Technicians’ Service & Repairs’ Organizer Database

This simple tool go help You create a system to provide Your Repairs’ and or service game, with a centralised location of all vital  information.

Including such as, repair information, reminders for pending tasks, however tiny parts management, bookings, jobs, quotes, invoices, and accounting will be centralised in one central area – making it easy to manage your zig-zag! 

Hapa Ujanja Tu, you may waste some time watch this video👇👇 may be it could be useful, otherwise DON’T WASTE YOUR TIME, because there so many other tools out there🤷‍♀️!

DOWNLOAD below👇 the VIDEO

DOWNLOAD
👇

👆👆👆👆

Manage your vehicles, Drivers, Mechanics’ information in one place

Think of this ‘ujanja’ as the brain behind your fleet operations, yaaani usimamizi uliopo kwenye magari zako! Kwasababu unaeza ku Centralize all your data, drivers, vehicles, repairs’ department na vingine, nk, ili uweze ku make better decisions for your organization, business, or whatever you could be labeling your game!

Unaeza ku control costs with real-time metrics kama total cost, cost-per-mile au/na asset utilization, and never question fleet profitability again.

Hapa Ujanja Tu👇

 

Check out, how this ujanja works in this video👇

👇CLICK📲 TO DOWNLOAD💻

                                       👆👆👆👆👆👆👆👆👆

Simple, Buiness Application for Invoice, Receipt, Contacts & stock management, etc

Hii ndiyo programu rahisi, yenye suluhiso ya ankara, au invoyisi, na uhasibu ili kupata mauzo na ripoti za biashara yako, pamoja na kufanya usimamizi wa hesabu, inakuwezesha kudhibiti wateja, mauzo ya wafanyakazi, nk – yote katika sehemu moja, namna ambao video hapo chini inaonesha!

Rekodi wateja na wachuuzi wako wote katika sehemu moja. Unda makadirio au koteshioni (quotations), innoyisi (invoice), risiti ya maauzo (recipts) za kitaalamu ukitumia nembo yako!
Kwa kubofya mara chache unaeza kutazama historia kamili ya wanunuzi, ili kujua wateja wako bora ni akina nani. Yaani ingiza details za biidha zako, au invetory!

Kila wakati utajua ni nini kiko dukani mwako kwa sekunde. Fuatilia orodha yako kama wakati mwingine wowote, furahia harakati za kiotomatiki za hesabu unapounda ankara au kurekodi ununuzi.

Tazama hii video uone niaje, kiisha ushuke chini upakue hii program bila tatizo!

Namna KOTESIONI (quotation)
Namna INVOYISI (invoice)

Namna RISITI (receipt)

SASA DOWNLOAD HII PROGRAM ukitaka!!

WORKERS MANAGEMENT UJANJA (kusimamia wafanyakazi)

As demonstrated in the video below, this automated program is some premium time tracking and workforce productivity measurement tool that helps you productively monitor or manage employees.

Quickly add employees!

Classify your employees!

Get an overview of your employees!

Organize and manage your business entities!

Takes complete control of staff time off!

Understand the job roles and responsibilities clearly, making it easy to recruit the right talent.

It has Learning Management System integrated to allow you promote a culture of continuous learning at the workplace.

Easy Employee Performance Monitoring

Measurable  / Improved Decision Making as this program gives you accurate details about employee performance and other company statistics.
This data helps you design effective programs to drive employee engagement and improve overall productivity.
And so much many alot too much, you kindly watch this video, then go below to download! 

SASA, HAPA NDO PAKUWA HII PROGRAM
👇👇👇

👆👆

SHOP MANAGING SOFTWARE

Hii programu ni mfumo au namna, njia ambayo duka/kampuni inasimamia harakati nzuri na uhifadhi wa bidhaa zake, kwanzia bidhaa kuingia mpaka mauzo. Obviously utajua kiasi gani cha bidhaa ulichonacho, na kikifika au kushuka kwa kiwango ulichpanga uongezee, hii program itakumbusha! Ok, kuna blaa blaa nyingi kwenye hii program, nakuomba utazamee hii video👇chini uone kama hii program inaeza kusaidia kwenye shuguli zako👌

👇Sasa hii progrsm ndo hiiii hapa👇

Kupata COMPUTER DETAILS

Ukitaka kujua details za kompyuta, ina windows gani, na hiyo windows iliopo na 10 bit au 32bit au 50bit au 64bit au 1000000bit😂🤣😆😁 au….you know🤷‍♂️? Njia fasta fasta una right click kwa MY COMPUTER alafu unachagua properties namna hii
Ndo ikifungue namna hii ueze kuona details za kompyuta

Au ukiwa mwenye kihere here RUN uweke command ya DXDIAG🤷‍♂️
Au kama bado kama sisi hatuna blaa blaa, BONYEZA HAPA uweke hii kidude kwenye computer, kiisha ukibonyeze! Kikikuletea blaa blaa bonyeza tu OK

Utaona page namna hii kama chini, upige picha umtumie yeyote atake kuuliza details za kompyuta yako!

TEXTto📢VOICE

kwenye hii software unaweka tu maandishi ya lugha yeyote ili usikilizie kuliko kusoma🤷‍♂️


VIRTUAL MACHINE (kuzalisha computer💻💻💻 nyingi ndani ya moja💻)

Uchawi wa VIRTUAL MACHINE ni kuzalisha computer nyigi ndani ya computer moja🖥! Mfano, uko na computer ya MAC wakati unataka kufanya kazi zinazohitaji computer ya Microsoft WINDOWS au may be tuseme computer yako ina WINDOWS 10 wakati lazima uwe na computer yenye WINDOWS 15, so kuliko kununua computer ingine what You do unatumisa huu uchawi wa VIRTUAL MACHINE🤷🏼‍♂️!
See how it works, then download below👇

#virtualmachine #virtualwindows #5021tips

Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?
Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️


Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali

Unaeza kuwa unataka kufanya kitu fulani kwenye computer💻 lakini🙄 hujui niaje. Mwenzako amekwelezea namna ya chakufanya, lakini baado unaona ni ngumu😥!

Sasa kuna uchawi mtu anaweza kuingia kwenye computer💻 yako na akafanya kila kitu akiwa mbali🤷🏼‍♂️(mf., Wewe uko Juba yeye yuko Mogadishu, ama wewe uko Bujumbura umekwama na computer yako, yeye yuko Paris anaiingia kufanya kazi kwa computer yako ilio hapo Bujumbura)

Bonyeza hapa uweze ku download (ukiwa kwenye hiyo computer🖥💻 imekupa changamoto),  Download hii software, www.teamviewer.com kiisha piga picha au umutumie hizi details kama kwenye hii picha! Ili muradi kompyuta yako iko connected kwa intaneti, wewe neenda ukanywe🍺 zako utakuta kila kitu tayari🤷🏼‍♂️

GARAGE DATABASE MANAGER

Hii software itakusaidia kuhifadhi kumbukumbu kuhusu wateja pamoja na kuhusu gari zao. As in, jina la mteja, namba zake za simu, ofisi au nyumbani kwake, nk.
Alafu kuhusu gari🤔? Namba ya gari, jina la gari, picha ya gari, hiyo gari imewahi kutengenezwa hapo mara ngapi? Mfanya kazi👨‍🔧 gani alihusika kwa huo utengenezaji, pesa ngapi iliitishwa au je mwenye gari ali lipa ngapi kwa hiyo kazi🤔.
Je, picha ilipigwa? wakati kazi inafanywa? Aiiise, kila kitu kwamba ukiingiza tu either jina la mwenye gari au namba ya hiyo gari unapata kila umbea unaotaka🤷‍♂️!

Hayo mambo kuhusu invoice, sijui receipt na unaweza kuweka TIN namba yako kwa hiyo receipt👌!
Hizo blaa blaa za quotaion fasta fasta inatengeneza🤷‍♂️!

Hebu tazama hii video uone niaje, kiisha uende china kuweza kuipata ama kui download! Tena hii software haiitaji utaalamu wote ili muradi una computer au tablet kazi kwisha.

ONYO: Inalingana simu, sio simu zote zinaweza!

Ukitaka password muulize hapo mhudumu


Mfano wa invoice inaotoka inakaa namna👇lakini ikiwa na details za ofisi yaaako😂🤣😆

mfano wa receipt inaotoka

ENGLISH DEMOSTRATIONS

 

Translate /Tafsir /Traduire