GROUND, NEUTRAL, EARTH, connections explained

Hata kama EARTH na GROUND ni kama kitu kimoja, lakini ni tofauti! Kwa kingereza ya Merikani wanasema GROUND, alafu kwa Kingereza ya Ulaya(Europe) ni EARTH, so sometimes maana inakuwa confused!ย  So is why we tried to explain the difference in this video

DPF-off, EGR-off, FAP-off, LAMBDA-off

Uchawi wa hiizi software, sio kufuta tu code, BUT kutoa kabisa kwa system ya gari, hizo blaa blaa za DPF (Diesel Particulate Filter), EGR (Exhaust Gas Recirulation), LAMBDA ambao ni Oxygen sensor au A/F sensors, ya kwamba kamwe gari kusumbuliwa tena!

Ukitaka kujikumbusha kuhusu DPF bonyeza hapa!
Sii unajuja usumbufu uliopo gari ikianza hizo blaa blaa kukosa nguvu, check engine light kuaka, nk, juu ya hiizi DPF blaa blaa๐Ÿค”?
So what You need ni uwezo tu wa kusoma Flash data za ECU, kiisha unazipitisha kwenye hiizi software zifanye uchawi, then unarudisha hizo data kwa ECU๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Tumeweka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia! So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unaotaka๐Ÿ‘Œ
Ndiyo, password niย  ๐Ÿปmbili tu!
๐Ÿ“ฒDOWNLOAD ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
๐Ÿ‘†๐Ÿ‘†
Ata kwa simu๐Ÿ“ฒ, then extract๐Ÿ’ป!ย 


Otherwise ๐Ÿ‘‡below is some briefing on about how it works!ย 

Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a battery.ย  So this from TOYOTA engineer is to help you know how to perform the necessary maintenance, service, and repair procedures on hybrid cars!

ufafanuzi wa MANENO fulani ya kitaalam

Hapa tunajaribu kufafananua au kuelezeana maana ya maneno fulani ya kitaaalam๐Ÿ‘Œ, ambao tunatumia katika maisha yetu ya kila siku, bila kujua maana๐Ÿค”!
So, HAPA UJANJA tu๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“


VITABU

Hivi ni vitabu vya kila technical field, bila kufuata mlolongo wowote๐Ÿ‘Œ, kwa sababu tunaweka tu chochote kinachoonekana kuwa cha mhimu kwa mtu yeyote!
Unaweza hata kupakua, as in download,ย  kwa simu au computer๐Ÿคทโ€โ™‚, au…. kwamba wakati wowote unapotaka kusoma utapitia usumbufu wa kurudi hapa๐Ÿ˜’!
Vingi ni bure๐Ÿ’ƒ๐Ÿ•บ, na vingine venye gharama, sii unajua๐Ÿ˜‰? Ni mbili tu๐Ÿป!

HAPA UJANJA tu๐Ÿ‘จโ€๐ŸŽ“

Advanced Automotive Fault Diagnosis: Automotive Technology: Vehicle Maintenance and Repair

ย As you know, diagnostics, or fault finding, is a fundamental part of an automotive technician's work, and as automotive systems become increasingly complex there is a greater need for better ...

Automatic Transmission 722.9 NAG2 (7-Speed) Diagnosis, Repair Advanced Training

This 7 Speed planetary automatic transmission W7A 700 with seven forward and two reverse gears is based on the consistent further development of the previous 5-Speed automatic transmission W5A 580 ...

BENZ ACTROSS ELECTRONIC SYSTEMS

Sasa, this is intended for the technical personnel responsible for service and maintenance of MercedesBenz trucks. The contents in here are split up into: โ€ข function descriptions โ€ข component ...

Bosch Automotive Electrics and Automotive Electronics(PDF)

Of late, the development of the motor vehicle has been marked by the introduction of electronics. At first, electronic systems were used to control the engine (electronic fuel-injection systems), then ...

COMPUTER HARDWARE (beginner’s guide)

This book is intended to provide an in-depth introduction to the hardware and technology of the personal computer and to answer your questions about how it all works. Everyday ...

Computer Repair text book

This this Computer Repair Textbookย  is true book that reveals exactly how to be successful in the Computer Repair Business. This book is for those just starting out in the ...

Computer Repair with Diagnostic Flowcharts

ย Troubleshooting PC Hardware Problems from Boot Failure to Poor Performance! ...

Electric and Hybrid Vehicles (Kitabu)

The first book on electric and hybrid vehicles (EVs) written specifically for automotive students and vehicle owners! As you can see, this book is with clear diagrams, photos and flow ...

Heavy Duty Truck Systems (Kitabu)

Jinsi๐Ÿ‘‡unavyoona, kitabu hiki๐Ÿ‘‡ kina maelezo ya kukuongoza, unaposhughulika na magari makubwa, kama vile, lori, mabasi, matrekta, injini kubwa kama zile zinazotumika katika jenereta, na mengine mengi! HAPA UJANJA tu! ๐Ÿ‘‡ ...

How To Read, Use Electrical Wiring Diagrams

Kwa sababu kuna taarifa nyingi, zinazoonyesha na kuelezea, kila kitu kwenye mchoro wa wiring๐Ÿค”! Ikiwa utajifunza ujanja huu, inaweza kuchukua sekunde sifuri kuelewa mchoro wa waya๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ! HAPA UJANJA tu! Wiring ...

HOW TO RESET CHANGE ENGINE OIL SOON WARNING

Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika! So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza kusaidiya! ...

Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a ...

Introduction to Engine Control System Processes and Diagnostic Tools

The purpose of this section is to help you understand the general diagnostic process that you will follow regardless of the type of customer concern you are troubleshooting... .....and also ...

KEYPROGRAMMING, REMOTES & SERVICE INDICATORS instructions

Gusa twasuzumye (scanned) iki gitabo kugirango kibe PDF๐Ÿ“ฒ, ikora no kuri terefone nto! HAPA UJANJA tu! password๐Ÿ‘‰ย  njagalabili Igitabo kirakwigisha ubuhanga butandukanye kubyerekeye urufunguzo! Videwo๐Ÿ‘‡ yometseho irakwereka ibirimo, ukeka ko ...

Kitabu cha ufundi umeme (Advanced Electrical Installation Work)

Mwenyewe unaona au utaona wingi wa picha za rangi kamili na michoro kuelezea kila kuhumu blaa blaa za umeme! Kuna ufafanuzi ulioangaziwa wa istilahi za kiufundi kote kwa marejeleo ya ...

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐Ÿ‘Œ! ...

KITABU๐Ÿ“šThe Basic Principles of Computers for Everyone

Kitabu hiki kinafichua siri za kompyuta kwa kila mtu kuona๐Ÿคทโ€โ™€๏ธ! Kiliandikwa na mkongwe wa kompyuta wa miaka 40 ambaye anataka kuondoa siri kutoka kwa kompyuta na kuruhusu kila mtu kupata ...

Kupata OBD CODE bila mashine

Especially kwenye hizo gari zenye haziina hii OBD socket mpya ya 16PIN, pamoja na kwamba diagnosis mashine za siku hizi zinakuanga na socket moja juu siku hizi gari zote ni ...

OBD FAULT CODE DESCRIPTION & REPAIR CHARTS

Hiki kitabu kinajaribu kufafanunlia maana ya OBD fault code, wapi tatizo lilipo kwenye gari, pamoja na umbea wa ziada wenye namna tofauti tofauti chakufanya ili kutatua hilo tatizo! So try ...

Teach Yourself Electricity and Electronics

This book offers easy-to-follow lessons in electricity and electronics' fundamentals and applications with minimal math, plenty of illustrations and practical examples, and test-yourself questions that make learning go more quickly.ย  ...

vitabu vya ufundi gari

Hii tumeokota tu sehemu, may be kitakusaidia, insha'Allah! HAPA UJANJA tu! ...

Wiring Harness Repair Instructions (How-TO)

Mwongozo huu umetayarishwa kutumika kufanya matengenezo ya terminal, ukarabati wa waya, au kiunganishi matengenezo ya magari. Kuna sehemu ya hatua kwa hatua juu ya ukarabati wa kiunganishi na ukarabati wa ...

ENGINE SPEED vs VEHICLE SPEED

ENGINE SPEED inamanisha mwendo engine inazunguka (a.k.a RPM) alafu VEHICLE SPEED ni mwendo wa gari zima au tuseme muzunguko wa tayari although sio! Hizi sigina zinakuwa programmed tofauti tofauti as shown in this nonsense video!

#RPM #VEHICLESPEED #5021tips

 

uchawi wa MAGNETIC HALL EFFECTโšก

Nguvu za magineti๐Ÿ‘Œ zikija karibu kwa wire au kifaa chechote kinachopitisha umeme na kwamba kuna umeme unaopita๐Ÿค”kwa hiki kifaa, kuna uchawi funi utakaotokea kusababisha/kuzalisha umeme namna tulivyolekezana kwa hii video๐Ÿ‘‡! Kwasabu kwa maneno sijui niekwelekezeaje na maneno gani๐Ÿ™„ aiiise!

 

#MAGNETICHALLEFFECT #HALLeffect #5021tips

Kuhusu ESP (Electronic Stability Programme)

Electronic Stability Program (ESP) ama Electronic Stability Control (ESC), au tena Dynamic Stability Control (DSC), ni uchawi wa ku improve a computerised vehicle’s stability by detecting and reducing loss of traction (skidding). ESP baada ya ku detect any loss of steering control, kuna namna it applies the brakes kuifanya gari irudi where the driver intends to go bila kupagawa namna tulijaribu kuelezea!

#automotiveESP #VEHICLEDYNAMICS #5021tips

Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)๐Ÿš’

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)๐Ÿš†, sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!

Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu๐Ÿ‘‡kumbushana!

#DPF #ADblue #5021tips


NAMNA YA KUONDOA HII SYSTEM KWENYE GARI, yaaani uchawi wa DPF DELETE!

AIRBAG SYSTEM (diagnostics & Repair)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi, hii sensa itapeleka umbea kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAGย  namna tulijaribu kuoneshana hapa๐Ÿ‘‡pamojaย  na chakufanya iliย  kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ”ง

#airbagsystem #SRS #5021tips


Alafu ata ukiweka diagnosis mashine ili kuzima taa ya AIRBAG lakini baado, ukibonyeza HAPAย  kuna ka uchawi ka kuzima au ku reset Airbag


Kuzima AIR BAG bila mashine, kulingana especially kama gari hapana kupata ajali๐Ÿ‘‡


Maana ya maandishi kwenye mitungi๐Ÿงด ya oil

Watu wengi wamebadilisha mafuta (OIL) ya gari lao wenyewe au wamepeleka gari kwa garage kwa wataalamu! Sasa, kipengele muhimu kuhusu blaa blaa ya mafuta (OIL) ni kuchagua aina ya OIL sahihi pamoja na right quantity๐Ÿค”! I swear, unahitaji kuzingatia nambari zilizo kwenye lebo ya mafuta (OIL) ya gari. Unaweza kuona kitu kama “10W30” au “5W20” na ukashangaa wanamaanisha nini hiki๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜….


#oilspecifications #engineoil #5021tips

SHOW LESS

Uchawi wa PIEZOELECTRIC EFFECT

Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme. TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, kitatemeka (to vibrate/shake or move)! So ni vice versa namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ

Misingi ya CAR KEY PROGRAMMING



Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ



Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!


TRANSPONDER KEYS

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder
Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!

So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi

Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!

ONYO๐Ÿšจ: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!



TRANSPONDER DETAILS

Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ namna tulioneshana kwenye hii video



Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems


SMART KEY SYSTEMS

Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!

KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!

So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti


KEYLESS IGINTION SYSTEM

Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari!
Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!


KEYLESS ENTRY SYSTEM

Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!


Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!

So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video



IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING

Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.ย  IMMOBILIZER DECODING๐Ÿ™„, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!

Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!

ONYO ๐Ÿ“Œ

kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje!ย 

Data za IMMO OFFย 
BONYEZA HAPA



IMMOBILIZER SECRET PIN CODES

Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani!ย 
So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!

BONYEZA HAPAย 



TRANSPONDER & EEPROM details!


Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine๐Ÿ‘Œ!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.

So hii App๐Ÿ“ฒ ya kwenye simu au na kompyuta๐Ÿ’ป, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari๐Ÿค”!


BONYEZA ย HAPA



EEPROM WORK

Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo๐Ÿ™„, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!

BONYEZA HAPA



KEY PROGRAMMING BOOK

Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu๐Ÿ‘Œ!
Ni PDF๐Ÿ“ฒ popote๐Ÿ’ป kinafunguka!

BONYEZA HAPAย 



KEY PROGRAMMING SOFTWARES

Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya๐Ÿ‘Œ!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje๐Ÿ˜ข!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari๐Ÿค”, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi๐Ÿ‘Œ!


BONYEZA HAPA TO DOWNLOAD THIS FULL PACKAGE OF DVD


na TENA na tena, je๐Ÿค”

STARFINDER inafunguka hata kwenye simu popote ulipo๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ

Tumetumia data, muda wetu na gharama zingine๐Ÿ‘Œ! Aiiise, aacha hizo! Tuchangie ko ๐Ÿปbeer mbili ama Soda, ndo upewe password๐Ÿ™๐Ÿผ! Ongea na mhudumu hapo chini, kwa lugha yeyote, ama EMAIL๐Ÿ‘‰ ujanja@5021.tips ๐Ÿ‘ˆhata even whatsApp +250 733 345766 fasta fasta๐Ÿคณ! Ukipewa password ndo uingize hapa๐Ÿ‘‡ chini!

Translate /Tafsir /Traduire