VAG (VW Audi Group) tips

Kuna maandishi muhimu, kuhusu magari ya VAG, ambayo mara nyingi tunapata!
Sasa, sii HAPA UJANJA tu, so tutakuwa tunaiweka hapa, hatutafuata mlolongo wowote, yaani tunayopata ndao tunaweka!
Kumbuka, gari za VAG ni akina VW, AUDI, SKODA, SEAT, nk!

Alafu tovuti kama hiizi www.ross-tech.net na zingine ni muhimu, maana most of the ujanja tunapata uko!

Basic Coding Numbers and Procedures

DEALERS’ CODES

DEALER CODES

OBD CODES