Ukitazama mchoro ya wiring zinatisha🤔, lakini ukishaelewa misingi kadhaa utaona ni rahisi sana🤷🏼♂️!
Aanza kujua maana ya alama zilizomo,
then componet au kifa gani unafatilia, kinafanyaje kazi na kupata wapi au vipi umeme👩🏼🔧
….then uendelee na blaa blaa za wire, nk!
Kwenye hii👇 video tulijaribu kuoneshana kila🤷♂️
Kitabu How To use Electrical Wiring Diagrams
Click HERE
Kitabu, Wiring Harness Repair Instructions
Click Here
Loading...