Kubyara Kompyuta Nyinshi

Huu ujanja ni wa kuwezesha ku nakala (copy), au tuseme kuzalisha (reproduce), kompyuta na ma program yote yaliyomwo!
OK, imagine mwenzako amekusaidia na kompyuta yake, kwasababu wewe huna hayo ma program! Sasa akikupatia unafanya uchawi huu wakuzalisha system za kompyuta yake ziwe kama mbili au zaidi ili usimuombe tena!
Ukimaliza kuzalisha hizo programu zake, unafanya kompyuta yako kuwa exactly kama yake, HAPA UJANJA tu😉!

Unaeza kutazama hii video ukitaka kuona niaje, vinginevyo shuka chini uweze ku download moja kwa moja!

👇👇👇DOWNLOAD HAPA 👇👇👇

👆👆👆👆👆👆👆