SHOP MANAGING SOFTWARE

Hii programu ni mfumo au namna, njia ambayo duka/kampuni inasimamia harakati nzuri na uhifadhi wa bidhaa zake, kwanzia bidhaa kuingia mpaka mauzo.

Obviously utajua kiasi gani cha bidhaa ulichonacho, na kikifika au kushuka kwa kiwango ulichpanga uongezee, hii program itakumbusha!

Ok, kuna blaa blaa nyingi kwenye hii program, nakuomba utazamee hii video👇chini uone kama hii program inaeza kusaidia kwenye shuguli zako👌

👇Sasa hii program ndo hiiii hapa👇

👆👆👆👆