
Tag: ECU pins


Sekta ya Magari inabadilika, utekelezaji wa mifumo ya kielektroniki inapunguza uwezo wako fundi amabo hutaki kujiongeza ufahamu! Siku hizi ata fundi mekanik unapaswa, au bora, kujifunza umeme wa magari, maana gari zote zimekuwa umeme tu!
WARNING WARNING
Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo🤣😂😁
Bonyeza👉 HAPA 👈moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECU components’ description and purpose!
MALENGO YA HUU UJANJA
ONYO: Hapa tunaenda pole pole, kwanzia chini kabisa, hakuna hiyo blaa blaa ya kwamba hukwenda shule so hutaelewa, hapana! Hizo sijui huna umri kadha so haitawezekana, hapan! Infact, wewe ukijiona wa juu, tafadhali usijiunge kwa na ujanja hu!
Anyway, kusudi kuu la huu unjanja ni kukumbushana au kufundishana uteuzi mpana wa mbinu zinazotumika kwa moduli au ECU tofauti za kielektroniki za gari, ambapo wanafunzi huendelea kwa uhuru, ujuzi, wajanja zaidi kutoa suluhisho zilizosasishwa kwa kazi zote zinazohitajika katika magari ya leo.
MAHITAJI
> Maarifa ya kimsingi au uzoefu wa ukarabati (ufundi) wa magari ni wa manufaa
> Akili iliyofunguliwa tayari kujifunza mambo ya kutatanisha
>Vinywaji vya Suzan
BONYEZA HAPA KUIJIUNGA MASOMO
BONYEZA HAPA KUIJIUNGA MASOMO
RATIBA au DETAILS YA HUU UJANJA
Kwanza, ni kukumbuka ile blaa blaa ya chekechea, msinji wa ECU ni nini, ni ya kazi gani, infanyaje kazi, nk!
Then tutapanda Primary, hizo masensa (sensors), actuators, CAN, nk! Kwasababu, na kwa mfano, husipojua sensor inafanyaje kazi, inapokea au kupeleka nini kwa ECU, then… Kujua tu ina waya ngapi haitoshi, haina ata maana!
Like tukisema hiyo Diode kwenye ECU inapokea umeme wa CMP sensor yenye waya mbili, kwako inaeza kuletea maana chap chap kwasababu unajua CMP sensor ya waya mbili inazaa umeme wa AC wakati ECU inakuwa ya umeme DC, nk, tofauti na ile ya waya tatu!
I swear, ukielewa mfumo wa sensor, actuator, nk inakuwa rahisi!
WARNING WARNING
Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo🤣😂😁
Bonyeza👉 HAPA 👈moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECU components’ description and purpose!
Sekondari sasa, kuelewa hutwo tudoido doido au Electronic Componets ziliopo kwenye ECU au kwenye motherboard yeyote ya kifaa cha umeme, yaaani Capacitor, Diode, EEPROM, Resistor, Processor, Transistor, nk! Jinsi zinafanya kazi but especially namna ya kupimwa na madhara mengine!
Tutaanza chuo, kuelewa architecture ya ECU, yaani usanifu ya namna ECU inaundwa, kama ramani hiivi (default MAP) amabao inafatwa na kila anaeunda ECU! Ni maarifa ya vipengele vikuu vinavyounda ECU. Mfano kuna upande unashugulika na utoaji, output au actuators, mfano kama injector. Kuna upande wa upokeaji ama input wa ma sensors, mfano AirFlow meter. Then kuna upande wa kati kati, processing au tuseme mfumo wa usindikaji wa MCU au prosesa!Ujuzi wa vipengele vinavyofanya kazi. Utambulisho wa kila mmoja wao na kazi gani wanafanya ndani ya ECU, kila componet husika, ili kwamba ata ukikutana issue au dalili ya ECU mbovu, chap chap, HAPA UJANJA ju!
BONYEZA HAPA KUIJIUNGA MASOMO
BONYEZA HAPA KUIJIUNGA MASOMO
Ukitaka kuendelea na pHD,
Kuendelea na uchambuzi wa familia tofauti za ECU, aina au kampuni tofauti za ECU!
Uchambuzi wa nomenclature ya kama BOSCH, DELPHI, SIEMENS, nk, ndaani ndaani katika vitengo vya Dizeli na Petroli!
Uchambuzi wa lahaja tofauti za vitengo, kutegemea mifumo ya sindano!
Then zile loooongo longo za ECU simulator, ChipTuning, lalal laa la..
BONYEZA HAPA KUIJIUNGA MASOMO
BONYEZA HAPA KUIJIUNGA MASOMO
WARNING WARNING
Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo🤣😂😁
Bonyeza👉 HAPA 👈moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECU components’ description and purpose!

Just like the video below shows, this Nissan Pathfinder R51 Service, Diagnosis, Repair Manual covers all aspects of vehicle repair, maintenance and rebuild specifications for all mechanical components, including engine, gearbox, differential, front axle, along with repair and replacement guidelines for suspension, steering, brakes, body panels, interior fittings, electrical components. Also covers electrical system with wiring diagrams and diagnostic data, plus detailed troubleshooting guides. Go below the video to download
HERE IS THE DOWNLOAD


This includes downloads of useful softwares and gateways to where which when why what hardware could be useful do key programming!
If you want go get some basics on key programming, bonyeza HAPA!

Sorry, we decided pack the whole everything in this package!
You may click HERE to download 


This is COMPLETE official OEM full workshop service repair manual containing easy-to-read text sections with top quality diagrams and instructions includes:
- Detailed sub-steps expand on repair procedure information,
- Notes cautions and warnings throughout each chapter pinpoint critical information,
- Numbered instructions guide you through every repair procedure step by step,
- Bold figure number help you quickly match illustrations with instructions,
- Detailed illustrations, drawings and photos guide you through every procedure,
- Enlarged inset helps you identify and examine parts in detail,
- Numbered table of contents is easy to use so that you can find the information you need it fastly,
- Troubleshooting and electrical service procedures are combined with detailed wiring diagrams for ease of use and to makes it easy to repair problems with your car’s electrical system!
You may watch this video showing you the contents, after go below to download!
👇DOWNLOAD HERE👇

This list is very incomplete, tunaendelea kuweka🤞! So, ukikosa uliotaka, shuka chini ya hii page utujulishe tukutumie fasta fasta, au zungumza/chat with SUZAN if She is online! HAPA UJANJA tu😎!

This list is very incomplete, tunaendelea kuweka🤞! So, ukikosa uliotaka, shuka chini ya hii page utujulishe tukutumie fasta fasta, au zungumza/chat with SUZAN if She is online! HAPA UJANJA tu😎!

This list is very incomplete, tunaendelea kuweka🤞! So, ukikosa uliotaka, shuka chini ya hii page utujulishe tukutumie fasta fasta, au zungumza/chat with SUZAN if She is online! HAPA UJANJA tu😎!

This list is still very incomplete, tunaendelea kuweka🤞! So, ukikosa uliotaka, shuka chini ya hii page utujulishe tukutumie fasta fasta, au zungumza/chat with SUZAN if She is online! HAPA UJANJA tu😎!

This is COMPLETE official OEM full workshop service repair manual containing easy-to-read text sections with top quality diagrams and instructions includes:
Detailed sub-steps expand on repair procedure information,
Notes cautions and warnings throughout each chapter pinpoint critical information,
Numbered instructions guide you through every repair procedure step by step,
Bold figure number help you quickly match illustrations with instructions,
Detailed illustrations, drawings and photos guide you through every procedure,
Enlarged inset helps you identify and examine parts in detail,
Numbered table of contents is easy to use so that you can find the information you need it fastly,
Troubleshooting and electrical service procedures are combined with detailed wiring diagrams for ease of use and to makes it easy to repair problems with your car’s electrical system!
You may watch this video showing you the contents, after go below the video to download!
DOWNLOAD👇👇
👆👆

Includes,
GRJ120, 125 series
RZJ120, 125 series
KDJ120 125series
KZJ120 series
LJ120, 125series
This manual provides information on the electrical circuits installed on these vehicles, the actual wiring of each system circuit is shown from the point where the power source is received from the battery as far as each ground point.
When troubleshooting any problem, first understand the operation of the circuit where the problem was detected (see System Circuit section), the power source supplying power to that circuit (see Power Source section), and the ground points (see Ground Point section). See the System Outline to understand the circuit
operation.

This service manual iko kwa lugha ya English, and it has been prepared to provide SUZUKI service personnel with the necessary information and data for the correct maintenance and repair!
This manual includes the procedures for diagnosis, maintenance, disassembling, reassembling, inspection and adjustment of components and diagnostics for guidance of experienced mechanics.

Hayo maneno ya mwanzo ya kwenye lugha fulani yasikuchanganye, ukitaka nenda moja kwa moja kwenye ukurasa wa 12 uendele na hizi wiring diagrams!

Hii PDF inakuonesha wapi sensor, actuators, fuses, blaa blaa, zilipo! Unachuguzaje kukiwepo tatizo, mashine ikikupa OBD code unawezaje kuendelea kurebisha, aiiise ata hizo wiring za control boxi, na blaa blaa zingine! Ni PDF ata unaweza ku download kwenye simu📲 au unaendelea kusomea hapa hapa! Ukitaka ECU pinouts za gari zingine bonyeza HAPA HAPA
Bonyeza tu kwa jina la aina ya ECU uweze kufungua! Zingine PDF, zingine PICHA!

Unajua, this is the most incomplete list, yaani haaaaaishi, juu kila wakati tunaweka mchoro mpya wa ECU, iwe ya Engine, ABS, Suspension, Airbag, nk! Tunaweka za kila gari, kwa namna PDF au Picha, ina maana hata kwenye simu inafunguka fasta fasta!
Kwa mfano, hapa chini👇ni PDF ya mchoro wa ECU ya Toyota Echo blaaa blaaa, so unabonyeza tu kwa jina na inafunguka🤷♂️, hebu bonyeza uone!
👉pdf TOYOTA ECHO 1.3L (2NZ-FE Engine) ’04 Engine & Transmission Management System👈 Be careful, maana PDF isipofungua hapo, inajidownload automatically, ina maana ukienda kwa downloads kwenye simu, utaono hiyo PDF! So kuwa maakini🐱👤!
Zingina zinafunguka kama picha, mfano bonyeza hii ya Nissan uone niaje
👉Picha NISSAN GTR ECU engine 👈
Sasa, hapa chini ukichagua aina ya gari itakupeleka kuliopo ECU pinouts, then uchague unaotaka efunguke kama picha au pdf, just🤷♂️
NOTE📢 Hizi ni ECU pinouts tu, ukitaka ECU CRIRCUIT BOARD kujua uchawi wa componets ndani mwa ECU kama diodes, capacitor, IC, blaa blaa, bonyeza HAPA
ONYO: kabla hujabonyeza kwenda kwenye aina ya gari, hakikisha umemalizana SUZAN, chupa zake🍻 mbili tu! Asante🙏!
Na pia ukikosa ECU pinout yeyote mujulishe SUZAN akutumie fasta fasta, akiwa offline bonyeza hapa utume ujumbe!

This manual provides information on the electrical circuits installed on these vehicles by dividing them into a circuit for each system.
NOTE
For other systems & or Toyota Hilux Brands, you may click HERE or the the photo👇below
The actual wiring of each system circuit is shown from the point where the power source is received from the battery as far as each ground point. (All circuit diagrams are shown with the switches in the OFF position.)!
When troubleshooting any problem, first understand the operation of the circuit where the problem was detected (see System Circuit section), the power source supplying power to that circuit (see Power Source section), and the ground points (see Ground Point section).
See the System Outline to understand the circuit
operation.
When the circuit operation is understood, begin troubleshooting of the problem circuit to isolate the cause.
Use Relay Location and Electrical Wiring Routing sections to find each part, junction block and wiring harness connectors, wiring harness and wiring harness connectors, splice points, and ground points of each system circuit.
Internal wiring for each junction block is also provided for better understanding of connection within a junction block.
Wiring related to each system is indicated in each system circuit by arrows (from__, to__).
When overall connections are required, see the Overall Electrical Wiring Diagram at the end of this manual.

Hizi engine za nissan YD25DDTi unazikuta kwenye, akina NAVARA, PATHFINDER, MURANO, URVAN, nk! Sasa, kwenye hiki kitabu kuna blaa blaa zote za wiring, pamoja na maelekezo ya OBD fault codes!
Hii PDF ikichelewa kufunguka bonyeza ecYD25DDTi au hapa usome au download moja kwa moja!

Kama kawaida, au jinsi zinakuanga, hapa unaoneshwa uchawi wooooote wa umeme wa hiizi gari! Utaona michoro ya wire, namna kupima au kuchungunza, kutatuta matatizo ya umeme, a.k.a electrical troubleshooting tips! Unaeza kusomea hapa, au ukitaka ku download bonyeza kwenye document uanotaka! Alafu chini kaabisa ndo kuna OVERALL ELECTRICAL WIRING DIAGRAM ukikosa ya specific system unaotafuta!

The common rail system uses a type of accumulation chamber called a rail to store pressurized fuel, and injectors that contain electronically
controlled solenoid valves to inject the pressurized fuel into the cylinders. Because the engine ECU controls the injection
system (injection pressure, injection rate, and injection timing), the injection system is independent, and thus unaffected by the engine
speed or load. This ensures a stable injection pressure at all times, particularly in the low engine speed range, and dramatically decreases
the amount of black smoke ordinarily emitted by a diesel engine during start-up and acceleration. As a result, exhaust gas emissions
are cleaner and reduced, and higher power output is achieved.

Huu ni mukosanyo wa picha au vitabu (PDF) yakuonesha michoro pamoja na kazi ya vifaa (componets) izilyopo kwenye motherboard za ECU. Mfano; IC ama EEPROM ya injectors, au diode ya sensor fulani…nk! Alafu pia kuna ECU PINOUTS especially kama unafanya hizo kazi za ECU kuingia ndani ndani kwasababu kama hujui niaje, hautasadiwa na hii program🤷♂️!
Hapa chini kuna video yenye maelekezo unaeza kuona namna ya kutumia pamoja na contents BUT kama hutaki kuharibu muda wako😎haya bhasi then moja kwa moja BONYEZA HAPA UPATE
CLICK HERE TO ACCESS
CLICK HERE TO ACCESS
And if you just want ony ECU PINOUTS click here below

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile…pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎! Iliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so…..?
Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download!

Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!
Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu👇
Hizo za funguo bonyeza hapa hapa ujue namna ya matumizi🤷♂️