MAP sensor, au, Manifold Absolute Pressure Sensor, inapima kiasi au uzito wa mkusanyiko wa hewa uliopo kwenye ‘intake manifold’!
Mkusanyo wa hewa ukijumulisha na hewa inaotoka njia za mfumo zingine kama, EGR, TURBO, PCV, nk!Manifold ni hicho ki bla blaa kabla hewa kuingia cylinder au baada ya Throttle
Hii sensor inaeza kuwekwa popote, kulingana gari, ili mradi kuna njia yakufikia kupima hiyo hewa!
Ukitaka maelekezo mengine ya ndani ndani, namna inavyofanya kazi wapi vipi, nk, unaeza kutazama hii video
May be ukitaka kuelewa zaidi kuhusu huo uchawi wa Piezo ambao Pressure sensor nyingi zinategemea, bonyeza HAPA kwenye hii link au picha hapa chine LINK
Sensor hiyo mara nyingi inaka namna hii
Jinsi yalivyoelezwa yote kwenye hizo video, sensor hii inaweza kuwa na waya tatu au waya nne.
Mara nyingi reference voltage inakuwaga 5V kutoka kwenye ECU!
Siku hizi almost kila kitu kinaundwa kuwa na hii blaa bla ya CONTROL SYSTEMS, mfano, AC za ofisini, nyumbani mataa yanajiwasha yenyewe, gari za siku hizi kila kitu mafundi wanazungumza ‘kontulo’ yaani control (ECU) ama kompyuta ya gari, nk!
Hapa tunaelezana kwa ufupi, maana na jinsi, au namna huu uchawi wa CONTROL SYSTEM unakuwa!
Imagine huu mfumo wa hesabu
X + 5 = Y
(5 haibadiriki, lakini X au na Y inaeza kuwa chechote)! X ikiwa 2, ina maana Y itakuwa 7 2 + 5 = 7 Ina maana ukitaka mfumo wako uwe tu wenye 7 kama matokeo, lazima X uingize iwe 2, au na vinginevyo! Ukitaka matokeo au Y iwe 9, hapo lazima X iongezeke kuwa 4!
Tayari, hapa 5 ni control!
Huo mfumo 5 (control) kudhibiti matokeo kwenye Y(output) kulingana X (input) itakachokuwa, ni CONTROL SYSTEM wa X + 5 = Y
CONTROL SYSTEM ni mfumo ambao matokeo yanategemea maingizo!Kwa mfano wetu pale juu, Input ni X, Control ni 5, alafu Output ni Y!
Alafu hizi CONTROL SYSTEMS zinaundwa kwa aina au namna mbili! Kuna zile ambao hamna aja ya kuthibitisha au ku comfirm matokeo, a.k.a OPEN LOOP CONTROL SYSTEMS, alafu na zile ambao lazima, au ata matokeo yanafanya uchawi ata kwenye mainginzo, ambao ni CLOSED LOOP CONTROL SYSTEM!
Naomba, ili kueleezana viruzi tofauti kati ya hizi aina, kutumisa mfano wa ile AC ya kudhibiti ujoto chumbani au ata ikiwa gari!
OPEN LOOP CONTROL SYSTEM
Imagine, hiyo siginal ya INPUT inatokea kwenye Temperature sensor inaochunguza ujoto chumbani au ata kwenye gari, mfumo ni kwamba hiyo Temperature sensor ikipeleka umbea kwamba kuna ujoto chumbani, hapo AC itaanza, yaani itawaka tu, hata kama hakuna mtu yeyote chumbani! Sasa ndo hizi OPEN LOOP CONTROL SYSTEM!
CLOSED LOOP CONTROL SYSTEM
Sasa hiyo siginal ya INPUT inatokea kwenye Temperature sensor imeruhusu AC kuanza, lakini AC ikiwaka lazima kuna ijulishe au ipeleke umbea kwamba nimewaka! Sasa huko sehemu ndo kuna blaa blla zingine kuchunguza kama kuna watu au la, ikiwa la AC itajizima yenyewe! Huo mzunguko ndo CLOSED LOOP CONTROL SYSTEM!
Kukitokea mfano tatizo, tuseme huku AC inawaka hata bila watu au vinginevyo, ukifanya diagnosis hizo blaa blaa za OPEN LOOP detected!
Hata kama EARTH na GROUND ni kama kitu kimoja, lakini ni tofauti!
Kwa kingereza ya Merikani wanasema GROUND, alafu kwa Kingereza ya Ulaya(Europe) ni EARTH, so sometimes maana inakuwa confused!
So is why we tried to explain the difference in this video
Hapa tunajaribu kufafananua au kuelezeana maana ya maneno fulani ya kitaaalam👌, ambao tunatumia katika maisha yetu ya kila siku, bila kujua maana🤔! So,HAPA UJANJA tu👨🎓
ENGINE SPEED inamanisha mwendo engine inazunguka (a.k.a RPM) alafu VEHICLE SPEED ni mwendo wa gari zima au tuseme muzunguko wa tayari although sio!
Hizi signal zinakuwa programmed tofauti tofauti as shown in this nonsense video!
Gari za siku hizi ni kama mwili wa mwanadamu🤔! Sasa, hiyo CAN BUS ni kama ni mfumo wa neva, yaani nervous system, unaowezesha mawasiliano wa kila mfumo wa mwili!
Ndiyo, hizo ECU zione kama vipande vya mwili vilioonganiswa na huu mfumo wa CAN BUS!
CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria🤔!
Kwenye basi la kutoka Kampala kwenda Nairobi, munaingia wengi lakini kila atashuka sehemu tofauti, kulingana, Jinja, Busia, Eldoret, Nakuru, nk, hadi Nairobi!
So, CAN ni muungano wa ma kompyuta ziliopo kwenye gari kwamba zinawasiliana, kupeana msaada…
…kugawana ujumbe muhimu, kutoka kwenye hisia ama sensor zisipo katika mifumo wa ecu zingine!
Mfano👇, D, kompyuta ama ECU ya SUSPENSION ikihitaji umbea kuhusu speed, mwendo wa gari, itapata umbea huu kwa njiaCANBUS!
A, ambao ni Computer ya ABS yenye X, speed sensor zinazochunguza mwendo wa gari, itaweka signal hii ya speed, kwenyeCANBUS🤷♂️!
…kuliko kwamba waya za speed sensor zitafungwa kwa kila computer ya gari itahitaji kujua mwendo wa gari🚒!
WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷♂️!
Nguvu za magineti👌 zikija karibu kwa wire au kifaa chechote kinachopitisha umeme na kwamba kuna umeme unaopita🤔kwa hiki kifaa, kuna uchawi funi utakaotokea kusababisha/kuzalisha umeme namna tulivyolekezana kwa hii video👇!
Nguvu za ule moshi unaotoka kwa engine unatumika kuzungusha aina ya kama pampu fulani hivi, na wakati wakuzunguka hii pump inanyonya au kuvuta hewa kutoka nje ya gari ili kuongeza kiasi cha hewa engine inahitaji kufanya kazi vizuri namna tulijaribu kueleza humu!
Na pia kuna hizo pressure sensors, temperature sensor, nk🤷🏼♂️ !
Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)🚆!
Sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!
Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu👇kumbushana!
Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa😂🤣😁, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme. TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, kitatemeka (to vibrate/shake or move)! So ni vice versa namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video🤷🏼♂️
We are disorganized🤧🤮!
In no particular order We keep adding whatever nonsense tahat comes up, insha’Allah🤞!
We packing loads of rubbish here, very useless! Just make sure You can make sense out of this nonsense, seen🤷♀️?
Whether, Keys type X or type Y, make sure You be able to do spare keys, lost keys, synching whatever Z hardware wherever necessary, atleast have an idea, bomboclat😁🤣😂
Our things are very disorganised, just fight and get what could help You, insha’Allah✌
We demonstrated how KEY PROGRAMMING is done on different vehicle brands, lost keys, spare keys, and not immo off!
Whatever nonsense is shown in this video is more nonsense if You don’t first go through all the rubbish we earlier discussed on how these immobilizer systems work, where which why when what components involved, seen😉?
Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work,
what components involved,
why what and how to supercalifragilisticexpialidocious do if lost or spare keys🤷♂️!
HAPA UJANJA tu😁🤣😁😜
Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!
TRANSPONDER KEYS
Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwaTransponder Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!
So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi
Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!
ONYO🚨: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case🤷♂️!
Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari!
Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya🤷🏼♂️ namna tulioneshana kwenye hii video
Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems
SMART KEY SYSTEMS
Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!
KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!
So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti
KEYLESS IGINTION SYSTEM
Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari! Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!
KEYLESS ENTRY SYSTEM
Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!
Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu🤷♂️!
So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video
Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani. IMMOBILIZER DECODING🙄, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!
Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!
ONYO 📌
kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje!
Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani! So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!
Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.
So hii App📲 ya kwenye simu au na kompyuta💻, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔!
Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo🙄, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani🤷🏼♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!
Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌! Ni PDF📲 popote💻 kinafunguka!
Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya👌!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje😢!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari🤔, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA🤷♂️!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi👌!