Umbea kuhusu DPF (Diesel Particulate Filter)🚒

Jinsi unafahamu engine za diesel zinatoa’nga moshi kali wenye vichembe (particles)🚆, sasa kwa kutaka kuzuia hizi particles zisitoke nje ya gari kuharibu mazingira, kuna kidude fulani kinawekwa kwenye exhaust pipe ya gari ya diesel ili kushika hizi particles!

Baada ya hizi particles kushikwa zinachoma mpaka kupotea namna tulijabu👇kumbushana!

#DPF #ADblue #5021tips


NAMNA YA KUONDOA HII SYSTEM KWENYE GARI, yaaani uchawi wa DPF DELETE!

Translate /Tafsir /Traduire