ย As you know, diagnostics, or fault finding, is a fundamental part of an automotive technician’s work, and as automotive systems become increasingly complex there is a greater need for better diagnostic skills.
This very Advanced Automotive Fault Diagnosis is a better book to treat automotive diagnostics as a science rather than a check-list procedure.
As breifly shown, each chapter includes basic principles and examples of a vehicle system followed by the appropriate diagnostic techniques, complete with useful diagrams, flow charts, case studies and self-assessment questions.
The book will help new students develop diagnostic skills and help experienced technicians improve even further. This new edition is fully updated to the latest technological developments.
Along with more new real-life case studies, this edition of Advanced Automotive Fault Diagnosis includes new content on diagnostic tools and equipment: VCDS, decade boxes, scanners, pass through, sensor simulators, break out boxes, multimeter updates for HV use, and more .
It explains the fundamentals of vehicle systems and components, and it examines diagnostic principles and the latest techniques employed in effective vehicle maintenance and repair.
Diagnostics, or faultfinding, is an essential part of an automotive technician’s work, and as automotive systems become increasingly complex there is a greater need for better diagnostic skills.
Inaeza kuwa umepoteza memory card ya mashine yako ya XTOOL, au unataka ku update, au whatever๐คทโโ๏ธ! Tafta namna unaenda tu kwa options, kiisha unachagua ABOUT upate serial number na password, namna๐๐Ukipata serial number na password, download hii program uweke hizi
Unaeza kuwa una hiyo diagnosis mashine, but kunachangamoto unapata๐ค! May be matumizi ya namna kufanya utundu fulani wa kitaalamu, auย inaeza kuwa mashine ina tatizo imekushinda kurekebisha, au, meeeeeen, could be any problem๐คทโโ๏ธ! So tunaweka hapa kila taka taka tunakutanayo zinasumbua watumizi mbali mbali๐!
Tunawekanga namna ya kupata software za mashine, au ukitaka ku update au downdate au kuharibu mashine tunakuonesha unafanyaje๐คทโโ๏ธ! Ukitaka password za ku login mtandaoni (cloud diagnosis) zote tunawezasaidiana๐!
Of late, the development of the motor vehicle has been marked by the introduction of electronics. At first, electronic systems were used to control the engine (electronic fuel-injection systems), then electronic components entered the domain of driving safety (e.g. antilock brake system, ABS). More recently, completely new fields of application have emerged in the areas of driving assistance, infotainment and communication as a result of continuous advancements in semiconductor technology. Consequently, the proportion of electrics and electronics in the motor vehicle has continuously increased.
The complexity of the vehicle system is set to increase still further in the near future. To guarantee operational reliability in view of this complexity, new methods of electronics development are called for. The objective is to create a standardized architecture for the electrical system/electronics that alsooffers short development times in addition to high reliability for the electronic systems.
This writing or technical manual equips you with a powerful tool of reference for information about the level of todayโs technology in the field of vehicle electrical systems and electronics. Many topics are addressed in detail, while others โparticularly the electronic systems โ are only presented in overview form. These topics receive in-depth coverage in other books in our series.
This service manual iko kwa lugha ya English, and it has been prepared to provide SUZUKI service personnel with the necessary information and data for the correct maintenance and repair!
This manual includes the procedures for diagnosis, maintenance, disassembling, reassembling, inspection and adjustment of components and diagnostics for guidance of experienced mechanics.
Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika! So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza kusaidiya!
The purpose of this section is to help you understand the general diagnostic process that you will follow regardless of the type of customer concern you are troubleshooting…..and also to know about the features of diagnostic tools that will help you with greater accuracy
and speed…..not forgeting the lay out the troubleshooting steps and resources you will need to follow when diagnosing customer concerns.
Jinsi unafahamu, these repair manuals cover various aspects. Kueleza, kuonesha namna certain components and systems work. As in, they tell you when why where what how to maintain, repair, spoil, remove, move, unmove, etc๐๐ ๐คฃ. Anyway, some or most repair manuals even have updated diagnostic and maintenance information.ย Sii unajua these manuals are written by manufacturers, and so, include original workshop repair details๐! Sasa๐คทโโ๏ธ?
So here we’ve provided practical diagnosis, repair manuals and service manuals including automotive maintenance, motorbikes, cars, trucks, tractors, bicycles, wheelbarrows, etc,ย which are the same essential industry standard softwares/books used by authorized dealers. Many most manuals are free, others unachangia tu ๐ปjust2beers, ili tuchamgmshe ubongo, na kuboresha uchiizi wetu! Asante๐ !
Uchawi wa hiizi software, sio kufuta tu code, BUT kutoa kabisa kwa system ya gari, hizo blaa blaa za DPF (Diesel Particulate Filter), EGR (Exhaust Gas Recirulation), LAMBDA ambao ni Oxygen sensor au A/F sensors, ya kwamba kamwe gari kusumbuliwa tena!
Ukitaka kujikumbushakuhusu DPF bonyeza hapa! Sii unajuja usumbufu uliopo gari ikianza hizo blaa blaa kukosa nguvu, check engine light kuaka, nk, juu ya hiizi DPF blaa blaa๐ค?
So what You need ni uwezo tu wa kusoma Flash data za ECU, kiisha unazipitisha kwenye hiizi software zifanye uchawi, then unarudisha hizo data kwa ECU๐คทโโ๏ธ!
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka๐
Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a battery.ย So this from TOYOTA engineer is to help you know how to perform the necessary maintenance, service, and repair procedures on hybrid cars!
Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of MercedesBenz trucks.
The contents in here are split up into: โข function descriptions โข component descriptions โข Description of location of electrical connectors, sockets and ground points
Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi zinakuanga na socket moja juu siku hizi gari zote ni zenye hiyo socket moja! Ina maana gari yenye socketi tofauti ikitokea huwezi kupima kwa mashine!
….so HAPA UJANJA tu๐จโ๐ Za ABS ziko chini ya hii document
Haka ka software kako na zile basics za OBD blaa blaa, ufanyaji kazi wa ma sensors, actuators, codes, nk! Picha/maneno mengi ya kitoto lakini huwezijua may be kanaweza kusaidia๐คทโโ๏ธ! Alafu kanafunguka tu kwa computer sio simu๐!
Nadhani unafahamu/unasikianga kuhusu uchawi wa AUTODATA๐ค!
Inakuonesha wiring diagrams
Inakuonesha mahali vifaa au parts zilipo kwenye systems za gari Alafu AUTODATA inafunguka ata kwenye;
simu๐ฒ auย Kompyuta๐ป au… Ukitaka au kama unaweza kumalizana nao,
nenda upate kwenye ๐
Unaweka tu details alikupa, na ufate mashariti ๐คทโโ๏ธ !
Kama hujapata, bonyeza๐ HAPA๐ย upate uchawi wa namna kuingia! Au kama hutaki usubufu wa blaa blaaa, sijui nini nani, VPN, bonyeza tu upate DVDversion & ferutedPDF๐ฒ, amabao inakuonesha kila kitu, inafanya kazi vizuri, lakini haiko tu updated, juu sio webbased!
Free vehicle support at http://forums.ross-tech.com This video (in Swahili language) shows how to perform the Throttle Body Alignment on VW, Audi, Seat, Skoda and Bentley vehicles.
Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu๐ฉ๐ผโ๐ง kwenye gari za TOYOTA! Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA/Daihatsu! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya๐!
If you know what’s done, save time BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code๐คทโโ๏ธ, sii unajua niaje๐๐!
otherwise soma haya maelekezo๐
๐
Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding๐, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo๐! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk๐คท๐ผโโ๏ธ!
Mashine yenyewe itakutolea zile details za OUTCODE namna hii๐like ukiwa unafanya Ford, kwamfano tu๐!Sasa, baada ya kupata hizi details lazima umutumie sijui wakala wa hizo gari au sijui mtaalamu fulani๐ฉ๐ผโ๐งakupe code fulani ndo uweze ku programm hiyo funguo ama ECU! Sasa ujanja tunapatiana hapa ni namna ya kupata what we call INCODE kwa kuingiza hiyo OUTCODE hapo kwenye picha ya juu๐ (ndani ya boxi rangi nyekundu), kwasababu ukiendelea utakuta sehemu inakuitisha INCODE kama kwenye hii picha ya chini๐Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Ikifunguka itakuwa namna hiiKupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Hebu fanya mazoezi kwa hiizi OUTCODE hapa chini uone niaje๐ค!
Ford fiesta 1.4 TDCI
Outcode:0000 EF440F 0000
Error Control:43168
OUTCODE = 4CBB
โโโโโโโโโโโ-
Mazda 3
Outcode: 0040 โ 058215 โ 000000
INCODE = 9175
โโโโโโโโโโโ
OUT CODE: 0044-151E3F D60E19
ERRORCONTROL: 4X420
Hapa lazima ufanye mara mbili
outcode single: 151E3F = 154F
outcome dual: D60E19 = E768
your incode is: 154FE768
โโโโโโโโโโโโ
Jaguar XType 2003
key programming outcode 05975543
income is 9FAD
Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Mercedes Benz wanatoa umbea, ujuzi, ujanja wooooote, kuhusu wakati gani, kwa nini, utumise nini, yaaani, jinsi ya kugundua, kutatuta magari yao pamoja na michoro ya waya, picha ya kia kitu!
So, tumekuwekea yote hapa, kwamba ata hii APP unaeza kuitumia kwenye ๐ฒsimu yako ya popte ulipo unapozunguka!
Like, wakati unapima BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari๐คท๐ผโโ๏ธ!
Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi๐, unakwamma tu!
HAPA UJANJA tu! Ata kwa๐ฒsimu unatumia๐ Tazama hii video uone namna kwenye simu๐ฒ
Ukitaka kwenye simu๐ฒ ama tuseme iwe mobile kwamba popote ulipo ๐ฒ!
๐๐๐
Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ECU blaa blaa, kushusha milleage, etc, na unaitiishwa password namna hii๐๐
Like ukitaka kufanya ECU programming Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii๐Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download hapo chini๐
Kwa kutaka kuongeza nguvu za magari, bila kutumisa mafuta mengi, pamoja na bila kuharibu mazingira๐ค, wataalamu waligundua namna ya kuchunguza mafuta na hewa inaoingia kwenye engine…pamoja na kuchunguza huo moshi unaotoka kwa engine๐ ili husiharibu mazingira nje ya gari. So waliweka sensor za kuchunguza na kupeleka umbea kwenye ECU/control box (computer), alafu ndo computer iwaambie actuators kazi ya kufanya, kulingana๐คท๐ผโโ๏ธ! Sasa, kwasababu engine ya gari inategemea mafuta na hewa ili kuweza kufanya kazi, ndo maana njia za mafuta na hewa pamoja na hewa chafu (moshi) waliweka hizo sensor na actutors! So we shall look at all the sensors on in each systems as ellaborated in this video
AIRFLOW METER SENSOR
Either hii sensor inapima tu ujoto, AU inapima ujoto pamoja na uzito wa hewa inaoingia ndo hapo inaitwa Mass Airflow meter sensor!
Ikiwa inapima tu ujoto inakuwa na wire 2 tu
Iiwa inapima ujoto na uzito wa hewa, inaweza kuwa na๐ค,
> 5 wires (2 yakupima joto, 3 za kupima uzito)
>4 wires (ground au negative wire ya upande wa kupima joto iko pamoja na ya upande wa kupima uzito)
>3 wires hakuna upande wakupima ujoto, inapima tu uzito wa hewa!
Hii video tuloneshana namna sensor inafanya kazi, pamoja na kupimwa ikiwa natatizo๐ฉ๐ผโ๐ง
MANIFOLD ABSOLUTE PRESSURE SENSOR (MAP)
Hewa ikifika kwenye inlet manifold itakutana hewa ingine inaotokea njia zingine kama Turbo, EGR, EVAP system, nk! Ina maana lazima au bora kuwepo namna ya kupima jumla ya hewa iliopo kwenye manifold kabla kuingia kwenye engine๐ค hapo ECU ama control ijue kiasi cha mafuta itafanya injector zitoe๐! So, hii MANIFOLD PRESSURE SENSOR ndo inapima jumla ya hewa iliopo kwenye inlet manifold! Hii sensor mara nyigi ni 3 wires๐ค, moja ni 12V au 5V, ingine ni Negative/ground, Ingine ni ya SignalHii sensor ilitengenezwa kwa uchwa waPIEZOELECTRIC EFFECT, ukibonyeza hapatulijaribu kuonesha maana ya huu uchawi
Otherwise nama hii sensor inafanya kazi na kupimwa ili kujua kama ina tatizo, tulijaribu kuineshana katika hii video
ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR
Sii ujajua hizi gari za kisasa kile ki pedal ni cha umemeโก tofauti kwa zile gari za zamani kulikuanga ka metal fulani๐Sasa hii sensor ina sensor mbili kwa moja, because the other ni ya emegency kama upande moja ukiharibika, namna ya ufanyaji kazi na kupimwa in this video๐
Baada ya kuganyaga kwenye accelerator pedal umbea unapelekwa kwa ECU (control box) ili ijue namna ya kunfungua hiki ki blaa blaa THROTTLE cha kuruhusu hewa ingie kwenye Engine! Hii ELECTRONIC THROTTLE CONTROL iko na kile kiko ka ulimi ya mtu hiivi kufungua na kufunga๐คท๐ผโโ๏ธ! Kuna mota (motor) ya kutembeza hiki ki ulimi!ย Na kuna sensor ya kuchunguza hiki ki ulimi kimefunguka kiasi gani๐ค!
Namna ya kupima AND ufanji kazi tazama hii video๐
Bila kufunga mfuniko wa kwenye tenki la mafuta, inasababisha upepo wa nje kuingia au ata mafuta kupotea kwa nja ya upepo (Evaporation)๐! Sasa, ili kuhakisha unafunga mfuniko wa tenki, kuna sensa iliwekwa ili kwamba usipofunga, kuna taa itaonesha kwenye instrument cluster au ata taa ya check-engine yenyewe…au kuna uchawi ECU inafanya kwenye gari ili isitembee vizuri mpaka ufunge huu mfuniko๐!
Jinsi unavyojua๐, ukiweka kitu chochote kilivyo kama maji (liquid substance) kwenye kama dumu hivi, ukichezesha (shake) hiyo dumu, kuna pressure inatokea! Sasa, ata maafuta kwenye tenki la gari, kila gari ikitembea obviously inacheza so yale mafuta kuna uchawi unatokea kuyafanya kubadilika kuwa ya upepo na kuongeza pressure kwenye tenki, ndo maana kuna FUEL TANK PRESSURE SENSOR yakuchunguza kiasi cha pressure kwenye tenki๐!
Hii sensor ilitengenezwa kwa uchwa waPIEZOELECTRIC EFFECT, ukibonyeza hapatulijaribu kuonesha maana ya huu uchawi, so na maana ina 3wires๐คท๐ผโโ๏ธ
Wakati gari inatembea, inachezesa tenki na kufanya yale mafuta (kama maji) kubadilika au ku evaporate kuwa upepo๐ค! Sasa, hii EVAP SYSTEM inaosaidia kufanya uchawi ili yale mafuta ya upepo yasichanganyike au yasiende kwenye njia ya mafuta ya maji! Hii EVAP SYSTEM iko na njia mbadala yakupitisha upepo kwenda kwenye manifold au nje ya gari kulingana๐จ!
Kuna ile meter ya kuchunguza kiasi cha mafuta kwenye tenki (tank), kuna pump, kuna ka sieve ka kusfisha hayo mafuta, na๐ค….jinsi tuanelekezana kwa hii video๐!
FUEL PRESSURE REGULATOR
Zamani, kwenye mfumo wa mafuta ya gari kulikuwanga pipe ya kurudisha mafuta kwenye tenki yakibaki, sasa kwa hizi gari mpya kuna sensor yakuchunguza kiasi cha mafuta yanaohitajika NA ndo hayo mafuta yatakaporuhusiwa kutoka! Ndo sababu ingine kwanini unaona ka pipe moja kwenye tenki! Sasa, tulijaribu kumbushana uchawi kwenye FUEL PRESSURE REGULATOR๐จโ๐ง
Ukitoa mugu kwenye accelerator pedal (ile yakuongeza nguvu ya gari) ata ule mfuniko wa kuruhusu hewa ingie kwa engine unaziba๐ค ina maana engine ikikosa hewa itazimika๐คท๐ผโโ๏ธ! Sasa uchawi wa IAC valve ni kufungua ka njia fulani ile hewa ipite kufika kwa engine ata ukitoa muugu๐ au tuseme ukitoka kwa gari inaendelea kuaka!
Assuming kwamba unajua crankshaft au camshaft ni nini, sasa ili kuweza kujua muda gani wakati cylinder fulani inafanya kitu gani na inahitaji nini, hizi CAMSHAFT na CRANKSHAFT POSITION SENSOR kuna uchawi unaziwezesha kujua ipi niaje, na kupleka huu umbea kwenye computer ya gari namna tulijaribu kumbushana au kuoneshana๐ป
Jinsi unavyojua, kifaa chenye uwezo kutembeza umeme kinabadilika kulingana ujoto au ubaridi๐ค! So computer ya gari inatuma umeme kuzunguka kwenye hii ENGINE COOLANT TEMPERATURE SENSOR , kuligana ujoto/ubaridi umeme (volts) zitazorudi kwa computer, either itapungua au kubaki niaje namana tulioneshana๐จโ๐ง
Hii KNOCK SENSOR ione kama microphone, inachukua au kusikilizia sauti ya engine na kupelekea ECU (control box) umbea! Sasa kuna sauti ya kawaida ya engine ambao ECU imezoea, so like mafuta + hewa yakichomwa kwa muda au mahali ambao sio sahihi ya kwamba sauti ya engine itabadilika, hapo ECU ikipata sauti tofauti ya engine kupitia hii KNOCK SENSOR itajua kuna uchawi wa engine knock (a.k.a detonation) umetokea!
Obviously unafahamu kwamba baada ya engine kuchoma mafuta + hewa kuna moshi unaotokea๐ค, sii unajua au unaona huo moshini chafu, lakini huu moshi unafanywa kuzunguka kurudi au kuungana na ile hewa safi inaotokea nje gari! Sasa, huu moshi kufanywa kuzunguka na kurudi kwenye engine kuna uchawi mwingi unatokea, kama kushusha temperature ya engine, kupunguza moshi unaotoka nje ya gari ili usiharibu mazingira, na blaa blaa blaa zingine! Sasa hii EGR system unakuta kuna sensor & actuator nyigi ambao unapswa kujua au kumbuka๐จโ๐ง!
Jinsi unafahamu, engine inahitaji mafuta & hewa ili vichanganyike vichomwe ndo engine ipata nguvu๐, ndiyo lakini kuna namna hewa & mafuta yanapaswa kuchanganyikwa (a.k.a stoichiometric ratio) as in kukiwepo mafuta lita 1 lazima hewa iwe kama lita 15๐คท๐ผโโ๏ธ! Sasa, kukitokea na pamoja kuzuia uchawi kama mafuta yanakuja mengi au madogo, kuna hizi OXYGEN SENSOR ambao zinachunguza moshi unaotokea baada ya mafuta + hewa kuchomwa, so huu umbea unahusiana kuhusu hizo OXYGEN SENSOR, ziko wapi, zinafanyaje kazi, kupima nini, na blaa blaa zingine๐!
Sii unajua ufanyaji kazi wa engine, piston inanyonya hewa+mafuta alafu inagandamiza (compress) then blaa blaa kuchoma๐ง, sasa kwenye kugandamiza (compress) kuna hewa + mafuta ina bypass kati ya piston na cylinder wall kujikuta kwenye sump (dumu ya oil chini ya engine)! Sasa kutoa hii hewa kuna ka pipe kanawekwa ili kunyonya huu upepepo as we tried show in here๐ฌ
Kwenye AUTO TRANSMISSION, uchawi zaidi zaidi ni wa valve ambao valve zinategemea solenoid, zingine ni pressure sensor na temperature sensor! SO, kama ulihelewa vizuri kuhusu blaa blaa za hizi sensor kwenye system zingine, then ili muradi picha inakuonesha hii sensor iko wapi, then troubleshooting AUTOMATIC TRANSMISSION troubles ni kama kunywa maji๐ป!
Uchawi kuweza blaa blaa ya ma sensor, control boxi, sijui actuators ni kujua mfano ni sensor gani, iko wapi, inafanya kazi gani, inafanyaje hiyo kazi as in iliundwaje (how it is made), nk! So ukipata umbea huu wote ndo utajua inahitaji kupeleka au kutoa umeme gani kutoka wapi au blaa blaa as we explained in here๐จ๐ผโ๐ !
Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐!
Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora! Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research nyingi zingine bora๐๐ผ!
Zamani, kwenye mfumo wa mafuta ya gari kulikuwanga pipe ya kurudisha mafuta kwenye tenki yakibaki, sasa kwa hizi gari mpya kuna sensor yakuchunguza kiasi cha mafuta yanaohitajika NA ndo hayo mafuta yatakaporuhusiwa kutoka! Ndo sababu ingine kwanini unaona ka pipe moja kwenye tenki! Sasa, tulijaribu kumbushana uchawi kwenye FUEL PRESSURE REGULATOR๐จโ๐ง
#FUELPRESSUREREGULATOR #AUTOMOTIVEFUELSYSTEM #5021tips