Simple, Buiness Application for Invoice, Receipt, Contacts & stock management, etc

Hii ndiyo programu rahisi, yenye suluhiso ya ankara, au invoyisi, na uhasibu ili kupata mauzo na ripoti za biashara yako, pamoja na kufanya usimamizi wa hesabu, inakuwezesha kudhibiti wateja, mauzo ya wafanyakazi, nk – yote katika sehemu moja, namna ambao video hapo chini inaonesha!

Rekodi wateja na wachuuzi wako wote katika sehemu moja. Unda makadirio au koteshioni (quotations), innoyisi (invoice), risiti ya maauzo (recipts) za kitaalamu ukitumia nembo yako!
Kwa kubofya mara chache unaeza kutazama historia kamili ya wanunuzi, ili kujua wateja wako bora ni akina nani. Yaani ingiza details za biidha zako, au invetory!

Kila wakati utajua ni nini kiko dukani mwako kwa sekunde. Fuatilia orodha yako kama wakati mwingine wowote, furahia harakati za kiotomatiki za hesabu unapounda ankara au kurekodi ununuzi.

Tazama hii video uone niaje, kiisha ushuke chini upakue hii program bila tatizo!

Namna KOTESIONI (quotation)
Namna INVOYISI (invoice)

Namna RISITI (receipt)

SASA DOWNLOAD HII PROGRAM ukitaka!!

WORKERS MANAGEMENT UJANJA (kusimamia wafanyakazi)

As demonstrated in the video below, this automated program is some premium time tracking and workforce productivity measurement tool that helps you productively monitor or manage employees.

Quickly add employees!

Classify your employees!

Get an overview of your employees!

Organize and manage your business entities!

Takes complete control of staff time off!

Understand the job roles and responsibilities clearly, making it easy to recruit the right talent.

It has Learning Management System integrated to allow you promote a culture of continuous learning at the workplace.

Easy Employee Performance Monitoring

Measurable  / Improved Decision Making as this program gives you accurate details about employee performance and other company statistics.
This data helps you design effective programs to drive employee engagement and improve overall productivity.
And so much many alot too much, you kindly watch this video, then go below to download! 

SASA, HAPA NDO PAKUWA HII PROGRAM
👇👇👇

👆👆

Repairing MERCEDES BENZ Start Error (Vito,ML,Sprinter)

Our teams have dealt with a non-start situation with on many Mercedes commercial vehicles.
The main cause of the START ERROR being displayed on the dash is due to corruption of data in 2 of the vehicles main units,
one is the Temic immobiliser box also known as the WSP and the Main Engine control unit.

We recommend trying a few things before going deeep!

Test vehicle’s battery to be in a good state
Try a different key
Try the original key on its own with no other keys surrounding the ignition
If you have done this and you still have the START ERROR message there could be a number of issues,
we recommend having a deep diagnosis to pinpoint where the fault lies.

Common Faults leading to START ERROR on with certain Mercedes Benz:

Jump starting
Battery power not sufficient
The transponder in your key is faulty or missing
Antena coil on ignition faulty
ECU fault
Fuel pump fault
We also recommend testing for power on your WSP plug.
Pin 3 is continuous +12V direct from the battery, Red/Yellow Wire
Pin 7 is ignition +12V when your key is in position 1 and 2, Black /Yellow Wire
If there is no power on either you will get START ERROR on the dash.

If all seems correct, but still sh*t, download thee and so as below in this video

THEN YOU CLICK TO DOWNLOAD PROGRAM

KEY PROGRAMMING TOOLS

This includes downloads of useful softwares and gateways to where which when why what hardware could be useful do key programming!
If you want go get some basics on key programming, bonyeza HAPA!

Sorry, we decided pack the whole everything in this package!

You may click HERE to download


IMMO EEPROM/Transponder details app

Tumetumia data, muda wetu na gharama zingine👌! Aiiise, aacha hizo! Tuchangie ko 🍻beer mbili ama Soda, ndo upewe password🙏🏼! Ongea na mhudumu hapo chini, kwa lugha yeyote, ama EMAIL👉 ujanja@5021.tips 👈hata even whatsApp +250 733 345766 fasta fasta🤳! Ukipewa password ndo uingize hapa👇 chini!

How to decode details/meaning of a VIN (Vehicle Identification Number)

A vehicle identification number (VIN) is a unique code assigned to every motor vehicle when it’s manufactured.  You can decode a VIN to find out more about a car or truck or ….

On most passenger cars, you may find the VIN number on the front of the dashboard on the driver’s side. The best way to see it is to look through the windshield from outside the car. You may also find the VIN number on the driver’s side door pillar. Open the door and look around the area where the door latches to the car. A motorcycle’s VIN is usually on the steering neck below the handlebars, although sometimes it’s on the motor or on the frame near the motor. A semitrailer’s VIN is located on the front part of the semitrailer on the left side.

If you can’t find the VIN number on the vehicle, you should also be able to locate it on it’s documents.

Wondering what all the characters in your vehicle’s VIN stand for?

How to decode a Vehicle Identification (VIN) number
As this video tried show, there many platforms that you just enter the vehicle’s 17-character Vehicle Identification Number (VIN) to get details about a vehicle,  This number contains vital information about the vehicle, such as its manufacturer, year of production, the plant it was produced in, type of engine, model and more…

simple SHOP MANAGEMENT SOFTWARE

This simple, very productive and easy-to-use computer denuit keeps a database of your customers, suppliers, stock, and makes quotations, invoices & receipts!
As shown in this video, at the end of the day, week, month, year or whenever time, you can get a genral report of every in your business!

If this denuit can be ofany use to for you, go below the video and download!

👇DOWNLOAD HERE👇Electronic Parts Catalog (EPC)Toyota

Unaeza kuwa mwenye gari la toyota, au fundi au may be muuza speya🤔, sasa umbea ni kwamba kwenye kiwanda cha Toyota sio kila gari linalotengenezwa lazima watumie vifaa mpya! Meeeen, kitu namanisha ni kwamba wanachanganya parts, as in, unaezakuta parts ziliopo kwenye Landcruiser ndo zile zile ziliotumika kwenye Corolla! Wewe ukitafuta speya, mfano la landcruiser, unaenda tu www.toyodiy.com chagua parts reference, select your car, then unaingiza chasis number uchunguze gari gani linalofanana speya hii ya Landcruiser, unaezakuta GX100, au Corona au iPsum au gari lolote la kiwango cha chini, ina maana ukienda kwenye duka ulizia speya la may be corona, na sio Landcruiser ili muuza speya asikugonge bei kubwa kulingana aina la gari🙄!  Kwa maelekezo ya ziada, au kuona niaje, tazama hii video👇

How to UNLOCK FORD RADIO’s

Simple, reba gusa kuri serial number, hanyuma ukoreshe iyi software kugirango ubare kode yo gufungura radio uko iyi video ikwereka!

Nyuma yo kumanuka munsi yiyi👇video kugirango ufate iyi software!

Infact, ikiwa unataka kupata hii unlock code kwa urahisi bila usubufu wa sijui mpaka uende kwa kompyuta au niaje, yaani ata kwenye simu popote ulipo wakati wowote, bonyeza HAPA! Otherwise nenda chini ya hii video uweze kupakua hii program!


Splitting a big file into smaller parts

Inawezekana unataka kutuma faili kubwa lakini, juu ya chechote kile🤷‍♂️, unashindwa, kwa sababu faili hiyo ina saizi kubwa🤔! Kwa hivyo kutumia uchawi huu unaweza kutuma au ku anything, kushughulika na faili kubwa! Hapa ujanja tu👨‍🎓!

Liwe faili lelote linawezekana, muziki, program, video, vitabu, yaaaani chechote!

Ukitaka hii software unadownload softwae ya 4 kwenye hii list hapa AU unaenda tu hapa
maelekezo ya kila yapo kwenye hii video

KEYPROGRAMMING, REMOTES & SERVICE INDICATORS instructions

Gusa twasuzumye (scanned) iki gitabo kugirango kibe PDF📲, ikora no kuri terefone nto!

HAPA UJANJA tu!
password👉  njagalabili

Igitabo kirakwigisha ubuhanga butandukanye kubyerekeye urufunguzo!

Videwo👇 yometseho irakwereka ibirimo, ukeka ko izagufasha!
Jya munsi👇ya videwo kugirango ukuremo!
password👉  njagalabili

password👉  njagalabili

👇DOWNLOAD👇

👆👆
password👉  njagalabili

Kupata COMPUTER DETAILS

Ukitaka kujua details za kompyuta, ina windows gani, na hiyo windows iliopo na 10 bit au 32bit au 50bit au 64bit au 1000000bit😂🤣😆😁 au….you know🤷‍♂️? Njia fasta fasta una right click kwa MY COMPUTER alafu unachagua properties namna hii
Ndo ikifungue namna hii ueze kuona details za kompyuta

Au ukiwa mwenye kihere here RUN uweke command ya DXDIAG🤷‍♂️
Au kama bado kama sisi hatuna blaa blaa, BONYEZA HAPA uweke hii kidude kwenye computer, kiisha ukibonyeze! Kikikuletea blaa blaa bonyeza tu OK

Utaona page namna hii kama chini, upige picha umtumie yeyote atake kuuliza details za kompyuta yako!

TEXTto📢VOICE

kwenye hii software unaweka tu maandishi ya lugha yeyote ili usikilizie kuliko kusoma🤷‍♂️


kuziima AIRBAG WARNING LIGHT

Gari ikipata ajali au ikitetemeka/kutikisa ghafla like kama as if imepata ajali hivi, as in like if U hit a pot hole, alafu taa ya AIRBAG ama SRS inabaki inawaka bila kuzima, kumanisha lazima ubadili vifaa fulani!
Hata ukiweka Diagnosis mashine, waaapi!
Sasa ndo huu uchawi tunakupa saa hii!


Bonyeza HAPA tuliokumbushana kuhusu namna AIR BAG wiring systems,  ma sensor husika, nk!
Pamoja na jinsi kuizima ikiwaka tu bila ajali wala kugonga kitu!


So huu uchawi unakuwezesha  kuzima hiyo taa ya AIRBAG bila kubadilisha vifaa (spare parts) ….namna tulijaribu kuoneshana kwenye hii video hapa chini👇!

Kiisha shuka chini ya video uweze ku download🍻!

👇DOWNLOAD 👇

👆👆

WEBSITEs & APPs mhimu

Hatufuati ratiba, ama hatufati mupangilio wowote, tunaweka tu chochote tunachogundua kuwa muhimu ….and may be free to access🤷‍♂️!

HAPA UJANJA tu👨‍🎓


GOOGLE TRANSLATE ni moja kwa hizo APPLICATION zinazosaidia kutafsiri lugha, infact unaeza ata kupiga tu picha ya hayo maneno unaotaka kutafsiri🤷‍♂️

Kuweka APP kwenye simu BONYEZA HAPA

Tovuti ni translate.google.com

 

 


PDF READER Kuweza kusoma file ama vitabu vya PDF

Kwenye simu BONYEZA HAPA 

Kompyuta💻 kubwa HAPA,

ama tafuta/google PDF reader.🤷‍♂️

 

 


VLC PLAYER ina uchawi kuweza kucheza audio au na video ikiwa katika format yeyote👌! So kama unajaribu kucheza video alafu inakata kufunguka, karibu

Kwenya simu BONYEZA HAPA

Computer💻HAPA kisha bonyeza download


Kufungua ZIPPED FILES
Unaeza kutana zipped file kwenye computer au simu, alafu zinagoma kufunguka, yaani kila unaoibonyeza inakuletea maneno fulani sijui “file can’t open” sijui nini nani, you know hizo file ambao zimeka kama niaje👇

alafu baada ya kuweka hii unzipper ndo zinakaa namna🤔Good, karibu👍!  Haki sijui kama umeelewa hizo zipped files, but insha’Allah, 😀😁😂

Kwenye simu🤳 BONYEZA HAPA 
Computer💻 HAPA kisha bonyeza download, ikikataa rudi uchague either 64bit ama 32bit, infact ukibonyeza yenyewe itajua computer ni ya system ipi🤷‍♂️, wewe download tu👌!

WINRAR ikigoma kufungua,
njoo👉 HAPA 👈uweke winZIP!


Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?Bonyeza HAPA na ufate maelekezo yaliyopo kwenye video kuhusu namna ya ku install hiyi software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️
www.5021.tips/ujanja/iso


Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali! 
BONYEZA HAPA


RADIO UNLOCK CODES

Hapa tumeweka taka taka yoooote, as in tumeweka kila software ya kufungua almost kila aina ya radios!
Uchawi ni, either kuingiza tu SERIAL NUMBER, kiisha unapata unlock code🤷‍♂️!
Ama, kutoa ili usome na kubadili data iliomo kwenye IC/EEPROM fulani kwa motherboard ya hiyo radio namna tulioelekezana kwa video au kwa PDF ilioko kwa hizo software!

Hizi video ni mfano ya namna huo uchawi unavyotumika kufanya kazi😎 then after download below the video!
Namna kuingia ile aina intanet ya ficho (Deep/Dark Web)

Achana hii intanet ya kawaida kila mtu amezoea, kuna ile aina ya intanet (DEEP) ambao kama siri za serikali, benki, nk zinapitia🚒, pia kuna aina ya intanet (DARK) kwenye wanauza kama bunduki, vitambulisho fake, gari za wizi, nk! Ku browse hii aina ya intanet unahitaji ujanja fulani maana browser za kawaida kama mozila, chrome, nk haziwezi ku…..Na pia hauna aja ya kutembelea aina ya hiyo intanet maaana…..😎….chechote kinawezekana! May be kama unatazama tu🤷‍♂️ lakini usijaribu hata ku….💻
Lakin kama unajiamini then go head, kwenye hii video ndo namna fulani ya kuingia katika hiyo intaneti👇

 

#DARKweb #DEEPweb #5021tips

KEY/ECU CODES (Ford, Mazda, Landrover, Jaguar, etc)

If you know what’s done, save time BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code🤷‍♂️, sii unajua niaje🙄😎!

otherwise soma haya maelekezo👇

👇

Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding🙄, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo👌! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk🤷🏼‍♂️!
Mashine yenyewe itakutolea zile details za OUTCODE namna hii👇like ukiwa unafanya Ford, kwamfano tu😎!Sasa, baada ya kupata hizi details lazima umutumie sijui wakala wa hizo gari au sijui mtaalamu fulani👩🏼‍🔧akupe code fulani ndo uweze ku programm hiyo funguo ama ECU! Sasa ujanja tunapatiana hapa ni namna ya kupata what we call INCODE kwa kuingiza hiyo OUTCODE hapo kwenye picha ya juu👆 (ndani ya boxi rangi nyekundu), kwasababu ukiendelea utakuta sehemu inakuitisha INCODE kama kwenye hii picha ya chini👇Kupata hiyo INCODE, utabonyeza👉 hapa hapa 👈na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!

Ikifunguka itakuwa namna hiiKupata hiyo INCODE, utabonyeza👉 hapa hapa 👈na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!

Hebu fanya mazoezi kwa hiizi OUTCODE hapa chini uone niaje🤔!

Ford fiesta 1.4 TDCI
Outcode:0000 EF440F 0000
Error Control:43168
OUTCODE = 4CBB
———————————-
Mazda 3
Outcode: 0040 – 058215 – 000000
INCODE = 9175
———————————
OUT CODE: 0044-151E3F D60E19
ERRORCONTROL: 4X420
Hapa lazima ufanye mara mbili
outcode single: 151E3F = 154F
outcome dual: D60E19 = E768
your incode is: 154FE768
———————————–
Jaguar XType 2003
key programming outcode 05975543
income is 9FAD

Kupata hiyo INCODE, utabonyeza👉 hapa hapa 👈na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!

Namna ya kufungua ISO files

Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?
Fata haya maelekezo kwenye hii video kuhusu namna ya ku install hii software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼‍♂️


KUBADILI ODOMETER(Nissan)

Kama umepata ule ujanja wa kuchezea EEPROM am IC/chip🙄, kama bado bonyeza HAPA ujue niaje, but assuming kama tayari unajua hizo blaa blaa za EEPROM unafungua tu clustter ya Nissan alafu unatafuta EEPROM inaohifadhi data za mileage ambao mara nyigi ni 93C56 au 93C66 au ukikosa muulize mhudumu aina ya gari ili akumbushe.

Anyway ukiweka milleage, yaani digits unazotaka KM ioneshe unaziweka tu kwa hii software alafu inakwambia chakufanya na pakufanya…as in HEX digits za kuingiza!

Beer zetu mbili🍻 uweze ku download🤷🏼‍♂️

Kitabu kufundisha KEY PROGRAMMING

Jinsi hii video inakuonesha, hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk! Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌!

HAPA KUNA MASOMO kuhusu immobiliser systems, bonyeza tu👨🏼‍🎓!
Bonyeza👆au kwenye picha👇


ONYO🚨>>

Technologia inabadilika kila sekunde, so ukiona mashine fulani ndo ilitumika, usikulupuke kununua hiyo mashine unaezakuta kuna mashine ingine mpya/bora!
Hiki kitabu kikusadie tu kutoa mwanga kwa macho yako, nenda ufanye research nyingi zingine bora🙏🏼!


DOWNLOAD HAPA 👇

👆👆👆👆👆👆

password aandika neno KitabuFungu0

Misingi ya CAR KEY PROGRAMMINGKwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys🤷‍♂️Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!


TRANSPONDER KEYS

Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder
Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!

So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi

Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!

ONYO🚨: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case🤷‍♂️!TRANSPONDER DETAILS

Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya🤷🏼‍♂️ namna tulioneshana kwenye hii videoSasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems


SMART KEY SYSTEMS

Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!

KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!

So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti


KEYLESS IGINTION SYSTEM

Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari!
Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!


KEYLESS ENTRY SYSTEM

Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!


Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu🤷‍♂️!

So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this videoIMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING

Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani.  IMMOBILIZER DECODING🙄, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!

Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!

ONYO 📌

kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje! 

Data za IMMO OFF 
BONYEZA HAPAIMMOBILIZER SECRET PIN CODES

Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani! 
So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!

BONYEZA HAPA TRANSPONDER & EEPROM details!


Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.

So hii App📲 ya kwenye simu au na kompyuta💻, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔!


BONYEZA  HAPAEEPROM WORK

Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo🙄, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani🤷🏼‍♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!

BONYEZA HAPAKEY PROGRAMMING BOOK

Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌!
Ni PDF📲 popote💻 kinafunguka!

BONYEZA HAPA KEY PROGRAMMING SOFTWARES

Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya👌!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje😢!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari🤔, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA🤷‍♂️!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi👌!


BONYEZA HAPA TO DOWNLOAD THIS FULL PACKAGE OF DVD


na TENA na tena, je🤔

How When Where to get NISSAN KEY PROGRAMMING CODES (DiY)

NATS, kwa urefu ni, Nissan Anti-Theft System,
ni kuhusu ule uchawi uliko kwenye gari za NISSAN kwamba usipotumia funguo🔑 sahihi, gari haiwezi kuwaka👌!
Sawa, funguo inaeza kuwa sahihi lakini ukibadilisha tuseme computer ya engine (ECU) au computer ya body (BCM) au anything could have happened kwamba lazima ukutaanishe (initialize ama adapt) vifaa vyote kwenye hii NATS🤔!

Sasa baada ya, au ukimaliza kukumbuka au kujua namna na nini chakufanya kwa hizi blaa blaa za NATS, tumekuwekea software hapo chini ya kufanya uchawi wa NATS aina zoooote!
LAKINI, kama unajiamini, nenda chini ya hii page uweze ku download moja kwa moja!

Sasa wakati unafanya initialization ukiwa na mashine yeyote ya diagnosis👨‍🔧, kutafika wakati unahitaji neno siri (password) fulani ili uweze kukamilisha.
Uchawi zaidi ni kwamba hizi unapaswa kuzipata sehemu maalum kutoka kwa watu fulani🙄!

Sasa hapa tunapeana ujanja wa namna kupata hizo passwords (NATS code)!
Sasa, hii software itakusaidia kupata hizo password za NISSAN namna hii video inaonesha!

DOWNLOAD 👇 APPLICATION ata kwa simu📲

👆👆👆👆👆👆👆👆

Endealea kupata umbea zaidi kuhusu NATS pamoja na ninchakufanya

STARFINDER inafunguka hata kwenye simu popote ulipo🤷🏼‍♂️

Tumetumia data, muda wetu na gharama zingine👌! Aiiise, aacha hizo! Tuchangie ko 🍻beer mbili ama Soda, ndo upewe password🙏🏼! Ongea na mhudumu hapo chini, kwa lugha yeyote, ama EMAIL👉 ujanja@5021.tips 👈hata even whatsApp +250 733 345766 fasta fasta🤳! Ukipewa password ndo uingize hapa👇 chini!