Decoding EEPROM & FLASH DATA coded lines


Kwanza, ukumbuke kwamba tuliekezana amost kila kushu EEPROM work, namna kusoma data na Adress, kubadili, nk! Kama bado, na ukitaka BONYEZA HAPA!


Ujanja katika programu hii, ni kwamba, unaweza kufungua na kulinganisha hizo binary faili tofauti tofauti, kwa pamoja, na ukaoneshwa utofauti uko wapi!

Ina maana kama kuna mtu umemutumia faili na akafanya kazi fulani na akakuficha bila kuambia, hii programu itakupa umbea wote! Infact ata hizo software zinokuomba data ili zikufanie kazi fulani, kiisha zinakupa data tofauti baada kuzifania kazi, ukilinganisha data kabla na baada, utajua niaje!


Unaeza kutazama video 👇hii uone niaje, vingivyo uka chini ya video upakuwe!
Alafu hapo👇chini kuna programs mbili, use the same password to download both!

👇👇DOWNLOAD HAPA 👇👇

👆👆👆

EXTRA PROGRAM👇 

👇👇DOWNLOAD ANOTHER 👇👇

👆👆👆👆👆