KITABU📚The Basic Principles of Computers for Everyone

Kitabu hiki kinafichua siri za kompyuta kwa kila mtu kuona🤷‍♀️!

Kiliandikwa na mkongwe wa kompyuta wa miaka 40 ambaye anataka kuondoa siri kutoka kwa kompyuta na kuruhusu kila mtu kupata ufahamu wa kweli wa nini hasa kompyuta ni, na pia ni nini sio.

Miaka ya uandishi, michoro, majaribio na uhariri imeishia katika juzuu moja rahisi kusomeka ambalo lina kanuni zote za msingi za kompyuta zilizoandikwa ili kila mtu aweze kuzielewa.

Kinapitia vifaa vyote vya elektroniki na hisabati, na kupata haki kwa masuala ya vitendo.

HAPA UJANJA tu!


Computer Repair with Diagnostic Flowcharts

 Troubleshooting PC Hardware Problems from Boot Failure to Poor Performance!

Kupata COMPUTER DETAILS

Ukitaka kujua details za kompyuta, ina windows gani, na hiyo windows iliopo na 10 bit au 32bit au 50bit au 64bit au 1000000bit😂🤣😆😁 au….you know🤷‍♂️? Njia fasta fasta una right click kwa MY COMPUTER alafu unachagua properties namna hii
Ndo ikifungue namna hii ueze kuona details za kompyuta

Au ukiwa mwenye kihere here RUN uweke command ya DXDIAG🤷‍♂️
Au kama bado kama sisi hatuna blaa blaa, BONYEZA HAPA uweke hii kidude kwenye computer, kiisha ukibonyeze! Kikikuletea blaa blaa bonyeza tu OK

Utaona page namna hii kama chini, upige picha umtumie yeyote atake kuuliza details za kompyuta yako!

Computer Repair text book

This this Computer Repair Textbook  is true book that reveals exactly how to be successful in the Computer Repair Business. This book is for those just starting out in the Computer Repair Business, and those that are already established, but want more out of their business.

Direct and easy-to-understand, this Computer Repair Textbook offers readers the opportunity to start applying theory before they work on actual equipment. The numerous amounts of hands-on exercises reinforce the key concepts presented within the book. In addition, Schmidt very thoroughly covers new and emerging technology in computer science. Concluding each chapter are chapter reviews and tests that provide reinforcement and emphasize all of the important topics.

uchawi wa WINDOWS10

Huu uchawi unatibu WINDOWS pamoja na MICROSOFT OFFICE👌! Mashariti ni kwamba wakati unapakuwa (downloading) au ukimaliza lazima uzime antivirus yeyote iliopo kwenye laptop/kompyuta yako!
Mfano hiyo windows defender unaifanya namna,

Search neno Protection kama hujui kuifungua moja kwa moja,  so ikitokea bonyeza open Virus & Threat Protection

Sasa, bonyeza kwenye Virus & Threat Protection Settings.

Just chagua turn off Real-Time Protection.

Wakati unataka ku download, kutratokea ujumbe kama huu, lakini usiwe na au kwa wasi wasi, bonyeza kwenye “More info” kiisha kwenye “Download anyway”
Sasa, ukimaliza ku download, unzip alafu ubonyeze kwenye hicho cha RED (nyekundu)

Ikimaliza itakaa hiiivi


uchawi kwa WINDOWS 7

Baada ya ku download ka program kenye uchawi, kisha ufate maelekezo namna tuliojaribu kuonesha hapa kwa hii video🤷‍♂️

COMPUTER skills DISCUSSIONS👨‍🎓

Tunapata mada yoyote kulingana, kisha tunajadili (discuss) kikamilifu kwa njia ya kawaida mtu yeyote anaweza kuelewa …na mazoezi pia! Hii sio jinsi shule za kawaida zinafundisha, but how the real world is🤔 so You use whatever You learn to solve real problems around You!

COMPUTER ni kifaa cha elektroniki keyenye uwezo wa kupokea ujumbe na kufanya kazi kwa huo ujumbe kulingana maagizo🤔, kiisha kutoa/kuonesha matokeo!

http://www.5021.tips/ujanja/kompyuta


COMPUTER NETWORKING (introduction)

Huu ni muhtasari wa kitafanikwa katika hii blaa blaa COMPUTER NETWORKING, yaani kama simu au laptop au whatever, zinawezaje kuwasiliana nazingine!

#computernetworking #computerbasics #5021tips


COMPUTER NETWORKING (part-1)

Huu ni umbea kwanzia kama computer mbili kwenye room moja kuwezaje kuwasiliana, then may be computer kwenye room tofauti au nyumba tofauto au mji tofauti mpaka mpaka computer zikiwa bara (continet) mbali mbali zinawezaje kuwasiliana! Alafu tukisema computer, ione kama simu au TV au chechote kinachokuwezesha kuwasiliana!

#computernetworking #computerbasics #5021tips


COMPUTER NETWORKING (part-2)

#computernetworking #computerbasics #5021tips


MAC ADDRESS 

MAC address ni kama kitambulisho cha kifa (a.k.a network interface controller ) kinachowezesa kitu chechote kuweza kuungana kwenye (mtandao) network ili kuwasiliana vitu vingine! Hicho ‘kitu chechote’ kinaweza kuwa simu, laptop, printer, gari, nk as long it can connect to any network!

#MACaddress #COMPUTERnetworking #5021tips


 

Namna kuingia ile aina intanet ya ficho (Deep/Dark Web)

Achana hii intanet ya kawaida kila mtu amezoea, kuna ile aina ya intanet (DEEP) ambao kama siri za serikali, benki, nk zinapitia🚒, pia kuna aina ya intanet (DARK) kwenye wanauza kama bunduki, vitambulisho fake, gari za wizi, nk! Ku browse hii aina ya intanet unahitaji ujanja fulani maana browser za kawaida kama mozila, chrome, nk haziwezi ku…..Na pia hauna aja ya kutembelea aina ya hiyo intanet maaana…..😎….chechote kinawezekana! May be kama unatazama tu🤷‍♂️ lakini usijaribu hata ku….💻
Lakin kama unajiamini then go head, kwenye hii video ndo namna fulani ya kuingia katika hiyo intaneti👇

 

#DARKweb #DEEPweb #5021tips

VIRTUAL MACHINE (kuzalisha computer💻💻💻 nyingi ndani ya moja💻)

Uchawi wa VIRTUAL MACHINE ni kuzalisha computer nyigi ndani ya computer moja🖥! Mfano, uko na computer ya MAC wakati unataka kufanya kazi zinazohitaji computer ya Microsoft WINDOWS au may be tuseme computer yako ina WINDOWS 10 wakati lazima uwe na computer yenye WINDOWS 15, so kuliko kununua computer ingine what You do unatumisa huu uchawi wa VIRTUAL MACHINE🤷🏼‍♂️!
See how it works, then download below👇

#virtualmachine #virtualwindows #5021tips

ujanja wa Virtual Private Server (VPS)

A Virtual Private Server (VPS) uses virtualization software to partition physical servers into multiple “virtual” servers—each having the ability to run its own operating system and applications. VPS is not for everyone, but is quickly becoming the hosting preference of choice for advanced Web developers who require root access to the server to run their own software.

#VPS   #VPN  #5021tips

Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?
Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️


Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali

Unaeza kuwa unataka kufanya kitu fulani kwenye computer💻 lakini🙄 hujui niaje. Mwenzako amekwelezea namna ya chakufanya, lakini baado unaona ni ngumu😥!

Sasa kuna uchawi mtu anaweza kuingia kwenye computer💻 yako na akafanya kila kitu akiwa mbali🤷🏼‍♂️(mf., Wewe uko Juba yeye yuko Mogadishu, ama wewe uko Bujumbura umekwama na computer yako, yeye yuko Paris anaiingia kufanya kazi kwa computer yako ilio hapo Bujumbura)

Bonyeza hapa uweze ku download (ukiwa kwenye hiyo computer🖥💻 imekupa changamoto),  Download hii software, www.teamviewer.com kiisha piga picha au umutumie hizi details kama kwenye hii picha! Ili muradi kompyuta yako iko connected kwa intaneti, wewe neenda ukanywe🍺 zako utakuta kila kitu tayari🤷🏼‍♂️

Translate /Tafsir /Traduire