MAP sensor

MAP sensor, au, Manifold Absolute Pressure Sensor, inapima kiasi au uzito wa mkusanyiko wa hewa uliopo kwenye ‘intake manifold’!
Mkusanyo wa hewa ukijumulisha na hewa inaotoka njia za mfumo zingine kama, EGR, TURBO, PCV, nk!Manifold ni hicho ki bla blaa kabla hewa kuingia cylinder au baada ya Throttle

Hii sensor inaeza kuwekwa popote, kulingana gari, ili mradi kuna njia yakufikia kupima hiyo hewa!


Ukitaka maelekezo mengine ya ndani ndani, namna inavyofanya kazi wapi vipi, nk, unaeza kutazama hii video


May be ukitaka kuelewa zaidi kuhusu huo uchawi wa Piezo ambao Pressure sensor nyingi zinategemea, bonyeza HAPA kwenye hii link au picha hapa chine LINK


Sensor hiyo mara nyingi inaka namna hii

Jinsi yalivyoelezwa yote kwenye hizo video, sensor hii inaweza kuwa na waya tatu au waya nne.

Mara nyingi reference voltage inakuwaga 5V kutoka kwenye ECU!

Weka igntion-ON, chunguza umeme kwenye hizo waya!

KEY PROGRAMMING TOOLS

This includes downloads of useful softwares and gateways to where which when why what hardware could be useful do key programming!
If you want go get some basics on key programming, bonyeza HAPA!

Sorry, we decided pack the whole everything in this package!

You may click HERE to download


Introduction to Engine Control System Processes and Diagnostic Tools

The purpose of this section is to help you understand the general diagnostic process that you will follow regardless of the type of customer concern you are troubleshooting…

…..and also to know about the features of diagnostic tools that will help you with greater accuracy
and speed…

….not forgeting the lay out the troubleshooting steps and resources you will need to follow when diagnosing customer concerns.

Introduction to Engine Control System

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [8.65 MB]

KEYPROGRAMMING, REMOTES & SERVICE INDICATORS instructions

Gusa twasuzumye (scanned) iki gitabo kugirango kibe PDF๐Ÿ“ฒ, ikora no kuri terefone nto!

HAPA UJANJA tu!
password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

Igitabo kirakwigisha ubuhanga butandukanye kubyerekeye urufunguzo!

Videwo๐Ÿ‘‡ yometseho irakwereka ibirimo, ukeka ko izagufasha!
Jya munsi๐Ÿ‘‡ya videwo kugirango ukuremo!
password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

๐Ÿ‘‡DOWNLOAD๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili

AUDI A3 (Direct petrol injection & ignition system)

This manual is about that direct petrol injection and ignition system (4cyl. 2.0 ltr. 4-valve turbo) and it is, this is designed to help you perform necessary diagnostics, maintenance, service, and repair procedures on any applicable AUDI engines! Infact better download and even print out this manual, necessarily๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ



CAN BUS SYSTEMS (Test, Diagnose, Troubleshoot & Repair)

Gari za siku hizi ni kama mwili wa mwanadamu๐Ÿค”!
Sasa, CAN BUS ni kama ni mfumo wa neva, yaani nervous system, unaowezesha mawasiliano wa kila mfumo wa mwili!

Ndiyo, hizo ECU zione kama vipande vya mwili vilioonganiswa na huu mfumo wa CAN BUS!

CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria munaingia wengi lakini kila atashuka sehemu tofauti, kulingana!

So, CAN ni muungano wa ma kompyuta ziliopo kwenye gari kwamba zinawasiliana, kupeana msaada!
Mfano, kompyuta au ECU ya SUSPENSION ikihitaji umbea kuhusu speed, mwendo wa gari, itapata umbea huu kwa CAN juu computer ya ABS yenye speed sensor zinazochunguza mwendo wa gari itaweka signal hii kwenye CAN kuliko kwamba speed sensor zitafungwa kwa kila computer ya gari itahitaji mwendo wa gari๐Ÿš’!

You may watch๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡this video for deeper explanation!

TESTING & TROUBLESHOOTING CAN BUS FAULTS


CANBUS MODULE IN THE ECU


ย BASIC INTRODUCTION about CAN BUS SYSTEMS

Umbea kuhusu TURBOs(diagnosis & how they work)

Nguvu za ule moshi unaotoka kwa engine unatumika kuzungusha aina ya kama pampu fulani hivi, na wakati wakuzunguka hii pump inanyonya au kuvuta hewa kutoka nje ya gari ili kuongeza kiasi cha hewa engine inahitaji kufanya kazi vizuri namna tulijaribu kueleza humu! Na pia kuna hizo pressure sensors, temperature sensor, nk๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ !

TURBO SYSTEM

 

 

TURBO COOLER SYSTEM

 

 

 


#turbo #turbosupercharger #5021tips

AIRBAG SYSTEM (diagnostics & Repair)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi, hii sensa itapeleka umbea kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAGย  namna tulijaribu kuoneshana hapa๐Ÿ‘‡pamojaย  na chakufanya iliย  kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง

#airbagsystem #SRS #5021tips


Alafu ata ukiweka diagnosis mashine ili kuzima taa ya AIRBAG lakini baado, ukibonyeza HAPAย  kuna ka uchawi ka kuzima au ku reset Airbag


Kuzima AIR BAG bila mashine, kulingana especially kama gari hapana kupata ajali๐Ÿ‘‡


Maana ya maandishi kwenye mitungi๐Ÿงด ya oil

Watu wengi wamebadilisha mafuta (OIL) ya gari lao wenyewe au wamepeleka gari kwa garage kwa wataalamu! Sasa, kipengele muhimu kuhusu blaa blaa ya mafuta (OIL) ni kuchagua aina ya OIL sahihi pamoja na right quantity๐Ÿค”! I swear, unahitaji kuzingatia nambari zilizo kwenye lebo ya mafuta (OIL) ya gari. Unaweza kuona kitu kama “10W30” au “5W20” na ukashangaa wanamaanisha nini hiki๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜….


#oilspecifications #engineoil #5021tips

SHOW LESS

Uchawi wa PIEZOELECTRIC EFFECT

Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme. TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, kitatemeka (to vibrate/shake or move)! So ni vice versa namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ

AUTOMOTIVE ELECTRONICS (sensors, actuators, ECU,etc)

Kwa kutaka kuongeza nguvu za magari, bila kutumisa mafuta mengi, pamoja na bila kuharibu mazingira๐Ÿค”, wataalamu waligundua namna ya kuchunguza mafuta na hewa inaoingia kwenye engine…pamoja na kuchunguza huo moshi unaotoka kwa engine๐Ÿ™„ ili husiharibu mazingira nje ya gari. So waliweka sensor za kuchunguza na kupeleka umbea kwenye ECU/control box (computer), alafu ndo computer iwaambie actuators kazi ya kufanya, kulingana๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ!
Sasa, kwasababu engine ya gari inategemea mafuta na hewa ili kuweza kufanya kazi, ndo maana njia za mafuta na hewa pamoja na hewa chafu (moshi) waliweka hizo sensor na actutors! So we shall look at all the sensors on in each systems as ellaborated in this video


AIRFLOW METER SENSOR

Either hii sensor inapima tu ujoto, AU inapima ujoto pamoja na uzito wa hewa inaoingia ndo hapo inaitwa Mass Airflow meter sensor!

Ikiwa inapima tu ujoto inakuwa na wire 2 tu

Iiwa inapima ujoto na uzito wa hewa, inaweza kuwa na๐Ÿค”,
> 5 wires (2 yakupima joto, 3 za kupima uzito)
>4 wires (ground au negative wire ya upande wa kupima joto iko pamoja na ya upande wa kupima uzito)
>3 wires hakuna upande wakupima ujoto, inapima tu uzito wa hewa!

Hii video tuloneshana namna sensor inafanya kazi, pamoja na kupimwa ikiwa natatizo๐Ÿ‘ฉ๐Ÿผโ€๐Ÿ”ง


MANIFOLD ABSOLUTE PRESSURE SENSOR (MAP)

Hewa ikifika kwenye inlet manifold itakutana hewa ingine inaotokea njia zingine kama Turbo, EGR, EVAP system, nk! Ina maana lazima au bora kuwepo namna ya kupima jumla ya hewa iliopo kwenye manifold kabla kuingia kwenye engine๐Ÿค” hapo ECU ama control ijue kiasi cha mafuta itafanya injector zitoe๐Ÿ˜Ž! So, hii MANIFOLD PRESSURE SENSOR ndo inapima jumla ya hewa iliopo kwenye inlet manifold!
Hii sensor mara nyigi ni 3 wires๐Ÿค”,
moja ni 12V au 5V, ingine ni Negative/ground, Ingine ni ya SignalHii sensor ilitengenezwa kwa uchwa wa PIEZOELECTRIC EFFECT, ukibonyeza hapa tulijaribu kuonesha maana ya huu uchawi

Otherwise nama hii sensor inafanya kazi na kupimwa ili kujua kama ina tatizo, tulijaribu kuineshana katika hii video


ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR

Sii ujajua hizi gari za kisasa kile ki pedal ni cha umemeโšก tofauti kwa zile gari za zamani kulikuanga ka metal fulani๐Ÿ™„Sasa hii sensor ina sensor mbili kwa moja, because the other ni ya emegency kama upande moja ukiharibika, namna ya ufanyaji kazi na kupimwa in this video๐Ÿ‘‡

#ACCELERATORPEDALSENSORย  #DRIVEbyWIRE ย #5021tips


ELECTRONIC THROTTLE CONTROL

Baada ya kuganyaga kwenye accelerator pedal umbea unapelekwa kwa ECU (control box) ili ijue namna ya kunfungua hiki ki blaa blaa THROTTLE cha kuruhusu hewa ingie kwenye Engine! Hii ELECTRONIC THROTTLE CONTROL iko na kile kiko ka ulimi ya mtu hiivi kufungua na kufunga๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ! Kuna mota (motor) ya kutembeza hiki ki ulimi!ย  Na kuna sensor ya kuchunguza hiki ki ulimi kimefunguka kiasi gani๐Ÿค”!
Namna ya kupima AND ufanji kazi tazama hii video๐Ÿ˜Ž

#THROTTLEbody #ENGINEsensors #5021tips


FUEL TANK-COVER SENSOR

Bila kufunga mfuniko wa kwenye tenki la mafuta, inasababisha upepo wa nje kuingia au ata mafuta kupotea kwa nja ya upepo (Evaporation)๐Ÿ™„! Sasa, ili kuhakisha unafunga mfuniko wa tenki, kuna sensa iliwekwa ili kwamba usipofunga, kuna taa itaonesha kwenye instrument cluster au ata taa ya check-engine yenyewe…au kuna uchawi ECU inafanya kwenye gari ili isitembee vizuri mpaka ufunge huu mfuniko๐Ÿ˜Ž!

#fueltankcover #automotivesensors #5021tips


FUEL TANK PRESSURE SENSOR

Jinsi unavyojua๐Ÿ™„, ukiweka kitu chochote kilivyo kama maji (liquid substance) kwenye kama dumu hivi, ukichezesha (shake) hiyo dumu, kuna pressure inatokea! Sasa, ata maafuta kwenye tenki la gari, kila gari ikitembea obviously inacheza so yale mafuta kuna uchawi unatokea kuyafanya kubadilika kuwa ya upepo na kuongeza pressure kwenye tenki, ndo maana kuna FUEL TANK PRESSURE SENSOR yakuchunguza kiasi cha pressure kwenye tenki๐Ÿ˜Ž!

Hii sensor ilitengenezwa kwa uchwa wa PIEZOELECTRIC EFFECT, ukibonyeza hapa tulijaribu kuonesha maana ya huu uchawi, so na maana ina 3wires๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ

Wakati gari inatembea, inachezesa tenki na kufanya yale mafuta (kama maji) kubadilika au ku evaporate kuwa upepo๐Ÿค”! Sasa, hii EVAP SYSTEM inaosaidia kufanya uchawi ili yale mafuta ya upepo yasichanganyike au yasiende kwenye njia ya mafuta ya maji! Hii EVAP SYSTEM iko na njia mbadala yakupitisha upepo kwenda kwenye manifold au nje ya gari kulingana๐Ÿ˜จ!

Kuna ile meter ya kuchunguza kiasi cha mafuta kwenye tenki (tank), kuna pump, kuna ka sieve ka kusfisha hayo mafuta, na๐Ÿค”….jinsi tuanelekezana kwa hii video๐Ÿ‘‡!


FUEL PRESSURE REGULATOR


ย IDLE AIR CONTROL SYSTEM

Ukitoa mugu kwenye accelerator pedal (ile yakuongeza nguvu ya gari) ata ule mfuniko wa kuruhusu hewa ingie kwa engine unaziba๐Ÿค ina maana engine ikikosa hewa itazimika๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ! Sasa uchawi wa IAC valve ni kufungua ka njia fulani ile hewa ipite kufika kwa engine ata ukitoa muugu๐Ÿ‘Œ au tuseme ukitoka kwa gari inaendelea kuaka!

#IACvalve #ENGINEsensors #5021tips


CRANKSHAFTย  & CAMSHAFT POSITION SENSORS

Assuming kwamba unajua crankshaft au camshaft ni nini, sasa ili kuweza kujua muda gani wakati cylinder fulani inafanya kitu gani na inahitaji nini, hizi CAMSHAFT na CRANKSHAFT POSITION SENSOR kuna uchawi unaziwezesha kujua ipi niaje, na kupleka huu umbea kwenye computer ya gari namna tulijaribu kumbushana au kuoneshana๐Ÿป

#crankshaftpositionsensor #camshaftpositionsensor #5021tips


ENGINE COOLANT TEMPERATURE SENSOR

Jinsi unavyojua, kifaa chenye uwezo kutembeza umeme kinabadilika kulingana ujoto au ubaridi๐Ÿค”! So computer ya gari inatuma umeme kuzunguka kwenye hii ENGINE COOLANT TEMPERATURE SENSOR , kuligana ujoto/ubaridi umeme (volts) zitazorudi kwa computer, either itapungua au kubaki niaje namana tulioneshana๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง


AUTO TRANSMISSION tech & DIAGNOSIS outlines

Kwenye AUTO TRANSMISSION, uchawi zaidi zaidi ni wa valve ambao valve zinategemea solenoid, zingine ni pressure sensor na temperature sensor! SO, kama ulihelewa vizuri kuhusu blaa blaa za hizi sensor kwenye system zingine, then ili muradi picha inakuonesha hii sensor iko wapi, then troubleshooting AUTOMATIC TRANSMISSION troubles ni kama kunywa maji๐Ÿป!

#VALVEBODY #AUTOMATICTRANSMISSION #5021tips


TROUBLESHOOTING CONTROL SYSTEMS

Uchawi kuweza blaa blaa ya ma sensor, control boxi, sijui actuators ni kujua mfano ni sensor gani, iko wapi, inafanya kazi gani, inafanyaje hiyo kazi as in iliundwaje (how it is made), nk! So ukipata umbea huu wote ndo utajua inahitaji kupeleka au kutoa umeme gani kutoka wapi au blaa blaa as we explained in here๐Ÿ‘จ๐Ÿผโ€๐ŸŽ“ !

#electricalcontrolsystems #automotivesensors #5021tips

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐Ÿ‘Œ!

HAPA KUNA MASOMO kuhusu immobiliser systems, bonyeza tu๐Ÿ‘จ๐Ÿผโ€๐ŸŽ“!
Bonyeza๐Ÿ‘†au kwenye picha๐Ÿ‘‡


ONYO๐Ÿšจ>>

Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora!
Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research nyingi zingine bora๐Ÿ™๐Ÿผ!


DOWNLOAD HAPA ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†

password aandika neno KitabuFungu0

Misingi ya CAR KEY PROGRAMMING



Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ



Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!


TRANSPONDER KEYS

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder
Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!

So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi

Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!

ONYO๐Ÿšจ: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!



TRANSPONDER DETAILS

Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ namna tulioneshana kwenye hii video



Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems


SMART KEY SYSTEMS

Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!

KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!

So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti


KEYLESS IGINTION SYSTEM

Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari!
Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!


KEYLESS ENTRY SYSTEM

Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!


Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video



IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING

Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.ย  IMMOBILIZER DECODING๐Ÿ™„, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!

Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!

ONYO ๐Ÿ“Œ

kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje!ย 

Data za IMMO OFFย 
BONYEZA HAPA



IMMOBILIZER SECRET PIN CODES

Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani!ย 
So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!

BONYEZA HAPAย 



TRANSPONDER & EEPROM details!


Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine๐Ÿ‘Œ!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.

So hii App๐Ÿ“ฒ ya kwenye simu au na kompyuta๐Ÿ’ป, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari๐Ÿค”!


BONYEZA ย HAPA



EEPROM WORK

Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo๐Ÿ™„, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!

BONYEZA HAPA



KEY PROGRAMMING BOOK

Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐Ÿ‘Œ!
Ni PDF๐Ÿ“ฒ popote๐Ÿ’ป kinafunguka!

BONYEZA HAPAย 



KEY PROGRAMMING SOFTWARES

Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya๐Ÿ‘Œ!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje๐Ÿ˜ข!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari๐Ÿค”, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi๐Ÿ‘Œ!


BONYEZA HAPA TO DOWNLOAD THIS FULL PACKAGE OF DVD


na TENA na tena, je๐Ÿค”
Translate /Tafsir /Traduire