KUSOMA CIRCUIT/wiring DIAGRAMS(michoro)

Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha🤔, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana🤷🏼‍♂️!
Aanza kujua maana ya alama zilizomo, then componet au kafa gani unafatilia, kinafanyaje kazi na kupata wapi au vipi umeme👩🏼‍🔧….then uendelee na blaa blaa za wire, nk!  Kwenye hii video tulijaribu kuoneshana kila🙏🏼

 

#readingwiringdiagrams #electricaldiagrams #5021tips