As you can see below, this workshop manual has been prepared to provide information on , Diagnostics, Service & Repair Information for the HINO trucks fitted with a J05E engine !
It covers all topics related to, including, servicing, maintenance, repairs andย electrical systems, with wiring diagrams, diagnostics and troubleshooting guides.
Hope it helps,ย
Look, ๐sh*t covers all, including, servicing, maintenance, repair, ecu pinouts, wiring diagrams, diagnostics and troubleshooting guides to all electrical systems!
Hope it helps,ย
With this Vehicles’ Electronic Control Systems‘ ujanja, We hope when You understand of how it’s made, You can know how it works, then canย make sense of all the components involved, why how all electrical wirings!
๐We hope this set up be of a guide around all the Computerized Control Electronics,ย sensors, ecu, actuators , found in today’s complicated computerized systems inย Vehicles! ๐….that even without using a diagnosis machine, You could troubleshoot any troubles , amen๐!
Ukumbuke kuwa mwangalifu na vifaa components za circuit board(motherboard), ikiwa kifaa umefugua kime…๐คทโโ๏ธ
….kwamba unadhani umeharibu kitu kwenye mother board, hakuna matata, HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah๐
Remember, how You read the ECU data will also determine what kinds of data You get, and what kind of tuning, programming to be done!
You get different data, via OBD mode, BOOT mode, BENCH mode!
โโ click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!
May be whatever is causing You believe MUST do some ECU programming to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐คทโโ๏ธ!
Mwenyewe unaona au utaona wingi wa picha za rangi kamili na michoro kuelezea kila kuhumu blaa blaa za umeme! Kuna ufafanuzi ulioangaziwa wa istilahi za kiufundi kote kwa marejeleo ya haraka na rahisi๐คทโโ๏ธ!
Ata hizi diagnosis mashine za kawaida zina uwezo kukamilisha kufanya kazi fulani, Key Programming, ECU programming, anyย Ujinga programming,
…ukiwa na SECRET CODES fulani, seen๐ค?
Infact ata ikiwa kwenye zile mashine maalum za key programming, najua mara nyingi una, uta ama umekutana sehemu ya kuhitaji SECRET CODES fulani wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, alafu unakwama kwasababu mashine inakuitishaPINfulani!
HAPA UJANJA tu๐คธโโ๏ธ
Kwanza kabisa, kwa ubora zaidi, tunadhania umejifunza au umekumbukaย yafuatayo!
๐
Namna, jinsi au ufanyaji kaziย IMMOBILISER SYSTEM wa magari! Kama badoBonyeza HAPA!
Tena, hiki kitabu nacho kinakupa mwongozo fulani au mwanga. just to get some kind of inference how sh*t is done!
Ni PDF unaweza kukisomea kwenye simu๐ฒ yako au computer! bonyeza HAPA!
Kazi zingine utahitaji ku deal na blaa blaa ya FLASH au EEPROM data kuweza kupakuwa hiyo PIN utahitaji!
Ukitaka kupita kuhusu ujanja wa EEPROM works, bonyeza HAPA!
Na tena ukitaka kujua hiyo chip au EEPROM ya kusoma data iko wapi! Kuweka hii program ata kwenye simu au computer,bonyeza HAPA!
Au ukitaka kujua mashine yipi inaoweza kufanya kipi kwa kwenye gari fulani,unabonyeza HAPA!
Sasa, najua umekutana wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!
Mashine inaeza kuwa hizi diagnosis za kawiada au ata mashine zenyewe za kufanya key programming nazo (zingine au nyingi nyigi) zinaulizanga PIN!
Sasa, tumekosanya uchawi wa namna ya kupata hizi PIN kwa kila aina ya gari!
Kama hutaki kuendelea kusoma hizi blaa blaa, shuka chini ya hii page uweze ku download ata kwenye simu!
Tumeweka au kuoneshana namna ya kufanya kwa kila! Unaeza kuta zingine unaingiza tu Chasis number ya hiyo gari na ukapata PIN ya hiyo funguo, zingine unaingiza tu PartNumber ya kifaa fulani, inaeza kuwa ya ECU au IMMO BOX au INSTRUMENT cluster, au anything!
Mifano tu๐
Kwenye NISSAN fulani inaeza kuta unahitaji hiyo 5 digit code imezungushwa kwa ki red box kwenye label Inaeza kuwa kwenye Toyota, may be hiyo mashine uliyo nayo haiwezi kufanya uchawi wa PIN automatically, kwamba unahitaji kuingiza hiyo SEED NUMBER uweze ku caliculate hiyo PIN CODE kama hapa chini!Inaeza kuwa umekwama na VW/AUDI kumbe ujanja ni kuifungua na kusoma data kwenye EEPROM fulani kwenye instrument cluster amabapo code imejicha!Unaeza kuta gari zingine, funguo hijapotea, lakini imegoma tu kuasha hiyo gari na inaitisha PIN fulani, kumbe uchawi ni kufunguo tu hiyo ufunguo usome keyTAG na paaaaa….
aode
mitsvazSWA
swamitsu
flashEN
FlashSW
ml
aotadakey
enPROG
swaPROGr
272764590_128787566304534_1345823714250307931_n
๐๐๐
UKITAKA DOWNLAOD, kwenye simu๐ฒ au kompyuta๐ป ๐
May be whatever is causing You believe MUST do some nonsenseย to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators๐คทโโ๏ธ!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ย ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu๐คทโโ๏ธ!
Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme!
Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya umeme!
Hizi ๐video inaelekezea kila kitu, kuanzia kwa jinsi hizi rizisita hizi zinavyofanya kazi, jinsi au wapi zinatumiwa, ikiwa ni pamoja na jinsi zinazyopangwa na kupimwa kukiwepo matatizo yoyote!
SMD resistors ย ni kama resistor za kawaida๐คทโโ๏ธ!
Utofauti ni kwamba ziko ndogo mno๐
ย
LDR (Light Dependent Resistor) ni kutegemea mwanga๐ค
Namna RESISTOR zinafanya kazi ZOOOOOTE
Jinsi umeona, kila rangi iliopo kwenye resistor ina maana!