IMMO OFF (imoff 17)

Inaonyesha nini, wapi mahali pa kuweka, ukiweka faili isiyo sahihi itakataliwa mara moja ili uwe na uhakika chochote unachofanya ni sahihi!

👇
Bonyeza HAPA ukitaka kumbuka vyote kuhusu KEY PROGRAMMING
👆


Kama inavyoonyeshwa kwenye video hii, pia hukusaidia kuthibitisha vurugu za CHECKSUM error! Kwa vingine zaidi, shuka chini ya video!

👇DOWNLOAD ujanja👇👇

👆👆👆👆

ECU programming (winOLS tips)

WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye kumbukumbu ya ECUs.

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu🤷‍♂️!

Software iluundwa nao EVC electronic, na wanakupa sampuli ili kupima bidhaa zao, so unaeza kubonyeza👇upakue bure uone niaje! 
www.EVC.de/download  

HAPA UJANJA tu, so tumekuwekea hapa kuikiwemo na namna ya matumizi, kufanya kila aina ya uchawi wa kwenye kila gari!
Hakuna kuumiza kichwa, tunakusaidia ku update, install ata kuwasiliana nao EVC electronic kukiwepo changamoto yeyote!

Ni bonge la mzigo, hakikisha una data za kutosha! 

DOWNLOAD👇 HAPA

👆👆👆👆👆👆👆


ECU circuit Repair


IMMO OFF files


IMMO OFF FILES

Kwanza utapewa taarifa ya kuhusu EEPROM gani ya kuandika hiyo data ya immo off!

Ukishaitambua hiyo EEPROM, ni bora na salama, ukisoma na kuhifadhi SAVE hiyo data iliopo kwenye EEPROM bila kugusa kubadili chechote!

Ukimaliza ku load file, hamna aja ya kugusa, kubadili, kufuta chechote! Moja kwa moja WRITE andika hiyo file kwenye hiyo EEPROM!
LAKINI, kwa ujanja zaidi, bora ulinganishe compare  hizo file zote mbili, yenye immo ON, na yenye immo OFF, ili ujifunze, utambue wapi pamebadili kufanya OFF, ili nawe ujifunze ufanye mwenyewe!

Tazama hii video👇 uone niaje kama vitakusaidia, kisha ushuke chini uweze ku download👇!

DOWNLOAD👇

👉   BONYEZA  HAPA  👈

👆👆👆👆👆👆

 

How To Slay Vehicle ECU’s (Electronic Control Units)

Tafuta njia zako za kusoma flash data na (au data ya EEPROM wakati mwingine, ECU fulani, kwenye gari fualni, kulingana, namna utaelekezwa)!
Sasa ukisha pata hizo data, ziingize katika programu hizi ili uchawi ufanywe automatically na kisha upate faili mpya ya data ya kuandika au kurudishia, kama ilivyoelezwa kwenye video hapa chini!
Kama hutaki au huna muda wa kutazama video, shuka chini uweze ku download hiizi program

👇DOWNLOAD 👇

               👆👆

password: 2eDColdrinks!


Zaidi kuhusu technology wa ECU za BOSCH,
…..bonyeza HAPA  👇


KEY PROGRAMMING SOFTWAREz

Kama unavyojua au umefahamishwa, katika mfululizo wetu wa KEY PROGRAMMING, kwanza kabisa, kwa kweli, ikiwa hujui au huna msingi kuhusu mambo ya KEY PROGRAMMING, hii haitakuwa na maana kwako! Ikiwa unataka, unaweza kubofya HAPA au kwenye picha hapa chini!
Ujanja ni bure. HAPA UJANJA tu!Kama ilivyoelezwa na kuonyeshwa katika video hii hapa chini, tafuta njia za kusoma data kutoka kwa EEPROM sahihi, iliopo ECU au Immo boxi, au zote mbili kulingana, maana kuna gari ambazo lazima ushugulikie zote mbili!

Sasa, ku program ufunguo, either kutoka kwa data ya EEPROM uandike ufunguo, au kutumia coding ilio tayari kwenye ufunguo uingize kwenye data ya EEPROM (ikiwa virgined)! Kwenye baadhi ya magari unaweza kuhitaji PIN ya immo kufanya blablaa fulani, yote yanawezekana kwa programu hii!

HAPA UJANJA tu!

BONYEZA HAPA ku DOWNLOAD 

TOYOTA IMMO Immobilizer Virgin Dumps Files

This a collection of Toyota immobilizer virgin files (dumps) for resetting various Toyota cars’ Immobilizer systems.
These are needed in order to make the vehicle accept new or used keys.
These files are in binary (.bin) format and can be read au written kwa serial EEPROM programmer yeyote.
Kusema “virgin”, kama kumfanya mwanamke mwenye watoto, kumrudisha kuwa bikira🤷‍♀️!

Anyway, it means that these files, when programmed (written) into the immobilizer EEPROM chip of the right vehicle, bila kukosea, it will put the immobilizer circuit in auto registration mode!
Sasa, this is when it will register the first “compatible”, yaaani 👉compatible👈 key that’s used, remember, lazima iwe compatible (kuingiliana), making it the master key. After that, similar keys can be added. Tuko pamoja?
These files are to be written in the immobilizer EEPROM chip, located either in the vehicle’s Engine Computer (Engine Control Module) or in the immobilizer ECU module (immobox), depending on the model.
This will reset the Immobilizer, putting the vehicle in key auto-registering mode, so it accepts your current, old or new keys.
If you have forgotten, may be you didn’t know none🤷, You may click HERE for to where we tried to remind each other all about key programming & tools needed!
Password, write the word👇
👉   beermbili   👈

👆👆👆👆

​​​​​​​

——————————————-
You may read instructions 👇 on how why where when to do👇!
——————————————

IMMOBILISER CODING & DELETING

Hizi software ni zenye uchawi wa kutengeneza funguo mpya wa au kwa, gari iliopoteza funguo wake, au kuongeza funguo zingine for back up moja ikipotea, then na ukitaka kutoa huu usumbufu wa immobiliser ( a.k.a IMMO OFF) ili gari iendeshwe kwa funguo ya kawaida!
Gari zingine utahitaji tu diagnosis mashine ya kawaida, gari zingine mpaka kungoa au kucheza na data za EEPROM namna tuliokumbusha hapa www.5021.tips/ujanja/keyprogramming
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka👌!  Aiise, kuna thousands of tested & working dumps za almost kila ECU.

Kwa ufupi, hii DVD ina👇,

Immo OFF za kutoa, kuzima, kupotezea immobiliser signal kwenye gari na kwamba gari inaeza kuashwa kwa funguo lolote!

Virgin virgin files za ku restore immobiliser systems to factory settings ili iweze kupokea funguo yeyote utaiingiza mara ya kwanza!

Emulator with ready-to-use files na maelekezo kuhusu nini namna nani😂😅🤣😁 especially wakati unafanya immo off kwenye badhi ya gari!

Key writing kuwezesha kuandika key code kwenye ECU memory.

PIN caliculators ili uweze kubaliwa ku access data ya ECU zikiwa locked!

Pictures and wiring diagrams za almost kila ECU ! Yaaaani, components , memories, plugs, nk!

Ndiyo, kwanza malizana hapo na SUZAN🍻

IMMO EEPROM/Transponder details

Tayari ulijua kwamba kwenye immobiliser system ya gari, code/password moja inakuwa kwenye chip/EEPROM fulani ndani ya immo box ama Control box, na upande wa funguo hii code/password inawekwa kwenye transponder🙄!
(Kama hukupitia hapa kuelewa niaje, tafadhali bonyeza hapa ujue niaje vinginevyo hautona maana ya huu ujanja)

Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌! Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ipi ya funguo maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi. So hii software inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔 namna hii video inaonesha kiisha ushuke chini ku download!

Kuna two 2options,  
Either download for use on phone, or for laptop, or both!

 


Ukitaka, BONYEZA HAPA, upate ile App📲 ya kwenye simu nama hii video inaonesha!

CLICK TO DOWNLOAD THE PHONE APPLICATION

This is if you want use on computer💻laptop, otherwise scroll back👆up to use on📲phone!

CLICK👇TO DOWNLOAD FOR LAPTOP /COMPUTER 


uchawi wa kutibu DPF/ADBLUE/IMMO/EGR

Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!

Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu👇

Hizo za funguo bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi🤷‍♂️

 

Translate /Tafsir /Traduire