Tafadhali zingatia hili, kwa sababu tuna sehemu nyingi tofauti!
Kuna sehemu ya kuonyesha miunganisho ya pini za kwenye ECU, yaani ECU pinouts!
Halafu kuna sehemu kwa wale wanaofanya programing ya ECU, infact reprogramming, kama ilivyo, inayoonyesha ni MCU gani ya kushughulikia ili kufanikisha kazi fulani. kama kuzima ADblue, DPF blaa blaa, kuongeza spidi ya gari, nk, ku ping ECU parameters, obviously pamoja na mambo ya kuzima Immo, nk!
Kuna section ya kujifunza kwa undani kuhusu jinsi ya kutengeneza ECU, jinsi kila kitu kinavyounganisha, vinginevyo hii inakuonyesha tu mpangilio wa haraka na madhumuni ya kila sehemu kwenye bodi ya mzunguko ya ECU!
Kwa ECU pinouts na ile blaa blaa ya programming, Bonyeza HAPA
Ukitaka masomo ya ndani kuhusu ECU repairs bonyeza HAPA
Sasa hapa ni ukitaka ule uchawi wa moja kwa moja kujua kazi na namna kupima/kubadilisha componets za kwenye almost kila ECU, namna hii๐video inaonesha!
Sekta ya Magari inabadilika, utekelezaji wa mifumo ya kielektroniki inapunguza uwezo wako fundi amabo hutaki kujiongeza ufahamu! Siku hizi ata fundi mekanik unapaswa, au bora, kujifunza umeme wa magari, maana gari zote zimekuwa umeme tu!
WARNING WARNING
Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo๐คฃ๐๐ Bonyeza๐ HAPA ๐moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECUcomponents’ description and purpose!
MALENGO YA HUU UJANJA
ONYO: Hapa tunaenda pole pole, kwanzia chini kabisa, hakuna hiyo blaa blaa ya kwamba hukwenda shule so hutaelewa, hapana! Hizo sijui huna umri kadha so haitawezekana, hapan! Infact, wewe ukijiona wa juu, tafadhali usijiunge kwa na ujanja hu!
Anyway, kusudi kuu la huu unjanja ni kukumbushana au kufundishana uteuzi mpana wa mbinu zinazotumika kwa moduli au ECU tofauti za kielektroniki za gari, ambapo wanafunzi huendelea kwa uhuru, ujuzi, wajanja zaidi kutoa suluhisho zilizosasishwa kwa kazi zote zinazohitajika katika magari ya leo.
MAHITAJI
> Maarifa ya kimsingi au uzoefu wa ukarabati (ufundi) wa magari ni wa manufaa > Akili iliyofunguliwa tayari kujifunza mambo ya kutatanisha >Vinywaji vya Suzan
Kwanza, ni kukumbuka ile blaa blaa ya chekechea, msinji wa ECU ni nini, ni ya kazi gani, infanyaje kazi, nk!
Then tutapanda Primary, hizo masensa (sensors), actuators, CAN, nk! Kwasababu, na kwa mfano, husipojua sensor inafanyaje kazi, inapokea au kupeleka nini kwa ECU, then… Kujua tu ina waya ngapi haitoshi, haina ata maana! Like tukisema hiyo Diode kwenye ECU inapokea umeme wa CMP sensor yenye waya mbili, kwako inaeza kuletea maana chap chap kwasababu unajua CMP sensor ya waya mbili inazaa umeme wa AC wakati ECU inakuwa ya umeme DC, nk, tofauti na ile ya waya tatu!
I swear, ukielewa mfumo wa sensor, actuator, nk inakuwa rahisi!
WARNING WARNING
Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo๐คฃ๐๐ Bonyeza๐ HAPA ๐moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECUcomponents’ description and purpose!
Sekondari sasa, kuelewa hutwo tudoido doido au Electronic Componets ziliopo kwenye ECU au kwenye motherboard yeyote ya kifaa cha umeme, yaaani Capacitor, Diode, EEPROM, Resistor, Processor, Transistor, nk! Jinsi zinafanya kazi but especially namna ya kupimwa na madhara mengine!
Tutaanza chuo, kuelewa architecture ya ECU, yaani usanifu ya namna ECU inaundwa, kama ramani hiivi (default MAP) amabao inafatwa na kila anaeunda ECU! Ni maarifa ya vipengele vikuu vinavyounda ECU. Mfano kuna upande unashugulika na utoaji, output au actuators, mfano kama injector. Kuna upande wa upokeaji ama input wa ma sensors, mfano AirFlow meter. Then kuna upande wa kati kati, processing au tuseme mfumo wa usindikaji wa MCU au prosesa!Ujuzi wa vipengele vinavyofanya kazi. Utambulisho wa kila mmoja wao na kazi gani wanafanya ndani ya ECU, kila componet husika, ili kwamba ata ukikutana issue au dalili ya ECU mbovu, chap chap, HAPA UJANJA ju!
Kuendelea na uchambuzi wa familia tofauti za ECU, aina au kampuni tofauti za ECU! Uchambuzi wa nomenclature ya kama BOSCH, DELPHI, SIEMENS, nk, ndaani ndaani katika vitengo vya Dizeli na Petroli! Uchambuzi wa lahaja tofauti za vitengo, kutegemea mifumo ya sindano!
Then zile loooongo longo za ECU simulator, ChipTuning, lalal laa la..
Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo๐คฃ๐๐ Bonyeza๐ HAPA ๐moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECUcomponents’ description and purpose!
Unajua, this is the most incomplete list, yaani haaaaaishi, juu kila wakati tunaweka mchoro mpya wa ECU, iwe ya Engine, ABS, Suspension, Airbag, nk! Tunaweka za kila gari, kwa namna PDF au Picha, ina maana hata kwenye simu inafunguka fasta fasta!
Kwa mfano, hapa chini๐ni PDF ya mchoro wa ECU ya Toyota Echo blaaa blaaa, so unabonyeza tu kwa jina na inafunguka๐คทโโ๏ธ, hebu bonyeza uone!
Zingina zinafunguka kama picha, mfano bonyeza hii ya Nissan uone niaje
๐Picha NISSAN GTR ECU engineย ย ๐
Sasa, hapa chini ukichagua aina ya gari itakupeleka kuliopo ECU pinouts, then uchague unaotaka efunguke kama picha au pdf, just๐คทโโ๏ธ
NOTE๐ข Hizi ni ECU pinouts tu, ukitaka ECU CRIRCUIT BOARD kujua uchawi wa componets ndani mwa ECU kama diodes, capacitor, IC, blaa blaa, bonyeza HAPA
ONYO: kabla hujabonyeza kwenda kwenye aina ya gari, hakikisha umemalizana SUZAN, chupa zake๐ป mbili tu! Asante๐! Na pia ukikosa ECU pinout yeyote mujulishe SUZAN akutumie fasta fasta, akiwa offline bonyeza hapa utume ujumbe!
Huu ni mukosanyo wa picha au vitabu (PDF) yakuonesha michoro pamoja na kazi ya vifaa (componets) izilyopo kwenye motherboard za ECU. Mfano; IC ama EEPROM ya injectors, au diode ya sensor fulani…nk! Alafu pia kuna ECU PINOUTS especially kama unafanya hizo kazi za ECU kuingia ndani ndani kwasababu kama hujui niaje, hautasadiwa na hii program๐คทโโ๏ธ!
Hapa chini kuna video yenye maelekezo unaeza kuona namna ya kutumia pamoja na contents BUT kama hutaki kuharibu muda wako๐haya bhasi then moja kwa moja BONYEZA HAPA UPATE
Kuna kazi nyingi unaweza kufanya kwa kujua kuchezea data inakuanga humu kwenye chip au EEPROM (Electronically Erasable Programmable Read Only Memory)!
Yaaani hapa tunakumbushana kuhusu uchawi wa, kusoma, kuhifadhi, kubadili, kuandika, nk, ya kwamba ata ukitajiwa tu adress unajua niaje! Kwenye hii picha ya chini๐unaona blaa blaa ya namna data inakuanga ndani ya hizo EEPROM๐ค?Sasa hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, vyote tumeoneshana kila, kwenye hii video๐!
Video hii ni ndefu na kuna maneno mengi๐ย na ukitaka kufanya practical ujifunze kwa vitendo tumeweka hapa bonyeza HAPA unaeza kuwa huna mashine yeyote ya hizo EEPROM na kweli unataka kufanya mazoezi๐คทโโ๏ธ!
What we have done, ni kuwekea software inasoma hizo data, pamoja na mfano ya hizo EEPROM data ili ufanye mazoezi ku edit, delete, blaa blaaa, you know?
kwanini 0123456789ABCDEF
DATA ADDRESS reminder
CHECKSUMย ย ERRORS
Remember, ujanja ni bure๐ค, but kwenye password unachangia just 2 BEERS๐ป upate password!ย