PTO (Power Take-Off) on Trucks

Mfumo wa PTO, yaaani Power TakeOff, ni njia ya kugawanya au kugeuza kabisa, nguvu kutoka kwa injini ya lori ili zitumike kufanya shuguli zingine isipokuwa tu kundesha hiyo lori kama kawaida!
Hizi nguvu zinaezwa kupelekwa kwenda kwnye kiambatisho chechote, kama, trela au mashine yeyote tofautiwa kuingilia mzunguka wa meno ya Fly wheel moja kwa moja, au meano ya gear boxi transmission)!
Hizi nguvu zinasukuma (ku pump) hydrolic oil kwenda kufanya kazi! kama, kuvuua vitu vizito, kuinua trela kwa lori kutupa chochote kilichobeba, nk!

Hiii system inaeza ku adapted kufanya kazi nyingi!
Kuna aina tatu kuu za PTO, kama tulivyoeelekezana kwenye video hii👇!