As demonstrated in the video below, this automated program is some premium time tracking and workforce productivity measurement tool that helps you productively monitor or manage employees.
Quickly add employees!
Classify your employees!
Get an overview of your employees!
Organize and manage your business entities!
Takes complete control of staff time off!
Understand the job roles and responsibilities clearly, making it easy to recruit the right talent.
It has Learning Management System integrated to allow you promote a culture of continuous learning at the workplace.
Easy Employee Performance Monitoring
Measurableย / Improved Decision Making as this program gives you accurate details about employee performance and other company statistics. This data helps you design effective programs to drive employee engagement and improve overall productivity.
And so much many alot too much, you kindly watch this video, then go below to download!ย
Our teams have dealt with a non-start situation with on many Mercedes commercial vehicles.
The main cause of the START ERROR being displayed on the dash is due to corruption of data in 2 of the vehicles main units,
one is the Temic immobiliser box also known as the WSP and the Main Engine control unit.
We recommend trying a few things before going deeep!
Test vehicle’s battery to be in a good state Try a different key Try the original key on its own with no other keys surrounding the ignition If you have done this and you still have the START ERROR message there could be a number of issues, we recommend having a deep diagnosis to pinpoint where the fault lies.
Common Faults leading to START ERROR on with certain Mercedes Benz:
Jump starting Battery power not sufficient The transponder in your key is faulty or missing Antena coil on ignition faulty ECU fault Fuel pump fault We also recommend testing for power on your WSP plug. Pin 3 is continuous +12V direct from the battery, Red/Yellow Wire Pin 7 is ignition +12V when your key is in position 1 and 2, Black /Yellow Wire If there is no power on either you will get START ERROR on the dash.
If all seems correct, but still sh*t, download thee and so as below in this video
Simple, reba gusa kuri serial number, hanyuma ukoreshe iyi software kugirango ubare kode yo gufungura radio uko iyi video ikwereka!
Nyuma yo kumanuka munsi yiyi๐video kugirango ufate iyi software!
Infact, ikiwa unataka kupata hii unlock code kwa urahisi bila usubufu wa sijui mpaka uende kwa kompyuta au niaje, yaani ata kwenye simu popote ulipo wakati wowote, bonyeza HAPA! Otherwise nenda chini ya hii video uweze kupakua hii program!
Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika! So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza kusaidiya!
Tafuta namna yako ya kuchomoa hiyo radio ya VW au AUDI au SKODA au blaa blaa, tazama serial namba namna hizi picha zinaonesha! Namna hii video inaonesha, weka hizo serial namba kwenye hii program iliopo chini ya hii video uweze kupata hiyo unlock code!
Ukitaka kujua details za kompyuta, ina windows gani, na hiyo windows iliopo na 10 bit au 32bit au 50bit au 64bit au 1000000bit๐๐คฃ๐๐ au….you know๐คทโโ๏ธ? Njia fasta fasta una right click kwa MY COMPUTER alafu unachagua properties namna hii
Ndo ikifungue namna hii ueze kuona details za kompyuta
Au ukiwa mwenye kihere here RUN uweke command ya DXDIAG๐คทโโ๏ธ
Au kama bado kama sisi hatuna blaa blaa, BONYEZA HAPA uweke hii kidude kwenye computer, kiisha ukibonyeze! Kikikuletea blaa blaa bonyeza tu OK
Utaona page namna hii kama chini, upige picha umtumie yeyote atake kuuliza details za kompyuta yako!
Hizi software ni zenye uchawi wa kutengeneza funguo mpya wa au kwa, gari iliopoteza funguo wake, au kuongeza funguo zingine for back up moja ikipotea, then na ukitaka kutoa huu usumbufu wa immobiliser ( a.k.a IMMO OFF) ili gari iendeshwe kwa funguo ya kawaida!
Gari zingine utahitaji tu diagnosis mashine ya kawaida, gari zingine mpaka kungoa au kucheza na data za EEPROM namna tuliokumbusha hapa www.5021.tips/ujanja/keyprogramming
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka๐!ย Aiise, kuna thousands of tested & working dumps za almost kila ECU.
Kuna detailed picha za ECUs na components zingine, pamoja with pinouts and wiring diagrams, maelekezo ya kila chakufanya!ย Hizi files kuna original na modified dumps that can be programmed into respective ECU.
Kwa ufupi, hii DVD ina๐,
Immo OFF za kutoa, kuzima, kupotezea immobiliser signal kwenye gari na kwamba gari inaeza kuashwa kwa funguo lolote!
Virgin virgin files za ku restore immobiliser systems to factory settings ili iweze kupokea funguo yeyote utaiingiza mara ya kwanza!
Emulatorwith ready-to-use files na maelekezo kuhusu nini namna nani๐๐ ๐คฃ๐ especially wakati unafanya immo off kwenye badhi ya gari!
Key writing kuwezesha kuandika key code kwenye ECU memory.
PIN caliculators ili uweze kubaliwa ku access data ya ECU zikiwa locked!
Pictures and wiring diagramsza almost kila ECU ! Yaaaani, components , memories, plugs, nk!
Uchawi wa hiizi software, sio kufuta tu code, BUT kutoa kabisa kwa system ya gari, hizo blaa blaa za DPF (Diesel Particulate Filter), EGR (Exhaust Gas Recirulation), LAMBDA ambao ni Oxygen sensor au A/F sensors, ya kwamba kamwe gari kusumbuliwa tena!
Ukitaka kujikumbushakuhusu DPF bonyeza hapa! Sii unajuja usumbufu uliopo gari ikianza hizo blaa blaa kukosa nguvu, check engine light kuaka, nk, juu ya hiizi DPF blaa blaa๐ค?
So what You need ni uwezo tu wa kusoma Flash data za ECU, kiisha unazipitisha kwenye hiizi software zifanye uchawi, then unarudisha hizo data kwa ECU๐คทโโ๏ธ!
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka๐
Huu uchawi unatibu WINDOWS pamoja na MICROSOFT OFFICE๐! Mashariti ni kwamba wakati unapakuwa (downloading) au ukimaliza lazima uzime antivirus yeyote iliopo kwenye laptop/kompyuta yako!
Mfano hiyo windows defender unaifanya namna,
Search neno Protection kama hujui kuifungua moja kwa moja,ย so ikitokea bonyeza open Virus & Threat Protection
Sasa, bonyeza kwenye Virus & Threat Protection Settings.
Just chagua turn off Real-Timeย Protection.
Wakati unataka ku download, kutratokea ujumbe kama huu, lakini usiwe na au kwa wasi wasi, bonyeza kwenye “More info” kiisha kwenye “Download anyway”
Sasa, ukimaliza ku download, unzip alafu ubonyeze kwenye hicho cha RED (nyekundu)
Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of MercedesBenz trucks.
The contents in here are split up into: โข function descriptions โข component descriptions โข Description of location of electrical connectors, sockets and ground points
Gari ikipata ajali au ikitetemeka/kutikisa ghafla like kama as if imepata ajali hivi, as in like if U hit a pot hole, alafu taa ya AIRBAG ama SRS inabaki inawaka bila kuzima, kumanisha lazima ubadili vifaa fulani! Hata ukiweka Diagnosis mashine, waaapi! Sasa ndo huu uchawi tunakupa saa hii!
Bonyeza HAPA tuliokumbushana kuhusu namna AIR BAG wiring systems,ย ma sensor husika, nk! Pamoja na jinsi kuizima ikiwaka tu bila ajali wala kugonga kitu!
So huu uchawi unakuwezeshaย kuzima hiyo taa ya AIRBAG bila kubadilisha vifaa (spare parts) ….namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video hapa chini๐!
Kiisha shuka chini ya video uweze ku download๐ป!
Kwanza ukiweka aina ya gari, hii progrogram itakuonesha chip/EEPROM ya ku deal nayo! Tena, assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapaย tuliekezana! Ukiweza kusoma data ya hiyo chip ama EEPROM ya funguo, unaweka tu hiyo data kwa hii program kiisha inafanya uchawi na kurudishiya data wa kuweka kwa hiyo. Sii unajua ama umesikia blaa blaa kuhusu sijui ‘dampu’ mara ‘original data’ vitu namna hiyo, sasa briefly jua tu kwamba wakati gari inatengenezwa security system inakuwa kama binti bikira ya kwamba funguo yeyote itakapoingizwa mara ya kwanza, ikiwa sahihi, ndo hiyo funguo itaendelea kuasha hiyo gari! Sasa, uchawi wa hii program ni kwamba ukiipatia data kutoka kwa hiyo EEPROM kwenye gari ya funguo liliyopotea, hii programu inafanya uchawi wa kufanya hii gari ku kubali funguo yeyote utakapoingiza mara ya kwanza, a.k.a key decoding, a.k.a virgizing a.k.a nk๐๐คฃ๐๐๐
PROGRAM iliomo ingine nayo ukiweza kusoma data ya hiyo chip ama EEPROM ya funguo, unaweka tu hiyo data kwa hii program kiisha inafanya uchawi na kurudishiya code ya kuandika kwenye hiyo transponder…ama kama unayo mashine imeonganisha kwa hiyo laptop yako, funguo itatengenezwa moja kwa moja!
Hizi software ni zenye uchawi wa kutengeneza funguo mpya wa au kwa, gari iliopoteza funguo wake, au kuongeza funguo zingine for back up moja ikipotea, then na ukitaka kutoa huu usumbufu wa immobiliser ( a.k.a IMMO OFF) ili gari iendeshwe kwa funguo ya kawaida!
Gari zingine utahitaji tu diagnosis mashine ya kawaida, gari zingine mpaka kungoa au kucheza na data za EEPROM namna tuliokumbusha hapa www.5021.tips/ujanja/keyprogramming
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka๐!ย Aiise, kuna thousands of tested & working dumps za almost kila ECU.
Kuna detailed picha za ECUs na components zingine, pamoja with pinouts and wiring diagrams, maelekezo ya kila chakufanya!ย Hizi files kuna original na modified dumps that can be programmed into respective ECU.
Kwa ufupi, hii PACK ina๐,
Immo OFF za kutoa, kuzima, kupotezea immobiliser signal kwenye gari na kwamba gari inaeza kuashwa kwa funguo lolote!
Virgin virgin files za ku restore immobiliser systems to factory settings ili iweze kupokea funguo yeyote utaiingiza mara ya kwanza!
Emulatorwith ready-to-use files na maelekezo kuhusu nini namna nani๐๐ ๐คฃ๐ especially wakati unafanya immo off kwenye badhi ya gari!
Key writing kuwezesha kuandika key code kwenye ECU memory.
PIN caliculators ili uweze kubaliwa ku access data ya ECU zikiwa locked!
Pictures and wiring diagramsza almost kila ECU ! Yaaaani, components , memories, plugs, nk!
Hapa tumeweka taka taka yoooote, as in tumeweka kila software ya kufungua almost kila aina ya radios! Uchawi ni, either kuingiza tu SERIAL NUMBER, kiisha unapata unlock code๐คทโโ๏ธ! Ama, kutoa ili usome na kubadili data iliomo kwenyeIC/EEPROMfulani kwa motherboard ya hiyo radio namna tulioelekezana kwa video au kwa PDF ilioko kwa hizo software!
Hizi video ni mfano ya namna huo uchawi unavyotumika kufanya kazi๐ then after download below the video!
Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)๐, sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!
Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu๐kumbushana!
In this video we will show you how to change cluster display language for the VW Golf Mk4, Mk5, Bora, Jetta, Passat, Polo, Touran, Sharan, Skoda Octavia 1, Octavia 2, Fabia, Seat Leon, Cordoba, Ibiza, etc. using VCDS VAG COM. But to do that, you will need a VAG GOM (VCDS) tester and a laptop with VCDS software already installed. Thenโฆ
If you know what’s done, save time BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code๐คทโโ๏ธ, sii unajua niaje๐๐!
otherwise soma haya maelekezo๐
๐
Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding๐, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo๐! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk๐คท๐ผโโ๏ธ!
Mashine yenyewe itakutolea zile details za OUTCODE namna hii๐like ukiwa unafanya Ford, kwamfano tu๐!Sasa, baada ya kupata hizi details lazima umutumie sijui wakala wa hizo gari au sijui mtaalamu fulani๐ฉ๐ผโ๐งakupe code fulani ndo uweze ku programm hiyo funguo ama ECU! Sasa ujanja tunapatiana hapa ni namna ya kupata what we call INCODE kwa kuingiza hiyo OUTCODE hapo kwenye picha ya juu๐ (ndani ya boxi rangi nyekundu), kwasababu ukiendelea utakuta sehemu inakuitisha INCODE kama kwenye hii picha ya chini๐Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Ikifunguka itakuwa namna hiiKupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Hebu fanya mazoezi kwa hiizi OUTCODE hapa chini uone niaje๐ค!
Ford fiesta 1.4 TDCI
Outcode:0000 EF440F 0000
Error Control:43168
OUTCODE = 4CBB
โโโโโโโโโโโ-
Mazda 3
Outcode: 0040 โ 058215 โ 000000
INCODE = 9175
โโโโโโโโโโโ
OUT CODE: 0044-151E3F D60E19
ERRORCONTROL: 4X420
Hapa lazima ufanye mara mbili
outcode single: 151E3F = 154F
outcome dual: D60E19 = E768
your incode is: 154FE768
โโโโโโโโโโโโ
Jaguar XType 2003
key programming outcode 05975543
income is 9FAD
Kupata hiyo INCODE, utabonyeza๐ hapa hapa ๐na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Mara nyingi unakutana file za iso๐, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi๐ค, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”๐๐คฃ๐ Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha๐?
Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka๐คท๐ผโโ๏ธ
Wakati unafanya diagnosis kwenye magari za BENZ yeyote, ndogo na kubwa lorry kama Actross, ukitaka kufanya yale mambo advanced kama key programming, ECU blaa blaa, kushusha milleage, etc, na unaitiishwa password namna hii๐๐
Like ukitaka kufanya ECU programming Au ukitaka kufanya zileSo baada ya kuweka password ndo inafunguka namna hiii๐Infact ukitaka kuona zaidi au namna ya kutumisa hii software uweze kupata hizo password, watch this video then download hapo chini๐
Ukitoa battery ya gari au kuichokonowa chokonowa radio ki namna, itafika wakati unakuuliza neno siri au may be kama ulitoa nje memory card, inakwambia uingize card ama MAPCD ili iweze kufunguka๐คท๐ผโโ๏ธ !
Kuna usumbufu wa aina mbili either inakuuliza ERC code ama inakuambia kuweka memory au CD๐!
Sasa ukikuuliza ERC code namna hii
Fata haya maelekezo kwenye hii video, kiisha shuka chini uweze ku download hii software ya kupata ERC code
Kama umepata ule ujanja wa kuchezea EEPROM am IC/chip๐, kama bado bonyeza HAPA ujue niaje, but assuming kama tayari unajua hizo blaa blaa za EEPROM unafungua tu clustter ya Nissan alafu unatafuta EEPROM inaohifadhi data za mileage ambao mara nyigi ni 93C56 au 93C66 au ukikosa muulize mhudumu aina ya gari ili akumbushe.
Anyway ukiweka milleage, yaani digits unazotaka KM ioneshe unaziweka tu kwa hii software alafu inakwambia chakufanya na pakufanya…as in HEX digits za kuingiza!
Beer zetu mbili๐ป uweze ku download๐คท๐ผโโ๏ธ
Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐!
Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora! Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research nyingi zingine bora๐๐ผ!
Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys๐คทโโ๏ธ
Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!
TRANSPONDER KEYS
Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!
So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi
Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!
ONYO๐จ: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case๐คทโโ๏ธ!
TRANSPONDER DETAILS
Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya๐คท๐ผโโ๏ธ namna tulioneshana kwenye hii video
Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems
SMART KEY SYSTEMS
Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!
KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!
So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti
KEYLESS IGINTION SYSTEM
Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari! Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!
KEYLESS ENTRY SYSTEM
Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!
Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu๐คทโโ๏ธ!
So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video
IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING
Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.ย IMMOBILIZER DECODING๐, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!
Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!
ONYO ๐
kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje!ย
Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani!ย So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!
Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine๐!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.
So hii App๐ฒ ya kwenye simu au na kompyuta๐ป, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari๐ค!
Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo๐, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani๐คท๐ผโโ๏ธ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!
Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐! Ni PDF๐ฒ popote๐ป kinafunguka!
Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya๐!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje๐ข!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari๐ค, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA๐คทโโ๏ธ!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi๐!
NATS, kwa urefu ni, Nissan Anti-Theft System,
ni kuhusu ule uchawi uliko kwenye gari za NISSAN kwamba usipotumia funguo๐ sahihi, gari haiwezi kuwaka๐!
Sawa, funguo inaeza kuwa sahihi lakini ukibadilisha tuseme computer ya engine (ECU) au computer ya body (BCM) au anything could have happened kwamba lazima ukutaanishe (initialize ama adapt) vifaa vyote kwenye hii NATS๐ค!
Sasa baada ya, au ukimaliza kukumbuka au kujua namna na nini chakufanya kwa hizi blaa blaa za NATS, tumekuwekea software hapo chini ya kufanya uchawi wa NATS aina zoooote! LAKINI, kama unajiamini, nenda chini ya hii page uweze ku download moja kwa moja!
Sasa wakati unafanya initialization ukiwa na mashine yeyote ya diagnosis๐จโ๐ง, kutafika wakati unahitaji neno siri (password) fulani ili uweze kukamilisha. Uchawi zaidi ni kwamba hizi unapaswa kuzipata sehemu maalum kutoka kwa watu fulani๐!
Sasa hapa tunapeana ujanja wa namna kupata hizo passwords (NATS code)!
Assuming kwamba unajua ujanja wa EEPROM, kusoma, ku save data, nk, ukitaka bonyeza hapa https://youtu.be/TGbrQwNzlDY tuliekezana! Anyway, baada ya kutambua na kusoma data kutoka hiyo EEPROM ya funguo ama DPF ama whatever, hiyo data unaiingiza tu kwa hii program na ndani ya sekunde 0 sifuri, program inafanya uchawi kisha kurudishia data utakapoingiza /kurudisha/kunadika kwenye hiyo EEPROM namna hii video inakuonesha!
Na hii pia maana kuna zingine ukizikosa unazikuta huumu๐
Ata hizi diagnosis mashine za kawaida zina uwezo kukamilisha kufanya kazi fulani ukiwa na SECRET CODES fulani!
Infact ata ikiwa kwenye zile mashine maalum za key programming, najua mara nyingi una, uta au umekutana sehemu ya kuhitaji SECRET CODES fulani wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, alafu unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani! HAPA UJANJA tu!
Kwanza kabisa, kwa ubora zaidi, tunadhania umejifunza au umekumbukaย yafuatayo!
๐
Namna, jinsi au ufanyaji kaziย IMMOBILISER SYSTEM wa magari! Kama badoBonyeza HAPA!
Tena, hiki kitabu nacho kinakupa mwongozo fulani au mwanga. Ni PDF unaweza kukisomea kwenye simu๐ฒ yako au computer! bonyeza HAPA!
Kazi zingine utahitaji ku deal na blaa blaa ya FLASH au EEPROM data kuweza kupakuwa hiyo PIN utahitaji!ย Ukitaka kupita kuhusu ujanja wa EEPROM works, bonyeza HAPA!
Na tena ukitaka kujua hiyo chip au EEPROM ya kusoma data iko wapi! Kuweka hii program ata kwenye simu au computer,bonyeza HAPA!
Au ukitaka kujua mashine yipi inaoweza kufanya kipi kwa kwenye gari fulani,unabonyeza HAPA!
Sasa, najua umekutana wakati unajaribu kafanya ECU au ufunguo (ECU au ama Key Programming) kwenye gari au pikipiki, unakwama kwasababu mashine inakuitisha PIN fulani!
Mashine inaeza kuwa hizi diagnosis za kawiada au ata mashine zenyewe za kufanya key programming nazo (zingine au nyingi nyigi) zinaulizanga PIN!
Sasa, tumekosanya uchawi wa namna ya kupata hizi PIN kwa kila aina ya gari!
Kama hutaki kuendelea kusoma hizi blaa blaa, shuka chini ya hii page uweze ku download ata kwenye simu!
Tumeweka au kuoneshana namna ya kufanya kwa kila! Unaeza kuta zingine unaingiza tu Chasis number ya hiyo gari na ukapata PIN ya hiyo funguo, zingine unaingiza tu PartNumber ya kifaa fulani, inaeza kuwa ya ECU au IMMO BOX au INSTRUMENT cluster, au anything!
Mifano tu๐
Kwenye NISSAN fulani inaeza kuta unahitaji hiyo 5 digit code imezungushwa kwa ki red box kwenye label Inaeza kuwa kwenye Toyota, may be hiyo mashine uliyo nayo haiwezi kufanya uchawi wa PIN automatically, kwamba unahitaji kuingiza hiyo SEED NUMBER uweze ku caliculate hiyo PIN CODE kama hapa chini!Inaeza kuwa umekwama na VW/AUDI kumbe ujanja ni kuifungua na kusoma data kwenye EEPROM fulani kwenye instrument cluster amabapo code imejicha!Unaeza kuta gari zingine, funguo hijapotea, lakini imegoma tu kuasha hiyo gari na inaitisha PIN fulani, kumbe uchawi ni kufunguo tu hiyo ufunguo usome keyTAG na paaaaa….
aode
mitsvazSWA
swamitsu
flashEN
FlashSW
ml
aotadakey
enPROG
swaPROGr
272764590_128787566304534_1345823714250307931_n
๐๐๐
UKITAKA KUPAKUWA, NDO HAPA SASA kwenye simu๐ฒ au kompyuta๐ป
๐