FUEL TANK-COVER SYSTEM

Mfumo huu uliundwa ili kumbusha kufunika mfuniko! obviously, kuhakikisha kuwa hakuna uchafu unaoingia kwenye tanki la mafuta, na kutoruhusu mafuta yaliyoyeyuka kubadilika kuwa hewa!

Ndiyo, husipo funga mfuniko wa tenki la mafuta kuna mataa taa fulani ya kuudhii yataoneshwa, au ata gari yenyewe kukosa nguvu au kukata kutembea kabisa😁!

Kwa kila kitu, ikiwa ni pamoja na jinsi mfumo unavyofanya kazi, jinsi ya kutambua na kurekebisha matatizo yoyote, unaeza kutazama hii video👇

 

video👆👆👆👆video

Usisahau, warning light yake kukiwepo tatizo lolote, imeka namna hii!
👇