Decoding EEPROM & FLASH DATA coded lines


Kwanza, ukumbuke kwamba tuliekezana amost kila kushu EEPROM work, namna kusoma data na Adress, kubadili, nk! Kama bado, na ukitaka BONYEZA HAPA!


Ujanja katika programu hii, ni kwamba, unaweza kufungua na kulinganisha hizo binary faili tofauti tofauti, kwa pamoja, na ukaoneshwa utofauti uko wapi!

Ina maana kama kuna mtu umemutumia faili na akafanya kazi fulani na akakuficha bila kuambia, hii programu itakupa umbea wote! Infact ata hizo software zinokuomba data ili zikufanie kazi fulani, kiisha zinakupa data tofauti baada kuzifania kazi, ukilinganisha data kabla na baada, utajua niaje!


Unaeza kutazama video πŸ‘‡hii uone niaje, vingivyo uka chini ya video upakuwe!
Alafu hapoπŸ‘‡chini kuna programs mbili, use the same password to download both!

πŸ‘‡πŸ‘‡DOWNLOAD HAPA πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

EXTRA PROGRAMπŸ‘‡Β 

πŸ‘‡πŸ‘‡DOWNLOAD ANOTHERΒ πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

EEPROM work (kusoma, kubadili, kuandika data)

Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!
Yaaani hapa tunakumbushana kuhusu uchawi wa, kusoma, kuhifadhi, kubadili, kuandika, nk, ya kwamba ata ukitajiwa tu adress unajua niaje!
Kwenye hii picha ya chiniπŸ‘‡unaona blaa blaa ya namna data inakuanga ndani ya hizo EEPROMπŸ€”?Sasa hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, vyote tumeoneshana kila, kwenye hii videoπŸ‘‡!
Video hii ni ndefu na kuna maneno mengiπŸ™„Β  na ukitaka kufanya practical ujifunze kwa vitendo tumeweka hapa bonyeza HAPA unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoeziπŸ€·β€β™‚οΈ!
What we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaa blaaa, you know?

Madhara ya in-Circuit EEPROM programming

kwanini 0123456789ABCDEF

DATA ADDRESS reminder

CHECKSUMΒ  Β ERRORS


IMMO EEPROM/Transponder details

Tayari ulijua kwamba kwenye immobiliser system ya gari, code/password moja inakuwa kwenye chip/EEPROM fulani ndani ya immo box ama Control box, na upande wa funguo hii code/password inawekwa kwenye transponderπŸ™„!
(Kama hukupitia hapa kuelewa niaje, tafadhali bonyeza hapa ujue niaje vinginevyo hautona maana ya huu ujanja)

Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingineπŸ‘Œ! Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ipi ya funguo maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi. So hii software inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gariπŸ€” namna hii video inaonesha kiisha ushuke chini ku download!

Kuna two 2options,Β Β 
Either download for use on phone, or for laptop, or both!

 


Ukitaka, BONYEZA HAPA, upate ile AppπŸ“² ya kwenye simu nama hii video inaonesha!

CLICK TO DOWNLOAD THE PHONE APPLICATION

This is if you want use on computerπŸ’»laptop, otherwise scroll backπŸ‘†up to use onπŸ“²phone!

CLICKπŸ‘‡TO DOWNLOAD FOR LAPTOP /COMPUTERΒ 


Translate /Tafsir /Traduire