Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌!
HAPA KUNA MASOMO kuhusu immobiliser systems, bonyeza tu👨🏼🎓
ONYO🚨>>
Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora!
Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research nyingi zingine bora🙏🏼!
DOWNLOAD HAPA
IMMO book
1 file(s) 2GB

IMMO book
1 file(s) 2GB