Where How to calculate Immobilizer Key codes

Ata hizi diagnosis mashine za kawaida zina uwezo kukamilisha kufanya kazi fulani ukiwa na SECRET CODES fulani!
Infact ata ikiwa kwenye zile mashine maalum za key programming, najua mara nyingi una, uta au umekutana sehemu ya kuhitaji SECRET CODES fulani wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, alafu unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!
HAPA UJANJA tu!

Kwanza kabisa, kwa ubora zaidi, tunadhania umejifunza au umekumbuka  yafuatayo!
👇

Namna, jinsi au ufanyaji kazi  IMMOBILISER SYSTEM wa magari!
Kama bado Bonyeza HAPA!


Tena, hiki kitabu nacho kinakupa mwongozo fulani au mwanga.
Ni PDF unaweza kukisomea kwenye simu📲 yako au computer!
bonyeza HAPA!


Kazi zingine utahitaji ku deal na blaa blaa ya FLASH au EEPROM data kuweza kupakuwa hiyo PIN utahitaji!  Ukitaka kupita kuhusu ujanja wa EEPROM works,
bonyeza HAPA!


Na tena ukitaka kujua hiyo chip au EEPROM ya kusoma data iko wapi!
Kuweka hii program ata kwenye simu au computer, bonyeza HAPA!


Au ukitaka kujua mashine yipi inaoweza kufanya kipi kwa kwenye gari fulani, unabonyeza HAPA!


Sasa, najua umekutana wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!

Mashine inaeza kuwa hizi diagnosis za kawiada au ata mashine zenyewe za kufanya key programming nazo (zingine au nyingi nyigi) zinaulizanga PIN!

Sasa, tumekosanya uchawi wa namna ya kupata hizi PIN kwa kila aina ya gari!

Kama hutaki kuendelea kusoma hizi blaa blaa, shuka chini ya hii page uweze ku download ata kwenye simu!

Tumeweka au kuoneshana namna ya kufanya kwa kila! Unaeza kuta zingine unaingiza tu Chasis number ya hiyo gari na ukapata PIN ya hiyo funguo, zingine unaingiza tu PartNumber ya kifaa fulani, inaeza kuwa ya ECU au IMMO BOX au INSTRUMENT cluster, au anything!

Mifano tu👇

Kwenye NISSAN fulani inaeza kuta unahitaji hiyo 5 digit code imezungushwa kwa ki red box kwenye label
Inaeza kuwa kwenye Toyota, may be hiyo mashine uliyo nayo haiwezi kufanya uchawi wa PIN automatically, kwamba unahitaji kuingiza hiyo SEED NUMBER uweze ku caliculate hiyo PIN CODE kama hapa chini!Inaeza kuwa umekwama na VW/AUDI kumbe ujanja ni kuifungua na kusoma data kwenye EEPROM fulani kwenye instrument cluster amabapo code imejicha!Unaeza kuta gari zingine, funguo hijapotea, lakini imegoma tu kuasha hiyo gari na inaitisha PIN fulani, kumbe uchawi ni kufunguo tu hiyo ufunguo usome keyTAG na paaaaa….

aode
mitsvazSWA
swamitsu
flashEN
FlashSW
ml
aotadakey
enPROG
swaPROGr
272764590_128787566304534_1345823714250307931_n

👇👇👇

UKITAKA KUPAKUWA, NDO HAPA SASA
kwenye simu📲 au kompyuta💻
👇

👆
password:
Tetogwa walwa ibili2

👆