IMMO OFF FILES

Kwanza utapewa taarifa ya kuhusu EEPROM gani ya kuandika hiyo data ya immo off!

Ujanja wa EEPROM work ni muhimu, ukitaka kumbuka niaje, bonyeza HAPA 


Ukishaitambua hiyo EEPROM, ni bora na salama, ukisoma na kuhifadhi SAVE (back up) hiyo data iliopo kwenye EEPROM bila kugusa kubadili chechote!

Ukimaliza ku load file, hamna aja ya kugusa, kubadili, kufuta chechote!
Moja kwa moja Program WRITE andika hiyo file kwenye hiyo EEPROM!

LAKINI, kwa ujanja zaidi, bora ulinganishe compare  hizo file zote mbili, yenye immo ON, na yenye immo OFF, ili ujifunze, utambue wapi pamebadili kufanya OFF, ili nawe ujifunze ufanye mwenyewe, bila software wala mashine yeyote!

Tazama hii video👇 uone niaje kama vitakusaidia, kisha ushuke chini uweze ku download👇!

DOWNLOAD👇

👉   BONYEZA  HAPA  👈
👆👆👆👆👆👆
You notice that one file could work on several other vehicles! Utilize all the attached information
👇

Reminder on how to LOCATED the data & address
👇