Namna kuingia ile aina intanet ya ficho (Deep/Dark Web)

Achana hii intanet ya kawaida kila mtu amezoea, kuna ile aina ya intanet (DEEP) ambao kama siri za serikali, benki, nk zinapitia🚒, pia kuna aina ya intanet (DARK) kwenye wanauza kama bunduki, vitambulisho fake, gari za wizi, nk!

Kuingia ku browse hii aina ya intanet unahitaji ujanja fulani maana browser za kawaida kama mozila, chrome, nk haziwezi ku…..Na pia hauna aja ya kutembelea aina ya hiyo intanet maaana…..😎….chechote kinawezekana! May be kama unatazama tu🤷‍♂️ lakini usijaribu hata ku….💻
Lakin kama unajiamini then go head, kwenye hii video ndo namna fulani ya kuingia katika hiyo intaneti👇

#DARKweb #DEEPweb #5021tips