A vehicle identification number (VIN) is a unique code assigned to every motor vehicle when it’s manufactured. You can decode a VIN to find out more about a car or truck or ….
On most passenger cars, you may find the VIN number on the front of the dashboard on the driver’s side. The best way to see it is to look through the windshield from outside the car. You may also find the VIN number on the driver’s side door pillar. Open the door and look around the area where the door latches to the car. A motorcycle’s VIN is usually on the steering neck below the handlebars, although sometimes it’s on the motor or on the frame near the motor. A semitrailer’s VIN is located on the front part of the semitrailer on the left side.
If you can’t find the VIN number on the vehicle, you should also be able to locate it on it’s documents.
Wondering what all the characters in your vehicle’s VIN stand for?
As this video tried show, there many platforms that you just enter the vehicle’s 17-character Vehicle Identification Number (VIN) to get details about a vehicle, This number contains vital information about the vehicle, such as its manufacturer, year of production, the plant it was produced in, type of engine, model and more…
This simple, very productive and easy-to-use computer denuit keeps a database of your customers, suppliers, stock, and makes quotations, invoices & receipts!
As shown in this video, at the end of the day, week, month, year or whenever time, you can get a genral report of every in your business!
If this denuit can be ofany use to for you, go below the video and download!
Unaeza kuwa mwenye gari la toyota, au fundi au may be muuza speya🤔, sasa umbea ni kwamba kwenye kiwanda cha Toyota sio kila gari linalotengenezwa lazima watumie vifaa mpya! Meeeen, kitu namanisha ni kwamba wanachanganya parts, as in, unaezakuta parts ziliopo kwenye Landcruiser ndo zile zile ziliotumika kwenye Corolla! Wewe ukitafuta speya, mfano la landcruiser, unaenda tu www.toyodiy.com chagua parts reference, select your car, then unaingiza chasis number uchunguze gari gani linalofanana speya hii ya Landcruiser, unaezakuta GX100, au Corona au iPsum au gari lolote la kiwango cha chini, ina maana ukienda kwenye duka ulizia speya la may be corona, na sio Landcruiser ili muuza speya asikugonge bei kubwa kulingana aina la gari🙄! Kwa maelekezo ya ziada, au kuona niaje, tazama hii video👇
Inawezekana unataka kutuma faili kubwa lakini, juu ya chechote kile🤷♂️, unashindwa, kwa sababu faili hiyo ina saizi kubwa🤔! Kwa hivyo kutumia uchawi huu unaweza kutuma au ku anything, kushughulika na faili kubwa! Hapa ujanja tu👨🎓!
Liwe faili lelote linawezekana, muziki, program, video, vitabu, yaaaani chechote!
Ukitaka hii software unadownload softwae ya 4 kwenye hii list hapa AU unaenda tu hapa
maelekezo ya kila yapo kwenye hii video
Kufungua ZIPPED FILES Unaeza kutana zipped file kwenye computer au simu, alafu zinagoma kufunguka, yaani kila unaoibonyeza inakuletea maneno fulani sijui “file can’t open” sijui nini nani, you know hizo file ambao zimeka kama niaje👇
alafu baada ya kuweka hii unzipper ndo zinakaa namna🤔Good, karibu👍! Haki sijui kama umeelewa hizo zipped files, but insha’Allah, 😀😁😂
Kwenye simu🤳 BONYEZA HAPA
Computer💻 HAPA kisha bonyeza download, ikikataa rudi uchague either 64bit ama 32bit, infact ukibonyeza yenyewe itajua computer ni ya system ipi🤷♂️, wewe download tu👌!
Mara nyingi unakutana file za iso🙄, zile file zimeka kama CD/DVD hiivi🤔, ukijaribu kuifungua inakwambia “this ISO file can’t be blaa blaa”😆🤣😂 Sii unajua hizo file kama kwenye hizi picha👇?Bonyeza HAPA na ufate maelekezo yaliyopo kwenye video kuhusu namna ya ku install hiyi software ili uweze kufungua au kuchoma hata kwenye CD ukitaka🤷🏼♂️ www.5021.tips/ujanja/iso
Namna kupokea msaada kwa computer yako mtu akiwa mbali! BONYEZA HAPA
Achana hii intanet ya kawaida kila mtu amezoea, kuna ile aina ya intanet (DEEP) ambao kama siri za serikali, benki, nk zinapitia🚒, pia kuna aina ya intanet (DARK) kwenye wanauza kama bunduki, vitambulisho fake, gari za wizi, nk! Ku browse hii aina ya intanet unahitaji ujanja fulani maana browser za kawaida kama mozila, chrome, nk haziwezi ku…..Na pia hauna aja ya kutembelea aina ya hiyo intanet maaana…..😎….chechote kinawezekana! May be kama unatazama tu🤷♂️ lakini usijaribu hata ku….💻
Lakin kama unajiamini then go head, kwenye hii video ndo namna fulani ya kuingia katika hiyo intaneti👇
If you know what’s done, save time BONYEZA HAPA uweze ku calculate hiyo code🤷♂️, sii unajua niaje🙄😎!
otherwise soma haya maelekezo👇
👇
Ukitaka kufanya key programming ama ECU coding🙄, kuna badhi kubwa ya mashine zenye uwezo👌! Sasa sijui uko na mashine ipi, lakini wewe tafuta uchawi wako wote uweze kuingia kwenye menu ya programming/coding kwa PCM (Powertrain Control Module) au/na zile IPC ECUs kama ya PATS, BODY ECU, nk🤷🏼♂️!
Mashine yenyewe itakutolea zile details za OUTCODE namna hii👇like ukiwa unafanya Ford, kwamfano tu😎!Sasa, baada ya kupata hizi details lazima umutumie sijui wakala wa hizo gari au sijui mtaalamu fulani👩🏼🔧akupe code fulani ndo uweze ku programm hiyo funguo ama ECU! Sasa ujanja tunapatiana hapa ni namna ya kupata what we call INCODE kwa kuingiza hiyo OUTCODE hapo kwenye picha ya juu👆 (ndani ya boxi rangi nyekundu), kwasababu ukiendelea utakuta sehemu inakuitisha INCODE kama kwenye hii picha ya chini👇Kupata hiyo INCODE, utabonyeza👉 hapa hapa 👈na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Ikifunguka itakuwa namna hiiKupata hiyo INCODE, utabonyeza👉 hapa hapa 👈na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Hebu fanya mazoezi kwa hiizi OUTCODE hapa chini uone niaje🤔!
Ford fiesta 1.4 TDCI
Outcode:0000 EF440F 0000
Error Control:43168
OUTCODE = 4CBB
———————————-
Mazda 3
Outcode: 0040 – 058215 – 000000
INCODE = 9175
———————————
OUT CODE: 0044-151E3F D60E19
ERRORCONTROL: 4X420
Hapa lazima ufanye mara mbili
outcode single: 151E3F = 154F
outcome dual: D60E19 = E768
your incode is: 154FE768
———————————–
Jaguar XType 2003
key programming outcode 05975543
income is 9FAD
Kupata hiyo INCODE, utabonyeza👉 hapa hapa 👈na ukifika uko kuna maelekezo ya ziada ya ku calculate!
Kwanza moja kwa moja, ukumbuke how immobilizer systems work, what components involved, why and how to supercalifragilisticexpialidocious if lost or spare keys🤷♂️
Kwanzia hizo TRANSPONDER KEYS funguo za chuma za kawaida, mpaka hizo SMART KEY, tunaanza na mifumo, jinsi zinafanya kazi, ili uweze kuelewa kwanini, mashine fulani ndo zinazo kamilisha kazi fulani!
TRANSPONDER KEYS
Kwa kutaka kuzuia wizi, walifanya uchawi kwenye gari kwamba isipo kuwa funguo maalum ya hiyo gari maalum, hiyo gari haiwezi kuendeshwa. Kwenye funguo waliweka kadude fulani kanaitwa Transponder Sasa haka kadude namna tulivyoneshana kwa video, kuna neno siri ama PIN a.k.a password ambao lazima ifanane na ilyo kwenye gari. Isipo fanana gari haitawaka!
So, kwa hii video tulijaribu kuoneshana namna hiizi blaa blaa zote zinafanya kazi
Ina maana hiyo funguo maalum ya kuendesha gari maalum ikipotea lazima ufanye uchawi wa ziada kuirudisha namna tuliojaribu kumbushana katika hii video!
ONYO🚨: Mara kwa mara kuna ujanja unaotokea wa nmna ya kufanya key programming, so hii ni just basics of what could be done in case🤷♂️!
TRANSPONDER DETAILS
Na hata kama hizo transponder zinafanana kwa muonekano, lakini ziko tofauti kaaabisa! Yaani ziko na namba mf., ID46, 4C, TPX7, nk kulingana aina ya gari! Ina maana ukileta tranponder ya Toyota Corona kuiweka kwa system ya Toyota Carina, hazitafanya🤷🏼♂️ namna tulioneshana kwenye hii video
Sasa kuna system zenye funguo za transpoder kama tumeone, na kuna smart key systems
SMART KEY SYSTEMS
Sasa, hizo smart zinabaki mfukoni kwamba unaeza kufungua mlango na kuendesha gari bila kuigusa hiyo funguo!
KEYLESS ama SAMRT KEY SYSTEM ina upande miwili, upande wa kuasha gari KEYLESS IGINITON SYSTEM, na upande mwingine wa tuseme kifahari hiiivi, KEYLESS ENTRY SYSTEM ile yakufungua mlango, booti, kutembeza viti, nk!
So namna hii video inakuonesha tutangaliza hizo part tofauti tofauti
KEYLESS IGINTION SYSTEM
Sasa tukianza na KEYLESS IGINTION SYSTEM tutaona namna SMART ECU ikishirikiana na ID CODE BOX, BODY ECU, ENGINE ECU, nk, kama TRANSMISION ECU, STEERING LOCK ECU, nk, ili kuwezesha engine kuaka kwa kutambua kama ndo funguo sahihi ilioko mfukoni ya huyo mtu anaejaribu kuendesha hiyo gari! Hii video ni ndeeefu pamoja na maneno mengi ya kurudia rudia ili uweze kuipata vizuri!
KEYLESS ENTRY SYSTEM
Sasa hapa tunajaribu kuoneshana KEYLESS ENTRY SYSTEM, utaona kwamba hapa ni SMART ECU na BODY ECU na componet zingine zinazohusiana…pamoja na uchawi gani unaweza kufanya kukitokea blaa blaa yeyote kwenye hii system!
Unajua kuna mashine nyigi na ni rahisi kutengeneza au kuongeza funguo ya smart. LAKINI ukikosea kidogo tu, ni hatari na kwamba system nzima utakuwa umehiharibu🤷♂️!
So be careful when diagnosising for problems or when using diagnosis machine as we tried ellaborate in this video
IMMO OFF & IMMOBILIZER DECODING
Kufanya IMMO OFF ni ule uchawi kufanya gari iwake na funguo yeyote kama kawaida au kama mifumo ya zamani. IMMOBILIZER DECODING🙄, ni kama ufunguo umepotea, unafuta kumbu kumbu ya ufunguo, kuirudisha kuwa bikira (virgin) kama mwanamke akiwa ajaolewa, namna gari inavyokuwa kiwandani!
Namna tulioneshana kwenye hii video, kufanya IMMO OFF either unaweka emulator au ku edit data za IC ama chip ya funguo!
ONYO 📌
kama unajelewa niaje, mambo ya EEPROM data blaa blaa, tumekuwekea hapa data za IMMO OFF na DUMPS (virgin Data), otherwise endelea kujifunza niaje!
Na, sometimes, ukiwa na secret codes fulani, ziwe SMART KEYS au TRANSPONDER KEYS, kwa kutumia ata diagnosis machine ya kawaida, unaweza kufanya ujanja fulani! So, tumekuwekea program kuwezesha kupata hizo secret codes fulani!
Tena tulijua kwamba funguo ikipotea unaweza kupata code/passsword kutoka hiyo EEPROM ili ukatumbukize kwenye funguo ingine ndo gari iwake, au pia kama control boxi imekufa unatoa haka EEPROM ukaweke kwa hiyo control boxi ingine👌!
Sasa uchawi ni kusipojua EEPROM ya funguo iko wapi na ni gani katika hizo nyingi zilizopo kwenye circuit board, maana iwe control boxi au immo box kuna EEPROM nyingi nyingi.
So hii App📲 ya kwenye simu au na kompyuta💻, inakusadia kujua EEPROM ipi au Transpoder ipi inaendana hiyo gari🤔!
Sasa tayari umejua ni EEPROM gani ya funguo🙄, je unajua nini chakufanya uweze kuisoma, kubadili ili ufanye IMMO OFF au DECODE ili kupata code/password ya funguo kutoka hiyo EEPROM?So ukibonyeza HAPA utona tulikumbushana au kuoneshana kuhusu data inakuanga humu, inakaje, inasomwa au kubadilishwa namna gani🤷🏼♂️ hizo blaa blaa binary, HEX, address, nk, mara Flash Memory, EEPROM memory, nk!
Hiki kitabu kina namna ya ku program funguo za gari, mashine gani yakutumia, vifa gani vya kufungua/kufunga kwenye gari, nk!
Yaani unapata almost kila umbea mhimu👌! Ni PDF📲 popote💻 kinafunguka!
Tuseme umepata idea ya namna funguo zinafanya👌!
Na funguo ikipotea umejua kwamba unaweza kutumia data ya EEPROM kuweza kutenegeza ufunguo mwingine AU ukafanya IMMO OFF ukatoa tu immo system ili gari ikubali funguo yeyote.
Sasa changamoto ni kujua uchawi gani wa kufanya immo off au ku program funguo ingine kwa kutumia data ya EEPROM ndo maana ukitaka niaje😢!
Tumekusanya kila aina ya programu, yaani software kufanya ujanja wowote kwenye kila gari🤔, bonyeza tu HAPA HAPA HAPA🤷♂️!
Huu ni mifano namna hizi softyware ziliopo! Ni nyiiingi👌!