NISSAN NAVARA (D40 series) Diagnosis, Repair Instructions & Wiring Diagrams

Sii unajua kuna maelekezo jinsi ya kupima, kufungua, kufunga, kurekebisha, ku fanya hiki na kile…pamoja na michoro ya wiring, picha zote😎!

Kiliaandaliwa na wataalamu wenyewe👌, so…..?

Hebu tazama hii video uone niaje🙄, kiisha shuka chini uweze kui download!

👇👇ATA kwa📲simu DOWNLOAD 👇👇
👆👆👆👆👆

ONYO📢 Ukimaliza ku download, hii manual ni ISO (kama CD hiivi) so unahitaji software hii HAPA ya kufungua file za ISO.