virgin files za ku restore immobiliser systems to factory settings ili iweze kupokea funguo yeyote utaiingiza mara ya kwanza!
Emulator with ready-to-use files na maelekezo kuhusu nini namna nani😂😅🤣😁 especially wakati unafanya immo off kwenye badhi ya gari!
Key writing kuwezesha kuandika key code kwenye ECU memory.
PIN caliculators ili uweze kubaliwa ku access data ya ECU zikiwa locked!
Pictures and wiring diagrams za almost kila ECU ! Yaaaani, components , memories, plugs, nk!
DOWNLOAD 🍻
👇👇👇
HERE HAPA
👆👆👆👆
May be whatever is causing You believe MUST do some ECU programming to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here
👇
IMMO OFF files 
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Click HERE
Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA