Inawezekana unataka kutuma faili kubwa lakini, juu ya chechote kile๐คทโโ๏ธ, unashindwa, kwa sababu faili hiyo ina saizi kubwa๐ค! Kwa hivyo kutumia uchawi huu unaweza kutuma au ku anything, kushughulika na faili kubwa! Hapa ujanja tu๐จโ๐!
Liwe faili lelote linawezekana, muziki, program, video, vitabu, yaaaani chechote!
Ukitaka hii software unadownload softwae ya 4 kwenye hii list hapa AU unaenda tu hapa
maelekezo ya kila yapo kwenye hii video