HOW TO GET NISSAN KEY PROGRAMMING CODES

NATS inamanisha Nissan Anti-Theft System,  yaaani ni kuhusu ule uchawi uliko kwenye gari za NISSAN kwamba usipotumia funguo🔑 sahihi, gari haiwezi kuwaka👌! Sawa, funguo inaeza kuwa sahihi lakini ukibadilisha tuseme computer ya engine (ECU) au computer ya body (BCM) au anything could have happened kwamba lazima ukutaanishe (ku initialize) vifaa vyote kwenye hii NATS🤔!

Sasa baada ya, au ukimaliza kukumbuka au kujua namna na nini chakufanya kwa hizi blaa blaa za NATS, tumekuwekea software hapo chini ya kufanya uchawi wa NATS aina zoooote! Infact, kama unajiamini, nenda chini ya hii page uweze ku download moja kwa moja!

Sasa wakati unafanya initialization ukiwa na mashine yeyote ya diagnosis👨‍🔧, kutafika wakati unahitaji neno siri (password) fulani ili uweze kukamilisha. Uchawi zaidi ni kwamba hizi unapaswa kuzipata sehemu maalum kutoka kwa watu fulani🙄! Sasa hapa tunapeana ujanja wa namna kupata hizo passwords (NATS code)!

Sasa, hii software itakusaidia kupata hizo password za NISSAN namna hii video inaonesha!

Sasa, ukitaka password kuweza ku download hii software wasiliana na muhumu hapa au whatsApp +250 785 821842

Endealea kupata umbea zaidi kuhusu NATS pamoja na ninchakufanya