Nadhani unafahamu/unasikianga kuhusu uchawi wa AUTODATA🤔!
Inakuonesha wiring diagrams
Inakuonesha mahali vifaa au parts zilipo kwenye systems za gari
Alafu AUTODATA inafunguka ata kwenye;
simu📲 au Kompyuta💻 au…
Ukitaka au kama unaweza kumalizana nao,
nenda upate kwenye
👇
👆
Au
Kama tayari ulimalizana SUZAN, na akakupatia uchawi wa namna ya kuingia,
nenda, infact bonyeza tu kwenye
👇
👉 workshop.autodata-group.com/login 👈
👆
Unaweka tu details alikupa, na ufate mashariti 🤷♂️ !