kuziima AIRBAG WARNING LIGHT

Gari ikipata ajali au ikitetemeka/kutikisa ghafla like kama as if imepata ajali hivi, as in like if U hit a pot hole, alafu taa ya AIRBAG /SRS inabaki inawaka bila kuzima, kumanisha lazima ubadili vifaa fulani! Hata ukiweka Diagnosis mashine, waaapi!

Bonyeza HAPA tuliokumbushana kuhusu namna AIR BAG wiring systems,  ma sensor husika, nk!

So huu uchawi unakuonesha namna ya kuzima hiyo taa bila kubadilisha hivyo vifaa (spare parts)….namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video hapa chini👇, kiisha uweze ku download🍻!