ujanja wa GOOGLE (paralleling websites)

Huu ni ujanja ambayo unaweza kutumia kutafuta tovuti zingine zinazotoa bidha au shuguli za kufanana.

Mfano, ya www.Facebook.com ni social media, sasa ukiingiza tovuti ya facebook, utaoneshwa tovuti zingine za social media, kama Twitter, Instagram, LinkedIn, nk!

Au tuseme, ukiingiza tovuti ya www.5021.tips, utaoneshwa tovuti zingine zakupata ujanja!

Ukitaka kuona niaje, bonyeza utazame hii video chini


Ukitaka ujanja mwingine wa google, upo HAPA

www.5021.tips/ujanja/google