Engine Control Unit, a.k.a ECU, yaani kompyuta ya injini, ni kitengo cha kudhibiti injini (ECU), au tuseme ni kifaa kinachodhibiti mifumo mingi ya injini katika kitengo kimoja, pia huitwa moduli ya kudhibiti injini (ECM)!
Tafadhali, niruhusu niweke blaa bla hii katika hali ya jinsi ilivyokuwa! Ikiwa unataka ile ilirekebishwa, kwa lugha yetu ya asili, bonyeza HAPA 👈
👇👇👇👇👇👇👇👇