APP sensor (Accelerator Pedal Position Sensor)

Accelator Position Sensor, au ‘sensa’ ya kanyagio cha kuongeza kasi ya gari, namna jina ilivyo, inapeleka umbea kuhusu kiwango dereva amakanyaga ki kanyagio, kwenda kwenye kompyuta ya gari!

Sasa, kulingana na habari hii, kompyuta itajua niaje kuhusu kiasi cha mafuta cha mafuta uachiliwa kuchomwa, obviously na kiasi gani cha hewa ile throttle iwachilie!
Sensoryenyewe ipo hapo, juu ya kanyagio!


Moduli ya kanyagio inaweza kuundwa kwa uchawi wa, potentiometer au wa Magnetic Hall Effect, kulingana, au namna hii video itakuonesha ndani zaidi!

Namna yeyote, lakini Sensor hii inasajili fasta fasta harakati na msimamo wa kanyagio cha kuongeza kasi.


May be ukitaka ‘kulewa’ zaidi sana kuhusu huo uchawi wa Magnetic Hall Effect, bonyeza tu HAPA au kwenye hii picha chini!

Jinsi umeelewa, au kukumbuka, hii sensor inapeleka umbea kwenye kompyuta ya gari, alafu kompyuta inamuambia Throtle kiasi ya kufunguka, obviously na blaa bla zingine kwenye CAN, kiasi cha mafuta kinachohitajika, kulingana…
Na sababu kwanini zinakuanga sensor mbili ndani ya moja, au?

Sawa, jinsi tumejua kompyuta au ECU inatuma umeme 5V kuzungukia kwenye kila moja ya hizi sensor nani ya APP sensor, na juu ya huo uchawi wa  Hall Effect au Variable Resistance, kulingana kiasi ya mzunguko ata resistance itabadilika!
Sasa, wakati unapima, ukiona waya 6, lazima upate 5V mbili, ground au negative mbili, na siginal ….mbi?

 

TRANSISTORS (class on hold)

Kama tayari ushatoa chupa🍻 zetu bonyeza👉 kuLogin (kuingia)👈 OTHERWISE kutujulisha namna au ngapi au wapi tutatizipata👉 bonyeza hapa hapa👈

AUTO DIAGNOSIS special PROCEDURES & SOFTWARES

Unaeza kuwa una hiyo diagnosis mashine, but kunachangamoto unapata🤔!
May be matumizi ya namna kufanya utundu fulani wa kitaalamu, au  inaeza kuwa mashine ina tatizo imekushinda kurekebisha, au, meeeeeen, could be any problem🤷‍♂️!
So tunaweka hapa kila taka taka tunakutanayo zinasumbua watumizi mbali mbali🙄!

Tunawekanga namna ya kupata software za mashine, au ukitaka ku update au downdate au kuharibu mashine tunakuonesha unafanyaje🤷‍♂️!
Ukitaka password za ku login mtandaoni (cloud diagnosis) zote tunawezasaidiana👌!




GROUND, NEUTRAL, EARTH, connections explained

Hata kama EARTH na GROUND ni kama kitu kimoja, lakini ni tofauti!
Kwa kingereza ya Merikani wanasema GROUND, alafu kwa Kingereza ya Ulaya(Europe) ni EARTH, so sometimes maana inakuwa confused!
So is why we tried to explain the difference in this video


HOW TO RESET CHANGE ENGINE OIL SOON WARNING

Hizi gari za siku hizi zina uchawi wa kumbusha kufanya service ya gari muda ukifika!
So ukimaliza kufanya service lazima au bora uzime hiyo taa, so hizi procedures ziweza kusaidiya!

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [964.43 KB]



ENGINE CONTROL EFI SYSTEM (3SZ-VE, K3-VE)

Hii PDF inakuonesha wapi sensor, actuators, fuses, blaa blaa, zilipo! Unachuguzaje kukiwepo tatizo, mashine ikikupa OBD code unawezaje kuendelea kurebisha, aiiise ata hizo wiring za control boxi, na blaa blaa zingine!
Ni PDF ata unaweza ku download kwenye simu📲 au unaendelea kusomea hapa hapa! Ukitaka ECU pinouts za gari zingine bonyeza HAPA HAPA

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [4.03 MB]



Introduction to Engine Control System Processes and Diagnostic Tools

The purpose of this section is to help you understand the general diagnostic process that you will follow regardless of the type of customer concern you are troubleshooting…

…..and also to know about the features of diagnostic tools that will help you with greater accuracy
and speed…

….not forgeting the lay out the troubleshooting steps and resources you will need to follow when diagnosing customer concerns.

Introduction to Engine Control System

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [8.65 MB]


DPF-off, EGR-off, FAP-off, LAMBDA-off

Uchawi wa hiizi software, sio kufuta tu code, BUT kutoa kabisa kwa system ya gari, hizo blaa blaa za DPF (Diesel Particulate Filter), EGR (Exhaust Gas Recirulation), LAMBDA ambao ni Oxygen sensor au A/F sensors, ya kwamba kamwe gari kusumbuliwa tena!

Ukitaka kujikumbusha kuhusu DPF bonyeza hapa!
Sii unajuja usumbufu uliopo gari ikianza hizo blaa blaa kukosa nguvu, check engine light kuaka, nk, juu ya hiizi DPF blaa blaa🤔?

So what You need ni uwezo tu wa kusoma Flash data za ECU, kiisha unazipitisha kwenye hiizi software zifanye uchawi, then unarudisha hizo data kwa ECU🤷‍♂️!

Ukitaka kumbuka namna kuchagua mashine itaweza kusaidia, may be upumbavu huu👇 unaeza saidia!

…..na ukumbe memomory tofauti tofauti zinaeza kuwa ndani ya memory moja🤔

Ukumbuke kujiamini, coz kazi ni rahisi👇


As long as una hizo data za DRIVER (microcontroller) au na MCU (microprocessor), au na EEPROM husika, hapa tumeweka taka taka tofauti tofauti za hizi software, maana unaeza kuta moja kuna aina ya gari inakosa, na ingine pia!

So, zikiwa software tofauti tofauti pamoja, huwezikosa unataka👌

Ndiyo, password ni  🍻mbili tu!
📲DOWNLOAD 👇👇
👆👆
Ata kwa simu📲, then extract💻! 


Otherwise 👇below is some briefing on about how it works! 


Hybrid cars’ Powertrain Systems explained

Hybrid Vehicle Powertrain Systems combine conventional powertrain components, an internal combustion engine and transmission, with new electric components, electric motor, power electronics and high voltage energy storage, such as a battery.

So this from TOYOTA engineer is to help you know how to perform the necessary maintenance, service, and repair procedures on hybrid cars!


AUDI A3 (Direct petrol injection & ignition system)

This manual is about that direct petrol injection and ignition system (4cyl. 2.0 ltr. 4-valve turbo) and it is, this is designed to help you perform necessary diagnostics, maintenance, service, and repair procedures on any applicable AUDI engines! Infact better download and even print out this manual, necessarily🤷‍♂️

Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [547.79 KB]



AUTO ELECTRONICS(summarized basics’ software)

Haka ka software kako na zile basics za OBD blaa blaa, ufanyaji kazi wa ma sensors, actuators, codes, nk!
Picha/maneno mengi ya kitoto lakini huwezijua may be kanaweza kusaidia🤷‍♂️!
Alafu kanafunguka tu kwa computer sio simu🙄!

DOWNLOAD👇👇

👆👆


CAN BUS SYSTEMS (Test, Diagnose, Troubleshoot & Repair)

Gari za siku hizi ni kama mwili wa mwanadamu🤔!
Sasa, CAN BUS ni kama ni mfumo wa neva, yaani nervous system, unaowezesha mawasiliano wa kila mfumo wa mwili!

Ndiyo, hizo ECU zione kama vipande vya mwili vilioonganiswa na huu mfumo wa CAN BUS!

CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria munaingia wengi lakini kila atashuka sehemu tofauti, kulingana!

So, CAN ni muungano wa ma kompyuta ziliopo kwenye gari kwamba zinawasiliana, kupeana msaada!
Mfano, kompyuta au ECU ya SUSPENSION ikihitaji umbea kuhusu speed, mwendo wa gari, itapata umbea huu kwa CAN juu computer ya ABS yenye speed sensor zinazochunguza mwendo wa gari itaweka signal hii kwenye CAN kuliko kwamba speed sensor zitafungwa kwa kila computer ya gari itahitaji mwendo wa gari🚒!

You may watch👇👇this video for deeper explanation!

TESTING & TROUBLESHOOTING CAN BUS FAULTS


CANBUS MODULE IN THE ECU


 BASIC INTRODUCTION about CAN BUS SYSTEMS

uchawi wa MAGNETIC HALL EFFECT⚡

Nguvu za magineti👌 zikija karibu kwa wire au kifaa chechote kinachopitisha umeme na kwamba kuna umeme unaopita🤔kwa hiki kifaa, kuna uchawi funi utakaotokea kusababisha/kuzalisha umeme namna tulivyolekezana kwa hii video👇! 

#MAGNETICHALLEFFECT #HALLeffect #5021tips


 

Kuhusu ESP (Electronic Stability Programme)

Electronic Stability Program (ESP) ama Electronic Stability Control (ESC), au tena Dynamic Stability Control (DSC), ni uchawi wa ku improve a computerised vehicle’s stability by detecting and reducing loss of traction (skidding).

ESP baada ya ku detect any loss of steering control, kuna namna it applies the brakes kuifanya gari irudi where the driver intends to go bila kupagawa namna tulijaribu kuelezea!

#automotiveESP #VEHICLEDYNAMICS #5021tips


Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)🚒

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)🚆!
Sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!

Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu👇kumbushana!

#DPF #ADblue #5021tips


Bonyeza hapa NAMNA YA KUONDOA HII SYSTEM KWENYE GARI, yaaani uchawi wa DPF DELETE!

AIRBAG (SRS) SYSTEM’s (Diagnostics, Restore or & Repair Tips)

AIRBAG system iko na sensa ya kuchunguza kutikisa, ina maaana gari ikitikisa gafla kupiita kiasi isio ya kawaida, hii sensor ‘sensa’ itapeleka umbea chap kwenda kwa ECU (control boxi)!
Sasa, ECU ikipata ujumbe, kulingana, itapeleka moto (power) kwa defletor na kulipuwa AIRBAG  namna tulijaribu kuoneshana hapa👇pamoja  na chakufanya ili  kutoa/kuziima hiyo taa ya AIRBAG👨‍🔧


Ajali ikitokea, kompyuta itahifadhi kumbukumbu hili, kwamba ata ukiweka diagnosis mashine ili kuzima taa ya AIRBAG haiwezekani!

Sasa ukibonyeza HAPA  kuna ka uchawi ka kuzima au ku reset Airbag kufanya kompyuta isahau chechote, yaaani idanganye kwamba gari ni forever new!


Kuzima AIR BAG bila mashine, kulingana especially kama gari hapana kupata ajali👇


 

 

 


KUSOMA CIRCUIT/wiring DIAGRAMS(michoro)

Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha🤔, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana🤷🏼‍♂️!
Aanza kujua maana ya alama zilizomo,
then componet au kifa gani unafatilia, kinafanyaje kazi na kupata wapi au vipi umeme👩🏼‍🔧

….then uendelee na blaa blaa za wire, nk!

Kwenye hii👇 video tulijaribu kuoneshana kila🤷‍♂️


Kitabu How To use Electrical Wiring Diagrams
Click  HERE


Kitabu, Wiring Harness Repair Instructions
Click Here 


Loader Loading...
EAD Logo Taking too long?

Reload Reload document
| Open Open in new tab

Download kwa simu/laptop [2.38 MB]


#readingwiringdiagrams #electricaldiagrams #5021tips


Maana ya maandishi kwenye mitungi🧴 ya oil

Watu wengi wamebadilisha mafuta (OIL) ya gari lao wenyewe au wamepeleka gari kwa garage kwa wataalamu!

Sasa, kipengele muhimu kuhusu blaa blaa ya mafuta (OIL) ni kuchagua aina ya OIL sahihi pamoja na right quantity🤔!

I swear, unahitaji kuzingatia nambari zilizo kwenye lebo ya mafuta (OIL) ya gari.

Unaweza kuona kitu kama “10W30” au “5W20” na ukashangaa wanamaanisha nini hiki😁😂🤣😃😄😅.


#oilspecifications #engineoil #5021tips


Throttle Body Alignment (TBA) for VAG vehicles, VW, AUDI, SKODA, etc..

Free vehicle support at http://forums.ross-tech.com This video (in Swahili language) shows how to perform the Throttle Body Alignment on VW, Audi, Seat, Skoda and Bentley vehicles.

http://wiki.ross-tech.com/wiki/index….

#ROSStech
#VCDS
#5021tips


Ujanja kubadili OBD cable yoyote iweze kutumia dealer software wa TOYOTA👨‍🔧

Namana tumeelekezana katika hii video, cable yeyote inaeza kufanya hizo kazi kufanya diagnosis ya kitaalamu👩🏼‍🔧 kwenye gari za TOYOTA!

Download hii software ili muradi umeweza kubadili cable kwenye PINOUT ya protocol za TOYOTA/Daihatsu! Ukishindwa piga picha ili tuelekezane namna ya cha kufanya👌!

DOWNLOAD
👇

👆👆


BENZ STARFINDER🕵️‍♀️

Mercedes Benz wanatoa umbea, ujuzi, ujanja wooooote, kuhusu wakati gani, kwa nini, utumise nini, yaaani, jinsi ya kugundua, kutatuta magari yao pamoja na michoro ya waya, picha ya kia kitu!
So, tumekuwekea yote hapa, kwamba ata hii APP unaeza kuitumia kwenye 📲simu yako ya popte ulipo unapozunguka!
Like, wakati unapima BENZ kuna vi code code wanaotumia vya kumanisha kitu gani kwenye gari🤷🏼‍♂️!

Mfano, kumanisha fuel pump wanweza kuweka code FP17/QU so kama hujui FP17/QU inamanisha kitu gani na kiko wapi🙄, unakwamma tu!

HAPA UJANJA tu!
Ata kwa📲simu unatumia👇

Tazama hii video uone namna kwenye simu📲


Ukitaka kwenye simu📲 ama tuseme iwe mobile kwamba popote ulipo 📲!
👇👇👇

BONYEZA HAPA

👆👆👆👆👆👆

Kuiweka kwenye kompyuta💻

💻DOWNLOAD 
👇👇👇👇



Uchawi wa PIEZOELECTRIC EFFECT

Huu uchawi wa PIZOELECTRIC EFFECT ni kwamba, ukigonga au kukandamiza kitu kiliotengenezwa kwa ile kemikali ya crystal blaa blaa😂🤣😁, hicho kitu kinaweza kuzaa umeme.

TENA ukipitisha umeme katika hicho kitu, kitatemeka (to vibrate/shake or move)! So ni vice versa namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video🤷🏼‍♂️


AUTOMOTIVE ELECTRONICS (sensors, actuators, ECU,etc)

Kwa kutaka kuongeza nguvu za magari, bila kutumisa mafuta mengi, pamoja na bila kuharibu mazingira🤔, wataalamu waligundua namna ya kuchunguza mafuta na hewa inaoingia kwenye engine…pamoja na kuchunguza huo moshi unaotoka kwa engine🙄 ili husiharibu mazingira nje ya gari.

So waliweka sensor za kuchunguza na kupeleka umbea kwenye ECU/control box (computer), alafu ndo computer iwaambie actuators kazi ya kufanya, kulingana🤷🏼‍♂️!
Sasa, kwasababu engine ya gari inategemea mafuta na hewa ili kuweza kufanya kazi, ndo maana njia za mafuta na hewa pamoja na hewa chafu (moshi) waliweka hizo sensor na actutors! So we shall look at all the sensors on in each systems as ellaborated in this video


AIRFLOW METER SENSOR

Either hii sensor inapima tu ujoto, AU inapima ujoto pamoja na uzito wa hewa inaoingia ndo hapo inaitwa Mass Airflow meter sensor!

Ikiwa inapima tu ujoto inakuwa na wire 2 tu

Iiwa inapima ujoto na uzito wa hewa, inaweza kuwa na🤔,
> 5 wires (2 yakupima joto, 3 za kupima uzito)
>4 wires (ground au negative wire ya upande wa kupima joto iko pamoja na ya upande wa kupima uzito)
>3 wires hakuna upande wakupima ujoto, inapima tu uzito wa hewa!

Hii video tuloneshana namna sensor inafanya kazi, pamoja na kupimwa ikiwa natatizo👩🏼‍🔧


MANIFOLD ABSOLUTE PRESSURE SENSOR (MAP)

Hewa ikifika kwenye inlet manifold itakutana hewa ingine inaotokea njia zingine kama Turbo, EGR, EVAP system, nk!

Ina maana lazima au bora kuwepo namna ya kupima jumla ya hewa iliopo kwenye manifold kabla kuingia kwenye engine🤔 hapo ECU ama control ijue kiasi cha mafuta itafanya injector zitoe😎!

So, hii MANIFOLD PRESSURE SENSOR ndo inapima jumla ya hewa iliopo kwenye inlet manifold!
Hii sensor mara nyigi ni 3 wires🤔,
moja ni 12V au 5V, ingine ni Negative/ground, Ingine ni ya SignalHii sensor ilitengenezwa kwa uchwa wa PIEZOELECTRIC EFFECT, ukibonyeza hapa tulijaribu kuonesha maana ya huu uchawi

Otherwise nama hii sensor inafanya kazi na kupimwa ili kujua kama ina tatizo, tulijaribu kuineshana katika hii video


ACCELERATOR PEDAL POSITION SENSOR

Sii ujajua hizi gari za kisasa kile ki pedal ni cha umeme⚡ tofauti kwa zile gari za zamani kulikuanga ka metal fulani🙄Sasa hii sensor ina sensor mbili kwa moja, because the other ni ya emegency kama upande moja ukiharibika, namna ya ufanyaji kazi na kupimwa in this video👇

#ACCELERATORPEDALSENSOR  #DRIVEbyWIRE  #5021tips


ELECTRONIC THROTTLE CONTROL

Baada ya kuganyaga kwenye accelerator pedal umbea unapelekwa kwa ECU (control box) ili ijue namna ya kunfungua hiki ki blaa blaa THROTTLE cha kuruhusu hewa ingie kwenye Engine! Hii ELECTRONIC THROTTLE CONTROL iko na kile kiko ka ulimi ya mtu hiivi kufungua na kufunga🤷🏼‍♂️!
Kuna mota (motor) ya kutembeza hiki ki ulimi! 

Na kuna sensor ya kuchunguza hiki ki ulimi kimefunguka kiasi gani🤔!
Namna ya kupima AND ufanji kazi tazama hii video😎

#THROTTLEbody #ENGINEsensors #5021tips


FUEL TANK-COVER SENSOR

Bila kufunga mfuniko wa kwenye tenki la mafuta, inasababisha upepo wa nje kuingia au ata mafuta kupotea kwa nja ya upepo (Evaporation)🙄!

Sasa, ili kuhakisha unafunga mfuniko wa tenki, kuna sensa iliwekwa ili kwamba usipofunga, kuna taa itaonesha kwenye instrument cluster au ata taa ya check-engine yenyewe…au kuna uchawi ECU inafanya kwenye gari ili isitembee vizuri mpaka ufunge huu mfuniko😎!

#fueltankcover #automotivesensors #5021tips


FUEL TANK PRESSURE SENSOR

Jinsi unavyojua🙄, ukiweka kitu chochote kilivyo kama maji (liquid substance) kwenye kama dumu hivi, ukichezesha (shake) hiyo dumu, kuna pressure inatokea!

Sasa, ata maafuta kwenye tenki la gari, kila gari ikitembea obviously inacheza so yale mafuta kuna uchawi unatokea kuyafanya kubadilika kuwa ya upepo na kuongeza pressure kwenye tenki, ndo maana kuna FUEL TANK PRESSURE SENSOR yakuchunguza kiasi cha pressure kwenye tenki😎!

Hii sensor ilitengenezwa kwa uchwa wa PIEZOELECTRIC EFFECT, ukibonyeza hapa tulijaribu kuonesha maana ya huu uchawi, so na maana ina 3wires🤷🏼‍♂️

Wakati gari inatembea, inachezesa tenki na kufanya yale mafuta (kama maji) kubadilika au ku evaporate kuwa upepo🤔!

Sasa, hii EVAP SYSTEM inaosaidia kufanya uchawi ili yale mafuta ya upepo yasichanganyike au yasiende kwenye njia ya mafuta ya maji! Hii EVAP SYSTEM iko na njia mbadala yakupitisha upepo kwenda kwenye manifold au nje ya gari kulingana😨!

Kuna ile meter ya kuchunguza kiasi cha mafuta kwenye tenki (tank), kuna pump, kuna ka sieve ka kusfisha hayo mafuta, na🤔….jinsi tuanelekezana kwa hii video👇!


FUEL PRESSURE REGULATOR


 IDLE AIR CONTROL SYSTEM

Ukitoa mugu kwenye accelerator pedal (ile yakuongeza nguvu ya gari) ata ule mfuniko wa kuruhusu hewa ingie kwa engine unaziba🤐 ina maana engine ikikosa hewa itazimika🤷🏼‍♂️!

Sasa uchawi wa IAC valve ni kufungua ka njia fulani ile hewa ipite kufika kwa engine ata ukitoa muugu👌 au tuseme ukitoka kwa gari inaendelea kuaka!

#IACvalve #ENGINEsensors #5021tips


CRANKSHAFT  & CAMSHAFT POSITION SENSORS

Assuming kwamba unajua crankshaft au camshaft ni nini, sasa ili kuweza kujua muda gani wakati cylinder fulani inafanya kitu gani na inahitaji nini, hizi CAMSHAFT na CRANKSHAFT POSITION SENSOR kuna uchawi unaziwezesha kujua ipi niaje, na kupleka huu umbea kwenye computer ya gari namna tulijaribu kumbushana au kuoneshana🍻

#crankshaftpositionsensor #camshaftpositionsensor #5021tips


ENGINE COOLANT TEMPERATURE SENSOR

Jinsi unavyojua, kifaa chenye uwezo kutembeza umeme kinabadilika kulingana ujoto au ubaridi🤔!

So computer ya gari inatuma umeme kuzunguka kwenye hii ENGINE COOLANT TEMPERATURE SENSOR , kuligana ujoto/ubaridi umeme (volts) zitazorudi kwa computer, either itapungua au kubaki niaje namana tulioneshana👨‍🔧


AUTO TRANSMISSION tech & DIAGNOSIS outlines

Kwenye AUTO TRANSMISSION, uchawi zaidi zaidi ni wa valve ambao valve zinategemea solenoid, zingine ni pressure sensor na temperature sensor!

SO, kama ulihelewa vizuri kuhusu blaa blaa za hizi sensor kwenye system zingine, then ili muradi picha inakuonesha hii sensor iko wapi, then troubleshooting AUTOMATIC TRANSMISSION troubles ni kama kunywa maji🍻!

#VALVEBODY #AUTOMATICTRANSMISSION #5021tips


TROUBLESHOOTING CONTROL SYSTEMS

Uchawi kuweza blaa blaa ya ma sensor, control boxi, sijui actuators ni kujua mfano ni sensor gani, iko wapi, inafanya kazi gani, inafanyaje hiyo kazi as in iliundwaje (how it is made), nk!

So ukipata umbea huu wote ndo utajua inahitaji kupeleka au kutoa umeme gani kutoka wapi au blaa blaa as we explained in here👨🏼‍🎓 !

#electricalcontrolsystems #automotivesensors #5021tips

Misingi ya CAR KEY PROGRAMMING



Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys🤷‍♂️



Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!


TRANSPONDER KEYS

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder
Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!

So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi

Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!

ONYO🚨: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case🤷‍♂️!



TRANSPONDER DETAILS

Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya🤷🏼‍♂️ namna tulioneshana kwenye hii video



Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems


SMART KEY SYSTEMS

Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!

KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!

So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti


KEYLESS IGINTION SYSTEM

Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari!
Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!


KEYLESS ENTRY SYSTEM

Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!


Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu🤷‍♂️!

So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video



IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING

Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.  IMMOBILIZER DECODING🙄, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!

Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!

ONYO 📌

kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje! 

Data za IMMO OFF 
BONYEZA HAPA



IMMOBILIZER SECRET PIN CODES

Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani! 
So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!

BONYEZA HAPA 



TRANSPONDER & EEPROM details!


Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.

So hii App📲 ya kwenye simu au na kompyuta💻, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔!


BONYEZA  HAPA



EEPROM WORK

Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo🙄, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani🤷🏼‍♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!

BONYEZA HAPA



KEY PROGRAMMING BOOK

Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌!
Ni PDF📲 popote💻 kinafunguka!

BONYEZA HAPA 



KEY PROGRAMMING SOFTWARES

Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya👌!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje😢!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari🤔, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA🤷‍♂️!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi👌!


BONYEZA HAPA TO DOWNLOAD THIS FULL PACKAGE OF DVD


na TENA na tena, je🤔

 

Translate /Tafsir /Traduire