ECU Circuits’ Electronic Components (part 2)

Tafadhali zingatia hili, kwa sababu tuna sehemu nyingi tofauti!

Kuna sehemu ya kuonyesha miunganisho ya pini za kwenye ECU, yaani ECU pinouts!

Halafu kuna sehemu kwa wale wanaofanya programing ya ECU, infact reprogramming, kama ilivyo, inayoonyesha ni MCU gani ya kushughulikia ili kufanikisha kazi fulani. Mfano kama kuzima ADblue, DPF blaa blaa, kuongeza spidi ya gari, nk, ku ping ECU parameters, obviously pamoja na mambo ya kuzima Immo, nk!
Kuna section ya kujifunza kwa undani kuhusu jinsi ya kutengeneza ECU, jinsi kila kitu kinavyounganisha, vinginevyo hii inakuonyesha tu mpangilio wa haraka na madhumuni ya kila sehemu kwenye bodi ya mzunguko ya ECU!

Kwa ECU pinouts na ile blaa blaa ya programming,
Bonyeza HAPA

Ukitaka masomo ya ndani kuhusu ECU repairs
bonyeza HAPA

Sasa hapa ni ukitaka ule uchawi wa moja kwa moja kujua kazi na namna kupima/kubadilisha componets za kwenye almost kila ECU,
namna hii👇video inaonesha!

DOWNLOAD
👇

HERE HAPA 

👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
Ata kwenye simu📲au kompyuta💻 inafanya kazi!