Ujanja wa ENGLISHES👨‍🎓

Jinsi unafahamu lugha ya Kingereza unakutana nayo sehemu nyingi nyingi katika shuguli zako! So ukijifunza uchawi fulani wa matumizi, kuzungumza au kuhandika, inakuwa faida kubwa ili kuulaizisha shuguli zako🤷‍♂️!
Kuna aina kama mbili ya Kingereza (Buisness English & Social Englishes)! Social English ni blaa blaa kawaida ya mtani ya kuzungmza na mnajuana! Buisness English ni ile ya mambo kuwa serious kama ukitembelea ofisi ya mtu, inaekuwa mkutano, au kuongea/kuwandikiana kwa email ki biashara au whatever serious issue as we ellaborated!

 

#englishforbeginners #englishlessons #5021tips


KUTOA SALAMU

Ukitaka kutoa salam kwa lugha ya Kingereza huitaji maneno mengi wala ile wasi wasi wa kwenye saa ngapi maneno fulani yatumike! Sema tu “Hello”, ndiyo hata “Hi” inafanya lakini kulingana nani! 

#BUISNESSenglish #HOWtoGREET #5021tips


EMAIL (Kuwasiliana kwa email- baru pepe) 

Kuna umbea fulani au jinsi unavyoweza kuwasiliana kwa njia ya barua pepe namna kielimu bila wasi wasi, kama jinsi unavyosalimu, urefu wa ujumbe au hata maneno gani inasitahili kutumika, na mengi zaidi!
Part1

Part2

#businessenglish #email #5021tips


Translate /Tafsir /Traduire