VITABU

Hivi ni vitabu vya kila technical field,
bila kufuata mlolongo wowote👌!
Tunaweka tu chochote tunaodhani kinaweza kuongezea ujanja kwa mtu yeyote!
Unaweza hata kupakua, as in download,  kwa simu au computer🤷‍♂, au…. kwamba wakati wowote unapotaka kusoma utapitia usumbufu wa kurudi hapa😒!

Vingi ni bure💃🕺, na vingine ni mbili tu🍻!

HAPA UJANJA tu👨‍🎓

Automobile Electrical & Electronic Systems (PDF) basics/msingi

After reading, and learning, go practice pole pole! Do it yourself, teach yourself! Unajua We randomly just pile up ...

VET (Vocational Education Training) Heavy Duty Vehicles, Machines (vitabu)!

Hizi vitabu vya VET (Vocational Education Training) viko katika lugha ya wenzetu, tumeiba uko uko! Kama vitakusiadia, inshaÁllah🤞 ...alafu, usisahu ...

Computerized Engine Controls (kitabu)

Hiki kitabu, Computerized Engine Controls,  jinsi unaona 👇kuna taka taka zote za kuanzia kujifunza uchawi wa,  electronic control systems iliopo magari ...

ENGINEERING BOOKS (random)

I hope these books give a complete overview, understanding of the components and workings of the respective Engineering platforms! I'm ...

AUTOMOTIVE BOOKS (random)

I hope these books give a complete overview, understanding of the components and workings of a vehicle from the engine ...

Electronic Diesel Control (Bosch)

The electronic control of a diesel engine provides for precise and selective adjustment of the fuel-injection settings. A new diesel ...

Bosch Automotive Electrics and Automotive Electronics(PDF)

Of late, the development of the motor vehicle has been marked by the introduction of electronics. At first, electronic systems ...

Vehicle Maintenance Vehicle Fitting Book

As you see. this stolen book is meant to guide you through many of the practical jobs you will have ...

AUTOMOTIVE COMPUTERIZED CONTROL SYSTEM (intro)

Kama unavyotambua, magari ya zamani hayakuwa magumu, yaani, mifumo ya wiring ilikuwa rahisi, hayakuwa na hizo bla blaa ya sensor, ...

Automotive Engine Diagnosis & Repair (Kitabu)

Inakuwa vizuri ukisoma wakati unafanya mazoezi, mwenyewe🤷‍♂️! Lugha ikikusumbua, tumia App ya kutafsiri kwa lugha yeyote, Lingala, Chichewa, Luganda, Luo, ...

Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems (kitabu)

Hiki kitabu, Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems,  jinsi unaona 👇kuna taka taka zote za kuanzia kujifunza uchawi wa,  emagari ...

Heavy Duty Truck Systems (Kitabu)

Jinsi👇unavyoona, kitabu hiki👇 kina maelezo ya kukuongoza, unaposhughulika na magari makubwa, kama vile, lori, mabasi, matrekta, injini kubwa kama zile ...

Kitabu 🔑kuonesha KEY PROGRAMMING 📚Data

Kama huna mda kuharibu kusoma maelekezo, Bonyeza HAPA, ...insha'Allah, Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye ...

KEY PROGRAMMING, REMOTES & SERVICE 🩺INDICATORS instructions📚!

I'm sure You already have some idea on of how the engine immobilizer systems work, oui🤔? click HERE ...

Electric and Hybrid Vehicles (Kitabu)

The first book on electric and hybrid vehicles (EVs) written specifically for automotive students and vehicle owners! As you can ...

Electric and Hybrid Vehicles (kitabu)

For deep sh*t on HYBRID Vehicle's, Click HERE Jinsi unasikia 'nga, tofauti kuu kati ya magari ya umeme ...

BENZ ACTROSS ELECTRONIC SYSTEMS

Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of Mercedes-Benz, buses, trucks, whichever🤷‍♀️! By the ...

Electronic🩺 Service Information’s (ESI📚)

Hii mojawapo ya programu zinazokuongoza uweze kutambua tatizo #autodiagnosis upimaji testing & ukarabati autorepair 👇! Unapata michoro ya matengenezo, michoro ...

How To Simple Setup Auto Repair Workshop’s System, Customers, Vehicles, Spare Parts, Technicians, Accounts

Hii simple, Auto Repair Workshop's System (Customers, Vehicles, Spares, Technicians, Repair Database) software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na ...

DENSO Tech Training Data

Kama vile makampuni mengi yanavyoandaa mafunzo maalum kwa mafundi wa mawakala wao, chochote wanachoweka ndani yake, ndicho tunachopakia kwa ajili ...

ECU programming, (Bench & Boot) terminals + circuit board’s constellations

If You don't want read nonsense, just  DOWNLOAD 👇 HERE HAPA  👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 (This rubbish is some on, if there ...

TOYOTA (general) vehicles’ technology TRAINING

Taarifa hizi zimeibiwa kutoka sehemu fulani, kwa ajili yako, kutoka kwa masomo yanoaandaliwa na wataalam wa Toyota na Lexus! ...

MOBILE📲PHONE (tablets)

Hapa tunakusanya taka taka zote za simu, tablet, nk! Hakuna mpangilio, chochote tunachokutana nacho, ambacho ni muhimu, tunaweka tu🤷‍♂️! ...

Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

You know combustion engine (X) used in vehicles😉?How it works, insha'Allah😳! Whatever magic that happens, rotates the tyres(T) to move ...

ECU Circuits’ Electronic Components (part 2)

As Electronic Control Units are continuing to be a 'must part' of almost every vehicle🧐, ...so is the 'ujanja' dealing ...

SCANIA (Diagnostics & Repair Tips) Data Information

This SCANIA's Repair information could help You diagnose, as in to pinpoint, the root causes of problems with several SCANIA ...

Design, Distribution of Electrical Services for Buildings (vitabu)

Naaam, jinsi unafahamu, huduma za umeme ni sehemu muhimu katika jengo lolote! So, ni muhimu kwa wataalamu wa ujenzi kuelewa ...

Control System Design Guide (kitabu)Using Your Computer to Understand and Diagnose Feedback Controllers

This book seems to provide an intuitive approach to controls🤷‍♂️! Juu it's avoiding unnecessary mathematics and emphasizing key concepts ...

Automobile Mechanical and Electrical Systems (kitabu)

Unajua We randomly just pile up Automotive electrical and electronics books! Insha'Allah, these could be You used by not only ...

vitabu vya ufundi gari

Hii tumeokota tu sehemu, may be kitakusaidia, insha'Allah✌ HAPA UJANJA tu! Ukitaka ile App ya SIMU📲 au KOMPYUTA💻 bonyeza ...

Advanced Diploma in Electrical Engineering (stolen Exercises)

The exercises contained in this nonsense are part of the guided Advanced Diploma in Electrical Engineering study lessons! We ...

VAG (VW Audi Group) UJANJA

Kuna maandishi muhimu, kuhusu magari ya VAG, ambayo mara nyingi tunapata! Sasa, sii HAPA UJANJA tu😉, so tutakuwa tunaweka hapa, ...

CAT Heavy Equipment Service, Diagnostics & Repair Tips

Ikijumuisha na mafunzo ya jinsi kila mfumo unavyofanya kazi, hii Service, Diagnosis & Repair database inakuongoza wewe fundi kuhusu jinsi ya ...

BUILDING CONSTRUCTION (vitabu)

Tulikusanya takataka kutoka sehemu tofauti tofauti, tunadhani itakuwa ya msaada! Elimu yoyote inayoshirikiwa, ni ya wamiliki wa vitabu hivi! HAPA ...

CUMMINS ENGINES (Service, Diagnosis, Electrical, Repairs’ Information)

These contain, Service, Diagnosis, Electrical, Repairs’ Information for the correct operation and maintenance of respective Cummins engine!  Hapa Ujanja Tu 👇👇👇 ...

HOISTING and RIGGING (kitabu)

Whoever shared this knowledge in this book cautioned You how the contents contained are for general information only. ...

ADHESIVE & SEALANTS (kitabu)

From wherever we picked the book, We believe it provides an understanding of adhesives and sealants as a means for ...

How To Read, Use Electrical Wiring Diagrams

Kwa sababu kuna taarifa nyingi, zinazoonyesha na kuelezea, kila kitu kwenye mchoro wa wiring🤔! Ikiwa utajifunza ujanja huu, inaweza kuchukua ...

KUSOMA CIRCUIT/wiring DIAGRAMS(michoro)

Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha🤔, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana🤷🏼‍♂️! Aanza kujua maana ya alama zilizomo, then ...

Wiring Harness Repair Instructions (How-TO)

Mwongozo huu umetayarishwa kutumika kufanya matengenezo ya terminal, ukarabati wa waya, au kiunganishi matengenezo ya magari. Kuna sehemu ya hatua ...

ANDROID SECRET CODES

Kwenye simu yako kuna menyu nyingi zenye ujanja wa tofauti uliofichwa, na kuzifikia hizi menyu ni kutumia hizi misimbo au ...

ECU terminals’ pinouts, ECU circuit board’s electronic components

Huu ni mkusanyiko wa picha au vitabu (PDF) yakuonesha michoro pamoja na kazi ya vifaa (electronic componets) zizilyopo kwenye motherboard ...

ECU PINOUTS

Unajua, this is the most incomplete list, yaani haaaaaishi, juu kila wakati tunaweka mchoro mpya wa ECU, iwe ya Engine, ...

Kupata OBD CODE bila mashine

Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi ...

Introduction to Engine Control System Processes and Diagnostic Tools

The purpose of this section is to help you understand the general diagnostic process that you will follow regardless of ...

Full Auto Diagnosis & Troubleshooting, Technician Technical Training (partX)

Ukumbuke, haya maandishi ya PDF yote, yako pia kitika video ndefu ya systems zote! Unaeza kubonyeza HAPA, uende moja kwa ...

Full Auto Diagnosis & Troubleshooting, Technician Technical Training (partY)

Ukumbuke, haya maandishi ya PDF yote, yako pia kitika video ndefu ya systems zote! Unaeza kubonyeza HAPA, uende moja kwa ...

Computer Repair text book

This this Computer Repair Textbook  is true book that reveals exactly how to be successful in the Computer Repair Business ...

Teach Yourself Electricity and Electronics

This book offers easy-to-follow lessons in electricity and electronics' fundamentals and applications with minimal math, plenty of illustrations and practical ...

HOW TO RESET CHANGE ENGINE OIL SOON WARNING

Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika! So ukimaliza kufanya service ...

TEXTto📢VOICE

kwenye hii software unaweka tu maandishi ya lugha yeyote ili usikilizie kuliko kusoma🤷‍♂️ DOWNLOAD 👇 👆👆 ...

KIZUNGU SOUNDS

Simple, kwenye simu📲 yako au computer💻, unasoma haya maneno wakati unamsikiliza mtu akiyatamka! Ukitaka kujua maana yao, tumisa app ya ...

KITABU📚The Basic Principles of Computers for Everyone

Kitabu hiki kinafichua siri za kompyuta kwa kila mtu kuona🤷‍♀️! Kiliandikwa na mkongwe wa kompyuta wa miaka 40 ambaye anataka ...

Computer Repair with Diagnostic Flowcharts

 Troubleshooting PC Hardware Problems from Boot Failure to Poor Performance! ...

OBD FAULT CODE DESCRIPTION & REPAIR CHARTS

Hiki kitabu kinajaribu kufafanunlia maana ya OBD fault code, wapi tatizo lilipo kwenye gari, pamoja na umbea wa ziada wenye ...

ECU & KEYs’ random PDF-wittings

Whatever PDF writing's we come across, about ECU & KEYs', we just load here🤷‍♀️ HAPA UJANJA tu👌 Remote Keyless Entry ...

COMPUTER HARDWARE (beginner’s guide)

This book is intended to provide an in-depth introduction to the hardware and technology of the personal computer and to ...

AUTODTA a tout useful👌

This just showing  how AUTODATA is useful! To access visit👇 www.autodata-group.com ....otherwise to login👇 workshop.autodata-group.com/login GET this useful how to ...

Advanced Automotive Fault Diagnosis: Automotive Technology: Vehicle Maintenance and Repair

 As you know, diagnostics, or fault finding, is a fundamental part of an automotive technician's work, and as automotive systems ...

Automatic Transmission 722.9 NAG2 (7-Speed) Diagnosis, Repair Advanced Training

This 7 Speed planetary automatic transmission W7A 700 with seven forward and two reverse gears is based on the consistent ...

Kitabu cha ufundi umeme (Advanced Electrical Installation Work)

Mwenyewe unaona au utaona wingi wa picha za rangi kamili na michoro kuelezea kila kuhumu blaa blaa za umeme! Kuna ...


May be whatever is causing You believe MUST do some nonsense to the vehicle, is some minor external problem with the sensors or actuators🤷‍♂️!
So, this ujanja is how to check, verify all the control electronics in the vehicle, are in proper order!
click here

👇
IMMO OFF files
☝☝
click
These files to disable immobilizer system so the ecu accepts any random key used!

HAPA UJANJAtu, hii ndio jinsi ya kugundua, kupata na kupima componets za ECU, kisha suluhisha shida hiyo. inshaAllah👇
Click Here
bonyeza HAPA 

ECU cloning, duplicating or switching memory data’s,
flash memory data, EEPROM memory data, jogolize data,
HAPA UJANJA tu!
click HERE

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye  ECU.
Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!
Click HERE

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje,
…bonyeza HAPA UJANJA tu 


Translate /Tafsir /Traduire