COMPUTER skills DISCUSSIONS👨‍🎓

Tunapata mada yoyote kulingana, kisha tunajadili (discuss) kikamilifu kwa njia ya kawaida mtu yeyote anaweza kuelewa …na mazoezi pia! Hii sio jinsi shule za kawaida zinafundisha, but how the real world is🤔 so You use whatever You learn to solve real problems around You!

COMPUTER ni kifaa cha elektroniki keyenye uwezo wa kupokea ujumbe na kufanya kazi kwa huo ujumbe kulingana maagizo🤔, kiisha kutoa/kuonesha matokeo!

http://www.5021.tips/ujanja/kompyuta


COMPUTER NETWORKING (introduction)

Huu ni muhtasari wa kitafanikwa katika hii blaa blaa COMPUTER NETWORKING, yaani kama simu au laptop au whatever, zinawezaje kuwasiliana nazingine!

#computernetworking #computerbasics #5021tips


COMPUTER NETWORKING (part-1)

Huu ni umbea kwanzia kama computer mbili kwenye room moja kuwezaje kuwasiliana, then may be computer kwenye room tofauti au nyumba tofauto au mji tofauti mpaka mpaka computer zikiwa bara (continet) mbali mbali zinawezaje kuwasiliana! Alafu tukisema computer, ione kama simu au TV au chechote kinachokuwezesha kuwasiliana!

#computernetworking #computerbasics #5021tips


COMPUTER NETWORKING (part-2)

#computernetworking #computerbasics #5021tips


MAC ADDRESS 

MAC address ni kama kitambulisho cha kifa (a.k.a network interface controller ) kinachowezesa kitu chechote kuweza kuungana kwenye (mtandao) network ili kuwasiliana vitu vingine! Hicho ‘kitu chechote’ kinaweza kuwa simu, laptop, printer, gari, nk as long it can connect to any network!

#MACaddress #COMPUTERnetworking #5021tips


 

Translate /Tafsir /Traduire