ECU REPAIR TIPS (HardWare & SoftWare)

Sekta ya Magari inabadilika, utekelezaji wa mifumo ya kielektroniki inapunguza uwezo wako fundi amabo hutaki kujiongeza ufahamu! Siku hizi ata fundi mekanik unapaswa, au bora, kujifunza umeme wa magari, maana gari zote zimekuwa umeme tu!


WARNING WARNING

Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo🤣😂😁
Bonyeza👉 HAPA 👈moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECU components’ description and purpose!


MALENGO YA HUU UJANJA

ONYO: Hapa tunaenda pole pole, kwanzia chini kabisa, hakuna hiyo blaa blaa ya kwamba hukwenda shule so hutaelewa, hapana! Hizo sijui huna umri kadha so haitawezekana, hapan! Infact, wewe ukijiona wa juu, tafadhali usijiunge kwa na ujanja hu!

Anyway, kusudi kuu la huu unjanja ni kukumbushana au kufundishana uteuzi mpana wa mbinu zinazotumika kwa moduli au ECU tofauti za kielektroniki za gari, ambapo wanafunzi huendelea kwa uhuru, ujuzi, wajanja zaidi kutoa suluhisho zilizosasishwa kwa kazi zote zinazohitajika katika magari ya leo.


MAHITAJI

> Maarifa ya kimsingi au uzoefu wa ukarabati (ufundi) wa magari ni wa manufaa
> Akili iliyofunguliwa tayari kujifunza mambo ya kutatanisha
>Vinywaji vya SuzanBONYEZA  HAPA  KUIJIUNGA  MASOMOBONYEZA  HAPA  KUIJIUNGA  MASOMORATIBA au DETAILS  YA HUU UJANJA

Kwanza, ni kukumbuka ile blaa blaa ya chekechea, msinji wa ECU ni nini, ni ya kazi gani, infanyaje kazi, nk!


Then tutapanda Primary, hizo masensa (sensors), actuators, CAN, nk! Kwasababu, na kwa mfano, husipojua sensor inafanyaje kazi, inapokea au kupeleka nini kwa ECU, then… Kujua tu ina waya ngapi haitoshi, haina ata maana!
Like tukisema hiyo Diode kwenye ECU inapokea umeme wa CMP sensor yenye waya mbili, kwako inaeza kuletea maana chap chap kwasababu unajua CMP sensor ya waya mbili inazaa umeme wa AC wakati ECU inakuwa ya umeme DC, nk, tofauti na ile ya waya tatu!
I swear, ukielewa mfumo wa sensor, actuator, nk inakuwa rahisi!


WARNING WARNING

Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo🤣😂😁
Bonyeza👉 HAPA 👈moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECU components’ description and purpose!


 

 

 

 

 

 

Sekondari sasa, kuelewa hutwo tudoido doido au Electronic Componets ziliopo kwenye ECU au kwenye motherboard yeyote ya kifaa cha umeme, yaaani Capacitor, Diode, EEPROM, Resistor, Processor, Transistor, nk! Jinsi zinafanya kazi but especially namna ya kupimwa na madhara mengine!


Tutaanza chuo, kuelewa architecture ya ECU, yaani usanifu ya namna ECU inaundwa, kama ramani hiivi (default MAP) amabao inafatwa na kila anaeunda ECU! Ni maarifa ya vipengele vikuu vinavyounda ECU. Mfano kuna upande unashugulika na utoaji, output au actuators, mfano kama injector. Kuna upande wa upokeaji ama input wa ma sensors, mfano AirFlow meter. Then kuna upande wa kati kati, processing au tuseme mfumo wa usindikaji wa MCU au prosesa!Ujuzi wa vipengele vinavyofanya kazi. Utambulisho wa kila mmoja wao na kazi gani wanafanya ndani ya ECU, kila componet husika, ili kwamba ata ukikutana issue au dalili ya ECU mbovu, chap chap, HAPA UJANJA ju!


BONYEZA  HAPA  KUIJIUNGA  MASOMOBONYEZA  HAPA  KUIJIUNGA  MASOMOUkitaka kuendelea na pHD,

Kuendelea na uchambuzi wa familia tofauti za ECU, aina au kampuni tofauti za ECU!
Uchambuzi wa nomenclature ya kama BOSCH, DELPHI, SIEMENS, nk, ndaani ndaani katika vitengo vya Dizeli na Petroli!
Uchambuzi wa lahaja tofauti za vitengo, kutegemea mifumo ya sindano!

Then zile loooongo longo za ECU simulator, ChipTuning, lalal laa la..


BONYEZA  HAPA  KUIJIUNGA  MASOMOBONYEZA  HAPA  KUIJIUNGA  MASOMO


WARNING WARNING

Kama hutaki kujisumbua na hizi loongo looongo, heti masomo🤣😂😁
Bonyeza👉 HAPA 👈moja kwa moja upate kupata uchawi unaoonyesha michoro za ECU circuits na maelezo kuhusu nini na kazi ya vifaa fulani viliopo, yaani ECU components’ description and purpose!