GROUND, NEUTRAL, EARTH, connections explained

Hata kama EARTH na GROUND ni kama kitu kimoja, lakini ni tofauti!
Kwa kingereza ya Merikani wanasema GROUND, alafu kwa Kingereza ya Ulaya(Europe) ni EARTH, so sometimes maana inakuwa confused!
So is why we tried to explain the difference in this video


DPF-off, EGR-off, FAP-off, LAMBDA-off

Uchawi wa hiizi software, sio kufuta tu code, BUT kutoa kabisa kwa system ya gari, hizo blaa blaa za DPF (Diesel Particulate Filter), EGR (Exhaust Gas Recirulation), LAMBDA ambao ni Oxygen sensor au A/F sensors, ya kwamba kamwe gari kusumbuliwa tena!

Ukitaka kujikumbusha kuhusu DPF bonyeza hapa!
Sii unajuja usumbufu uliopo gari ikianza hizo blaa blaa kukosa nguvu, check engine light kuaka, nk, juu ya hiizi DPF blaa blaa🤔?


So what You need ni uwezo tu wa kusoma Flash data za ECU, kiisha unazipitisha kwenye hiizi software zifanye uchawi, then unarudisha hizo data kwa ECU🤷‍♂️!

Ukitaka kumbuka namna kuchagua mashine itaweza kusaidia, may be upumbavu huu👇 unaeza saidia!

…..na ukumbe memomory tofauti tofauti zinaeza kuwa ndani ya memory moja🤔

Ukumbuke kujiamini, coz kazi ni rahisi👇


As long as una hizo data za DRIVER (microcontroller) au na MCU (microprocessor), au na EEPROM husika, hapa tumeweka taka taka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia!

So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unataka👌

Ndiyo, password ni  🍻mbili tu!
📲DOWNLOAD 👇👇
👆👆
Ata kwa simu📲, then extract💻! 


Otherwise 👇below is some briefing on about how it works! 


Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a battery.
So this from TOYOTA engineer is to help you know how to perform the necessary maintenance, service, and repair procedures on hybrid cars!

HAPA UJANJA tu👌

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [578.79 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [876.77 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [317.16 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [795.14 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [679.71 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [344.10 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [31.60 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [273.54 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [408.52 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [690.86 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [713.37 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [400.79 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [189.67 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [209.45 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [162.60 KB]

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [83.24 KB]


ufafanuzi wa MANENO fulani ya kitaalam

Hapa tunajaribu kufafananua au kuelezeana maana ya maneno fulani ya kitaaalam👌, ambao tunatumia katika maisha yetu ya kila siku, bila kujua maana🤔!
So, HAPA UJANJA tu👨‍🎓



VITABU

Hivi ni vitabu vya kila technical field, bila kufuata mlolongo wowote👌, kwa sababu tunaweka tu chochote kinachoonekana kuwa cha mhimu kwa mtu yeyote!
Unaweza hata kupakua, as in download,  kwa simu au computer🤷‍♂, au…. kwamba wakati wowote unapotaka kusoma utapitia usumbufu wa kurudi hapa😒!

Vingi ni bure💃🕺, na vingine venye gharama, sii unajua😉? Ni mbili tu🍻!

HAPA UJANJA tu👨‍🎓

DENSO Tech Training

Jiweke katika ubora na mafunzo haya ya hali ya juu mahususi ya mtengenezaji, DENSO! Hii imeundwa ili kutayarisha, na au kuendeleza ujuzi na ujuzi wako ikiwa tayari wewe ni fundi! ...

VAG (VW Audi Group) UJANJA

Kuna maandishi muhimu, kuhusu magari ya VAG, ambayo mara nyingi tunapata! Sasa, sii HAPA UJANJA tu😉, so tutakuwa tunaweka hapa, hatutafuata mlolongo wowote, yaani tunayopata ndo tunaweka, kwa bila mpangilio ...

CAT Heavy Equipment Service, Diagnostics & Repair Tips

Ikijumuisha na mafunzo ya jinsi kila mfumo unavyofanya kazi, hii Service, Diagnosis & Repair database inakuongoza wewe fundi kuhusu jinsi ya kuunganisha na kukarabati kila sehemu katika hizi CAT, obviously pamoja ...

How To Simple Setup Auto Repair Workshop’s System, Customers, Vehicles, Spare Parts, Technicians, Accounts

Hii simple, Auto Repair Workshop's System (Customers, Vehicles, Spares, Technicians, Repair Database) software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu kazi zinazofanywa au kazi zimewahi kufanywa, ama hizo zakufanywa ...

ujanja wa Electronic Service Information’s(ESI)

Hii ni mojawapo ya programu zinazoongoza, zenye mwongozo kwa ajili ya matengenezo, utambuzi, yaani Auto Diagnosis, na ukarabati wa magari. Unapata michoro ya matengenezo, michoro za waya, na vingine vingine ...

ECU programming, (Bench & Boot) terminals + circuit board’s constellations

ECU programming, reading and or writing data, can be done via boot, bench, or OBD modes🤷‍♂️! Hakuna Matata, it's Your choice🧐, BUT each offers varying levels of access to, and ...

BUILDING CONSTRUCTION (vitabu)

Tulikusanya takataka kutoka sehemu tofauti tofauti, tunadhani itakuwa ya msaada! Elimu yoyote inayoshirikiwa, ni ya wamiliki wa vitabu hivi! HAPA UJANJA tu! ...

Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems (kitabu)

Hiki kitabu, Modern Diesel Technology Heavy Equipment Systems,  jinsi unaona 👇kuna taka taka zote za kuanzia kujifunza uchawi wa,  emagari makubwa , vi mashine vya kufanya kazi nziiito, nk! Insha'Allah, ...

SCANIA (Diagnostics & Repair Tips) Data Information

This SCANIA's Repair information could help You diagnose, as in to pinpoint, the root causes of problems with several SCANIA systems setups!   This rubbish includes guides, repair ujanja, with detailed ...

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌! ...

TOYOTA (general) vehicles’ technology TRAINING

Taarifa hizi zimeibiwa kutoka sehemu fulani, kwa ajili yako, kutoka kwa masomo yanoaandaliwa na wataalam wa Toyota na Lexus! Kampuni nyingi zinakuwa na kiwango cha mafunzo ambayo ni maalum ...

VET (Vocational Education Training) Heavy Duty Vehicles, Machines (vitabu)!

Hizi vitabu vya VET (Vocational Education Training) viko katika lugha ya wenzetu, tumeiba uko uko! Kama vitakusiadia, inshaÁllah🤞 ...alafu, usisahu kutafsiri na simu, kwa lugha unaelewa jazakÁllah✌ HAPA UJANJA tu👌 ...

vitabu vya ufundi gari

Hii tumeokota tu sehemu, may be kitakusaidia, insha'Allah✌ HAPA UJANJA tu! Ukitaka ile App ya SIMU📲 au KOMPYUTA💻 bonyeza HAPA ...

Automobile Electrical & Electronic Systems (PDF) basics/msingi

After reading, and learning, go practice pole pole! Do it yourself, teach yourself! HAPA UJANJA tu👀   Ukitaka ile App ya SIMU📲 au KOMPYUTA💻 bonyeza HAPA ...

Bosch Automotive Electrics and Automotive Electronics(PDF)

Of late, the development of the motor vehicle has been marked by the introduction of electronics. At first, electronic systems were used to control the engine (electronic fuel-injection systems), then ...

Computerized Engine Controls (kitabu)

Hiki kitabu, Computerized Engine Controls,  jinsi unaona 👇kuna taka taka zote za kuanzia kujifunza uchawi wa,  electronic control systems iliopo magari ya kisasa! Insha'Allah, iki kitabu cha wenyewe tumeiba tu, lakini ...

Vehicle Maintenance Vehicle Fitting Book

As you see. this stolen book is meant to guide you through many of the practical jobs you will have to do! HAPA UJANJA tu, where necessary, it also gives ...

CUMMINS ENGINES (Service, Diagnosis, Electrical, Repairs’ Information)

These contain, Service, Diagnosis, Electrical, Repairs’ Information for the correct operation and maintenance of respective Cummins engine!  Hapa Ujanja Tu 👇👇👇 CUMMINS marine generator manual ...

HOISTING and RIGGING (kitabu)

Whoever shared this knowledge in this book cautioned You how the contents contained are for general information only. The writings should not be regarded or relied upon as ...

ADHESIVE & SEALANTS (kitabu)

From wherever we picked the book, We believe it provides an understanding of adhesives and sealants as a means for assembling and adding value to finished products. The importance and ...

Electronic Diesel Control (Bosch)

The electronic control of a diesel engine provides for precise and selective adjustment of the fuel-injection settings. A new diesel engine can only manage all of the demands placed on ...

KEY PROGRAMMING, REMOTES & SERVICE INDICATORS instructions

Gusa twasuzumye (scanned) iki gitabo kugirango kibe PDF📲, ikora no kuri terefone nto! HAPA UJANJA tu! Igitabo kirakwigisha ubuhanga butandukanye kubyerekeye urufunguzo! Videwo👇 yometseho irakwereka ibirimo, ukeka ko izagufasha! Jya ...

AUTOMOTIVE COMPUTERIZED CONTROL SYSTEM (intro)

Kama unavyotambua, magari ya zamani hayakuwa magumu, yaani, mifumo ya wiring ilikuwa rahisi, hayakuwa na hizo bla blaa ya sensor, ECU, nk! Sasa, magari ya siku hizi ni vinginevyo, kuna ...

How To Read, Use Electrical Wiring Diagrams

Kwa sababu kuna taarifa nyingi, zinazoonyesha na kuelezea, kila kitu kwenye mchoro wa wiring🤔! Ikiwa utajifunza ujanja huu, inaweza kuchukua sekunde sifuri kuelewa mchoro wa waya🤷‍♂️! HAPA UJANJA tu! Wiring ...

KUSOMA CIRCUIT/wiring DIAGRAMS(michoro)

Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha🤔, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana🤷🏼‍♂️! Aanza kujua maana ya alama zilizomo, then componet au kifa gani unafatilia, kinafanyaje kazi na kupata wapi ...

Wiring Harness Repair Instructions (How-TO)

Mwongozo huu umetayarishwa kutumika kufanya matengenezo ya terminal, ukarabati wa waya, au kiunganishi matengenezo ya magari. Kuna sehemu ya hatua kwa hatua juu ya ukarabati wa kiunganishi na ukarabati wa ...

ANDROID SECRET CODES

Kwenye simu yako kuna menyu nyingi zenye ujanja wa tofauti uliofichwa, na kuzifikia hizi menyu ni kutumia hizi misimbo au tuseme nambari hizi za siri! Baadhi ya misimbo hujulikana kama, ...

MOBILE📲PHONE (tablets)

Hapa tunakusanya taka taka zote za simu, tablet, nk! Hakuna mpangilio, chochote tunachokutana nacho, ambacho ni muhimu, tunaweka tu🤷‍♂️! HAPA UJANJA tu✌ Kama unavyojua, leo, simu ni kama sehemu ...

ECU terminals’ pinouts, ECU circuit board’s electronic components

Huu ni mkusanyiko wa picha au vitabu (PDF) yakuonesha michoro pamoja na kazi ya vifaa (electronic componets) zizilyopo kwenye motherboard za ECU. Mfano; ni yipi Processor, EEPROM, Controller ama DRIVER ...

ECU PINOUTS

Unajua, this is the most incomplete list, yaani haaaaaishi, juu kila wakati tunaweka mchoro mpya wa ECU, iwe ya Engine, ABS, Suspension, Airbag, nk! Tunaweka za kila gari, kwa namna ...

Electric and Hybrid Vehicles (kitabu)

Jinsi unasikia 'nga, tofauti kuu kati ya magari ya umeme Electric Vehicles, na ya hybrid, ni kwamba magari ya umeme (EVs) yanatumisa tu umeme kabisa, ....wakati magari ya hybrid ...

Automotive Engine Diagnosis & Repair (Kitabu)

Inakuwa vizuri ukisoma wakati unafanya mazoezi, mwenyewe🤷‍♂️! Lugha ikikusumbua, tumia App ya kutafsiri kwa lugha yeyote, Lingala, Chichewa, Luganda, Luo, Sukuma, Zulu, nk😎 HAPA UJANJA tu✌ Ukitaka ile App ya ...

ECU Circuits’ Electronic Components (part 2)

Tafadhali zingatia hili, kwa sababu tuna sehemu nyingi tofauti! Kuna sehemu ya kuonyesha miunganisho ya pini za kwenye ECU, yaani ECU pinouts! Halafu kuna sehemu kwa wale wanaofanya programing ...

Kupata OBD CODE bila mashine

Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi zinakuanga na socket moja juu siku hizi gari zote ni ...

Heavy Duty Truck Systems (Kitabu)

Jinsi👇unavyoona, kitabu hiki👇 kina maelezo ya kukuongoza, unaposhughulika na magari makubwa, kama vile, lori, mabasi, matrekta, injini kubwa kama zile zinazotumika katika jenereta, na mengine mengi! HAPA UJANJA tu👇 ...

Introduction to Engine Control System Processes and Diagnostic Tools

The purpose of this section is to help you understand the general diagnostic process that you will follow regardless of the type of customer concern you are troubleshooting... .....and also ...

Full Auto Diagnosis & Troubleshooting, Technician Technical Training (partX)

Ukumbuke, haya maandishi ya PDF yote, yako pia kitika video ndefu ya systems zote! Unaeza kubonyeza HAPA, uende moja kwa moja au ushuke chini  kabisa!  RANDOM STUDY MATERIALS Hizi ni ...

Full Auto Diagnosis & Troubleshooting, Technician Technical Training (partY)

Ukumbuke, haya maandishi ya PDF yote, yako pia kitika video ndefu ya systems zote! Unaeza kubonyeza HAPA, uende moja kwa moja au ushuke chini  kabisa!  RANDOM STUDY MATERIALS Hizi ni ...

Computer Repair text book

This this Computer Repair Textbook  is true book that reveals exactly how to be successful in the Computer Repair Business. This book is for those just starting out in the ...

Teach Yourself Electricity and Electronics

This book offers easy-to-follow lessons in electricity and electronics' fundamentals and applications with minimal math, plenty of illustrations and practical examples, and test-yourself questions that make learning go more quickly.  ...

HOW TO RESET CHANGE ENGINE OIL SOON WARNING

Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika! So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza ...

TEXTto📢VOICE

kwenye hii software unaweka tu maandishi ya lugha yeyote ili usikilizie kuliko kusoma🤷‍♂️ DOWNLOAD 👇 👆👆 ...

KIZUNGU SOUNDS

Simple, kwenye simu📲 yako au computer💻, unasoma haya maneno wakati unamsikiliza mtu akiyatamka! Ukitaka kujua maana yao, tumisa app ya kutafsiri! Hebu, ukitaka, unaeza kutazama hii video uone niaje, ukiona ...

Electric and Hybrid Vehicles (Kitabu)

The first book on electric and hybrid vehicles (EVs) written specifically for automotive students and vehicle owners! As you can see, this book is with clear diagrams, photos and flow ...

KITABU📚The Basic Principles of Computers for Everyone

Kitabu hiki kinafichua siri za kompyuta kwa kila mtu kuona🤷‍♀️! Kiliandikwa na mkongwe wa kompyuta wa miaka 40 ambaye anataka kuondoa siri kutoka kwa kompyuta na kuruhusu kila mtu kupata ...

Computer Repair with Diagnostic Flowcharts

 Troubleshooting PC Hardware Problems from Boot Failure to Poor Performance! ...

OBD FAULT CODE DESCRIPTION & REPAIR CHARTS

Hiki kitabu kinajaribu kufafanunlia maana ya OBD fault code, wapi tatizo lilipo kwenye gari, pamoja na umbea wa ziada wenye namna tofauti tofauti chakufanya ili kutatua hilo tatizo! ...

ECU & KEYs’ random PDF-wittings

Whatever PDF writing's we come across, about ECU & KEYs', we just load here🤷‍♀️ HAPA UJANJA tu👌 Remote Keyless Entry Programming Chart ...

COMPUTER HARDWARE (beginner’s guide)

This book is intended to provide an in-depth introduction to the hardware and technology of the personal computer and to answer your questions about how it all works. Everyday ...

Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a ...

AUTODTA a tout useful👌

This just showing  how AUTODATA is useful! To access visit👇 www.autodata-group.com ....otherwise to login👇 workshop.autodata-group.com/login GET this useful how to use, how helpful AUTODAT is, 👇 HAPA HERE 👆and ...

Advanced Automotive Fault Diagnosis: Automotive Technology: Vehicle Maintenance and Repair

 As you know, diagnostics, or fault finding, is a fundamental part of an automotive technician's work, and as automotive systems become increasingly complex there is a greater need for better ...

Automatic Transmission 722.9 NAG2 (7-Speed) Diagnosis, Repair Advanced Training

This 7 Speed planetary automatic transmission W7A 700 with seven forward and two reverse gears is based on the consistent further development of the previous 5-Speed automatic transmission W5A 580 ...

BENZ ACTROSS ELECTRONIC SYSTEMS

Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of MercedesBenz trucks. The contents in here are split up into: • function descriptions • component ...

Kitabu cha ufundi umeme (Advanced Electrical Installation Work)

Mwenyewe unaona au utaona wingi wa picha za rangi kamili na michoro kuelezea kila kuhumu blaa blaa za umeme! Kuna ufafanuzi ulioangaziwa wa istilahi za kiufundi kote kwa marejeleo ya ...


ENGINE SPEED vs VEHICLE SPEED

ENGINE SPEED inamanisha mwendo engine inazunguka (a.k.a RPM) alafu VEHICLE SPEED ni mwendo wa gari zima au tuseme muzunguko wa tayari although sio!
Hizi signal zinakuwa programmed tofauti tofauti as shown in this nonsense video!

#RPM #VEHICLESPEED #5021tips


uchawi wa MAGNETIC HALL EFFECT⚡

Nguvu za magineti👌 zikija karibu kwa wire au kifaa chechote kinachopitisha umeme na kwamba kuna umeme unaopita🤔kwa hiki kifaa, kuna uchawi funi utakaotokea kusababisha/kuzalisha umeme namna tulivyolekezana kwa hii video👇! 

#MAGNETICHALLEFFECT #HALLeffect #5021tips


 

Kuhusu ESP (Electronic Stability Programme)

Electronic Stability Program (ESP) ama Electronic Stability Control (ESC), au tena Dynamic Stability Control (DSC), ni uchawi wa ku improve a computerised vehicle’s stability by detecting and reducing loss of traction (skidding).

ESP baada ya ku detect any loss of steering control, kuna namna it applies the brakes kuifanya gari irudi where the driver intends to go bila kupagawa namna tulijaribu kuelezea!

#automotiveESP #VEHICLEDYNAMICS #5021tips


Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)🚒

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)🚆!
Sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!

Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu👇kumbushana!

#DPF #ADblue #5021tips


Bonyeza hapa NAMNA YA KUONDOA HII SYSTEM KWENYE GARI, yaaani uchawi wa DPF DELETE!

AIRBAG (SRS) SYSTEM’s (Diagnostics, Restore or & Repair Tips)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi isio ya kawaida, hii sensor ‘sensa’ itapeleka umbea chap kwenda kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata ujumbe, kulingana, itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAG  namna tulijaribu kuoneshana hapa👇pamoja  na chakufanya ili  kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG👨‍🔧


Ajali ikitokea, kompyuta itahifadhi kumbukumbu hili, kwamba ata ukiweka diagnosis mashine ili kuzima taa ya AIRBAG haiwezekani!

Sasa ukibonyeza HAPA  kuna ka uchawi ka kuzima au ku reset Airbag kufanya kompyuta isahau chechote, yaaani idanganye kwamba gari ni forever new!


Kuzima AIR BAG bila mashine, kulingana especially kama gari hapana kupata ajali👇


 

 

 


Maana ya maandishi kwenye mitungi🧴 ya oil

Watu wengi wamebadilisha mafuta (OIL) ya gari lao wenyewe au wamepeleka gari kwa garage kwa wataalamu!

Sasa, kipengele muhimu kuhusu blaa blaa ya mafuta (OIL) ni kuchagua aina ya OIL sahihi pamoja na right quantity🤔!

I swear, unahitaji kuzingatia nambari zilizo kwenye lebo ya mafuta (OIL) ya gari.

Unaweza kuona kitu kama “10W30” au “5W20” na ukashangaa wanamaanisha nini hiki😁😂🤣😃😄😅.


#oilspecifications #engineoil #5021tips


Uchawi wa PIEZOELECTRIC EFFECT

Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa😂🤣😁, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme.

TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, kitatemeka (to vibrate/shake or move)! So ni vice versa namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video🤷🏼‍♂️


KEY 💻 PROGRAMMING ujinga

We are disorganized🤧🤮!
In no particular order We keep adding whatever nonsense tahat comes up, insha’Allah🤞!

 

We packing loads of rubbish here, very useless!
Just make sure You can make sense out of this nonsense, seen🤷‍♀️?

 

Whether, Keys type X or type Y, make sure You be able to do spare keys, lost keys, synching whatever Z hardware wherever necessary, atleast have an idea, bomboclat😁🤣😂

Our things are very disorganised, just fight and get what could help You, insha’Allah



We demonstrated how KEY PROGRAMMING is done on different vehicle brands, lost keys, spare keys, and not immo off!

Whatever nonsense is shown in this video is more nonsense if You don’t first go through all the rubbish we earlier discussed on how these immobilizer systems work, where which why when what components involved, seen😉?


Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work,
what components involved,
why what  and how to supercalifragilisticexpialidocious do if lost or spare keys🤷‍♂️!

HAPA UJANJA tu😁🤣😁😜



Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!


TRANSPONDER KEYS

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa.
Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder

Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!

So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi

Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!

ONYO🚨: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case🤷‍♂️!



NISSAN (NVIS /NATS) systems’ ujinga

Ukitaka uchawi wa ziadia kuhusu NISSAN,
unaeza bonyeza HAPA kwenda👇

 



TRANSPONDER DETAILS

Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa!
Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari!
Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya🤷🏼‍♂️ namna tulioneshana kwenye hii video



Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems


SMART KEY SYSTEMS

Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!

KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!

So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti


KEYLESS IGINTION SYSTEM

Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari!
Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!


KEYLESS ENTRY SYSTEM

Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!


Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu🤷‍♂️!

So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video



SUBARU reminder



IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING

Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.  IMMOBILIZER DECODING🙄, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!

Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!

ONYO 📌

kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje! 

Data za IMMO OFF 
BONYEZA HAPA



IMMOBILIZER SECRET PIN CODES

Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani! 
So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!

BONYEZA HAPA 



TRANSPONDER & EEPROM details!


Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.

So hii App📲 ya kwenye simu au na kompyuta💻, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔!


BONYEZA  HAPA



EEPROM WORK

Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo🙄, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani🤷🏼‍♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!

BONYEZA HAPA



KEY PROGRAMMING BOOK

Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌!
Ni PDF📲 popote💻 kinafunguka!

BONYEZA HAPA 



KEY PROGRAMMING SOFTWARES

Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya👌!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje😢!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari🤔, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA🤷‍♂️!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi👌!


BONYEZA HAPA TO DOWNLOAD THIS FULL PACKAGE OF DVD


na TENA na tena, je🤔

STARFINDER inafunguka hata kwenye simu popote ulipo🤷🏼‍♂️

Yes, ni free but don’t flee😂😁!
Unachangia just 2🍻drinks,
compensate for our time & data🧐!

CHAT, ask👇 SUZAN for passwords🤷‍♀️!

EMAIL📩 ujanja@5021.tips
WhatsApp🤳 +254 753 066146 👇

(Be careful, some letters are Capital,
numbers, stupid things like ^%*-#@)

Translate /Tafsir /Traduire