Electrical Tips

Hapa tunajifunza na au kukumbuka chochote kuhusu umeme, ambacho huja bila mpangilio!

 

HAPA UJANJA tu!

RESISTORS

Resistors, yaaani Rizisita, zinazuia mtiririko wa umeme! Uzuiaji huu unaweza kuja na manufaa katika hali nyingi, especially katika vifaa vya ...