maana ya CANBUS

CAN BUS (CAN = Controller Area Network) alafu BUS ni kama basi la abiria munaingia wengi lakini kila anajua anaenda wapi kufanya nini! So, CAN ni muungano wa computer zote kwenye gari kwamba zinapeana msaada! mfano, computer ya SUSPENSION ikihitaji umbea kuhusu mwendo wa gari, itapata umbea huu kwa CAN juu computer ya ABS yenye speed sensor zinazochunguza mwendo wa gari itaweka signal hii kwenye CAN kuliko kwamba speed sensor zitafungwa kwa kila computer ya gari itahitaji mwendo wa gari🚒!

#CANbus #ECU #5021tips